Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Kweli wewe ulivyo jitambulisha kuwa mfungwa ni kweli akili yako imefungwa haiwezi kufikiri kwa mapana na marefu na unapaswa kuondoa akili yako kifungoni.Badilika uwe huru kifikra.

Ndio maana alijiita mfungwa wakati lowasa akiwa Ccm. Amekuja kwangu pole sikai na mwizi mimi ni mzalendo halisi na mtanzania original. Siwezi kumpa kura mwizi. # hapa ni kazi tu.
 
Ujinga na upumbavu mtupu?

Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.

Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.

Huna lolote.hawana jeuri ya kufanya hivyo
 
Watajua nguvu ya malofa wapumbavu na mbumbumbu
 
Mkuu Eric kuliko niwe ccm bora niwe maiti
Mkuu sio lazima uwe CCM kusimama kwenye ukweli wote tunataka kuona mustakabali wa kiuchumi unabadilika na kuwafikia wengi. Hilo liko wazi kati ya Magufuli na Lowassa atakaye leta mabadiliko hayo.

Isitoshe kuna ushahidi wa kutosha yupi anaaminika na anaheshimika kwa kusimamia misingi ya ukweli ndani ya jamii na kazini kwakwe. Uhusiano mzuri wa Magufuli kazini auna mashaka na watu wanaoshirikiana sio tu ndani ya wizara ya ujenzi bali na wakandarasi wanaojituma kwa kucheleweshea malipo kisa imani yao na Magufuli ndio nguzo ya mile 17000 elfu za lami huku serikari bado ikidaiwa kwa sababu wanajua wanamwona yote hayo ni kwa sababu ya watanzania sio yeye, tofauti na Lowassa anayependwa kweli na wafanyakazi wenzake hila si kwa sababu za ubora wake bali fedha zake na hela inatumika kununua uongozi hata pale afya yake wazi ni mgogoro sasa jiulize wale wanaomnadi wanataka mabadiliko kweli ama?

Siasa za UKAWA hazina mabadiliko ni matamshi tu ya ideal kwenye matarajio ya wengi na ni vitu ambavyo yeyote anaweza jisemea. Ukweli wenyewe hawana mbinu or else wangekuwa kifua mbele kuelezea given the nation financial position jinsi watavyofanya.
 
Hizo ni vurugu za ukawa,,, ambazo haziwezi kubadili matokeo,
 
so vicent ndo ananyonyaga naniliu za wanaume,mpaka ajue huyu ana govi na huyu hana?..


ha ha ha,viongozi wa chadema bana.....!!.

au labda mkewe alimsimulia nini....
 
Hilo la ugonjwa liko wazi wala si kumvunjia heshima Lowassa anaumwa.

Tukio la duni ni recently na kikubwa wananchi walitaka kusikia hoja sio matusi aliyoyaanzisha kwa CCM, either way sikubaliani na kuzomewa kwake sio ustaarabu hila viongozi wa CCM wamekuwa wakisema sana kwa wanachama wao kuacha kuzomea watu na kueshimu maamuzi ya wengine sijasikia UKAWA wakitoa matamshi ya aina hiyo tangia uchaguzi uanze.

la ugonjwa lipo wazi= la wanambeya kutomtaka magufuli lipo wazi pia iweje kumwambia ukweli ionekane ni vurugu? hata hivyo hapo uyole ni center kuna machinga wengi wanauza vitu kwenye magari hata kesho ukipita utakuta wamekusanyika hivyo si saws kusema walikusanyika kwa ajili ya mkutano au kumzomea ila yeye alitapowaona akataka kuongea nao wakampa ujumbe kuwa hawamtaki! halafu huwezi kuihusisha hii na ukawa maana hakuna uhakika kuwa wafanya biashara kwenye junction ya uyole ni ukawa wote tuwachukulie kama wananchi wa kawaida tu na vijana wasio na ajira. Mwisho hujazungumza chochote juu ya swala La masaburi na ukimya was viongozi wako!
 
Wenyewe ndiyo mabingwa wa kulalamika lakini upuuzi wanaofanya wanaita nguvu ya umma.

Kwa akili yao wanadhani JF ni mali ya Chadema.

Wakati JF ni jukwaa huru wapo wenye vyama na wasiyokuwa na vyama.

Naona mpaka kampeni ziishe itakuwa umepungukiwa na maji mwilini kwani hilo povu unalotoa ni jingi sana pole sana achana na chama mzigo CCM.
 
tunazijuwa sinema zenu, Tutamchagua Magufuli kwa kura nyingi coz tunajuwa lowasa anavyojiandaa kwenda kutufanyia biashara ikulu, mpeni salam tumeshtuka.

fgh copy.jpg
 
Wenyewe ndiyo mabingwa wa kulalamika lakini upuuzi wanaofanya wanaita nguvu ya umma.

Kwa akili yao wanadhani JF ni mali ya Chadema.

Wakati JF ni jukwaa huru wapo wenye vyama na wasiyokuwa na vyama.


Kwanza shikamoo babu! Pili nilishakuonya uache kujifanya ni teenger wakati una wajukuu. Tatu bado nakumbusha zile makala zako za ''waislam walioleta uhuru wa Tanzania'' kwanini umeacha kuzitoa!
 
