Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

hiv mnadhan CCM wao hawawez mzomea lowasa? hiyo n dalili ya kushindwa, mmekubali kushindwa mapema mmeanza kuzomea, haya wenye timamu hatutazomea tutampa kura huyo huyo 25 oct.....
 
Mbeyaaaa acha tu,wana kamsemo kao eti "MBEYA NCHI RAIS SUGU"Mara wakataka kujitoa Tz wawe sehemu ya Malawi!
 

Uhuni eeeh basi uhuni huu ndio tunaenda nao mpka tar 25 oktoba kwenda kuwabikiri
 
Mi nampenda magufuli ni mchapa kazi na mwadilifu .....
Shida ni moja tu inamnyima kura yangu

Chama chake kimejaa wezi na la rushwa na ndio kimeharibu mfumo wa nchi hii
Delete kabisa ccm
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa



Mbeya mbeya mbeya am feel proud of my land dra tataaaaaa taa
 
Last edited by a moderator:
I can just imagine. Oktoba 25 siyo mbali. Hivi hao wahuni wa Mbeya watakuwaje after October 25. Magufuli for sure ndiye Rais wa awamu ya tano, atashinda kwa karbu asilima 70.
 
ngoja niisake mkuu...

ingia kwenye linki hapa https://http-www-jamiiforums-com.0.freebasics.com/uchaguzi-tanzania/941243-magufuli-akutana-na-nguvu-ya-umma-mbeya-aambiwa-wanamtaka-lowassa-awe-rais-13.html?iorg_service_id_internal=925946837445621%3BAfp0vg-ml5Y7VjbY#post14138597
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa


Hawa Wajinga Waliotumwa na MBOWE Ambao Wanajaribu Kuchochea Vurugu Kwa Ajili Tu Ya Kutengeneza You Tube Video Inabidi Waelimishwe.

Sio Ustaarabu Kupiga Kele na Kuzuia Wengine Kupata Nafasi ya Kumsikiliza Mgombea Wao.
 
Last edited by a moderator:
Wahuni wachache ? Ina maana hujauona umati ule au kibur tu ? Najua mkiona hivi vitu MNASTUKA!!!

Ccm wamezidi na dharau zao kiasi kwamba hata huo umati hawauoni, ndo maana wamekuwa wakituongoza kwa mazoea bila kujali kero zetu.
 
leo asubui Magufuli wakati akipita mbeya
kakutana na zomea zomea
eneo la mwanjelwa na uyole
kuna wana ccm walipangwa wamzuie ili ionekane wananchi wamemsimamisha azungumze
kibao kikageuka watu wakaanza kukimbia nakuanza kumzomea
ccm acheni maigizo leo yamewaponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…