Hivi usikii?? CCM wameshavuruga kampeni za Lowassa mnoo. Masaburi Dar kuwandaa vjn waandamane.msukuma kusema hadharani Lowassa kajinyea Bulembo kusema ccm haitaruhusu upinzani kwenda Ikulu kauli gani hizi? Si uchochezi huo? Mkuki kwa nguruwe. Lkn nakuhakikishia huyu msukuma alichosema kitawakosesha ccm kura haki yanani

lakini msiukuma siye aliesema,walisema wananchi,,,,,sasa sijui kwanini hiyo siri ilivuja na kuwafikia wananchi...
wanaopaswa kulaumiwa hapa ni mgeja na mlinzi kwa kutomsitiri mzee
 
Majibu ni october mutanyoka tu na huo ushabiki wenu wa kisenge rais ni Makufuli tu ata Fisadi Lowassa atoboi...
 
so vicent ndo ananyonyaga naniliu za wanaume,mpaka ajue huyu ana govi na huyu hana?..


ha ha ha,viongozi wa chadema bana.....!!.

au labda mkewe alimsimulia nini....
Sometimes ukizisoma akili za UVCCM ni shider,

mkijibiwa mnaanza kulialia Ukawa wahuni, safari hii ni jino kwa jino mlizoea kukimbilia polisi nao wamechoka kuwabeba.
 
Kasoro TA MIGANYIZI Hao wengine wanakatiwa mauno wakitosheka watakuja speed kumtetea MAKUNFULI..!

Huoni yeye nimemuita Mkuu hao wengine mapopoma?
Naijua kazi yake iliyotukuka mkuu,na sasa hivi yuko jikoni anakuja na bomu matata sana...
CCM imechokwa hadi vijijini!
 
Ustaarabu wako kamfunze kwanza Msukuma,

Baada ya jana Vincent kumjibu Msukuma kuwa mzee pusher ana mkono wa sweta leo mko kimya hata hamgusii matusi yenu.

Acheni kulialia dawa ya moto haijawa maji hata siku moja ni moto.

Hahahahahahaa hivi kweli mkono wa sweta?
 
la ugonjwa lipo wazi= la wanambeya kutomtaka magufuli lipo wazi pia iweje kumwambia ukweli ionekane ni vurugu?
Kwa kauli hiyo inaonekana unakubali pia Lowassa ni mgonjwa sasa mgonjwa anafaa kweli kuwa raisi huu sio ugonjwa mwingine wowote ni conditional disease ambayo ina affect uwezo wa mtu physically na mentally kwa hivyo unaweza kuona kwanini kuna umuhimu wa kuwakumbusha wapiga kura kuhusu huo ungonjwa wenyewe.

Hoja ya kuzomea kwa Magufuli kama mgombea aiwezi kuwa equated na ugonjwa kwasababu maamuzi yanafanyika kupitia sanduku la kura au au sijui BRV kwa hivyo wanachofanya vijana na viongozi wao kukaa kimya ni kuhatarisha amani amini usiamini mataifa ya ulimwengu wa kwanza utashitakiwa kwa irresponsible politics na serikari aitojali support yako kama vipi na wao kibano kitafuata hilo wala halina mjadala.

Hilo la masabauri kwanza unatakiwa ulete ushahidi wa kupanga kweli maandamano ya kutunga, hata hivyo sioni inatishia vipi amani yetu kama walivyofanya hao vijana kwenye hiyo clip.
 
Mbarari?!
Anyway, Tatizo la magufuli hafanyi siasa za kitaasisi, anajiendea yeye kama yeye. Nilimsikia Mzee Sumaye akiwa Hai juzi kuwa Magufuli amemkwaza Mwenyekiti wake. Sasa aangalie asizomewe mbeya..

Nilitegemea umquote Eric na umpe taarifa hiyo asikurupuke tu pamoja na maonyo yake kuwa na mantiki kwa kiasi fulani. Magufuli alikuwa njiani kuelekea Mbarali hakuwa na kikao Mbeya. Pia katika tukio hili Sugu wala Mbowe hawakuwepo hivyo hawahusiki kwa kila hali. Kama ni kukemea wanachama na wafuasi nao watuambie Rizwan aliposema zaidi ya mara moja kuwa kanda ya kaskazini haiwezi kutoa raisi wa nchi alikemewa? Nape nae alipoanza na magoli ya mkono kwenye uchaguzi alikemewa? na kauli ya Bulembo kuwa ccm haiwezi kuiachia ukawa kuingia ikulu nayo ilikemewa au kufafanuliwa?Nae Magufuli mara nyingi awe anafuata ratiba za mikutano ya tume. Tume ikikuruhusu uwe mahali fulani kuhutubia inahakikisha na ulinzi upo sasa wewe kila ukikuta kundi hata maporini unasimamisha msafara kuhutubia unajihakikishiaje ulinzi wako,uliofuatana nao na unaotegemea kuwahutubia? Mapori mengine kama ya Kahama, Ngara S'wanga n.k.yana majambazi na yanatembea kwa makundi maporini na askari hawawezi kuwepo njia nzima utajitetea kwa push-ups?
 
Back
Top Bottom