Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Kiukweli mikutano ya njiani ni usanii hata alipopita kule Igunga mkoani Tabora wanasisiem walokua kwenye vikao vya CCM kuteua viti Maalum Walipelekwa kujipanga balabalani huku wakiimba, nahao jioni nilisikia eti ni mkutano wanjiani.
 
Mpango wao nikuiba kura. Mmeona wanavyobadili viongozi wa tume ya uchaguzi? Nawaomba viongozi wa ukawa wawe makini na mbinu hizi chafu za ccm. Kiuhalali ccm haiwezi kushinda mwaka huu. Tupige kura, tufuatilie matokeo kutoka katika kila kituo, tulinde kura zetu na tudai zitangazwe kwa uhalali.
 
Hakuna uzomeaji acha porojo,unatoa taarifa halafu unauliza tena. Kilichofanyika ni wananchi wa Mwanjelwa (uti wa mgongo wa siasa za Mbeya kwani hapo ni kama Kariakoo ukiwa Dar) waliomba mheshimiwa Magufuli awahutubie hata kwa sekunde alipokuwa akienda Mbarali, msafara wake ulizuiwa na wananchi wa sehemu hiyo sio kwa kuzomea bali kuomba aongee nao.
 
Maskini Magufuli duh! wapi yule king'ang'anizi wa CCM, Barbarosa njoo huku uone hali inavyokua watu wakichoka. Mjiandae kutufuata sisi wana KANU ya Kenya kwenye kaburi la sahau. Ndivyo ilikua kwetu na mambo yalianza hivi hadi tukapigwa chini.

CC:
[MENTION]falcon mombasa[/MENTION] JokaKuu
 
Kawaida tu si ndiyo siasa hiyo! Ni ili demokrasia ijidhihirishe. Mwisho wa siku waliomzomea watashindana kupanga foleni za walau kuomba dk 5 waongee naye ili akatembelee maeneo yao. Na huo ni wakati atakapokua akimeremeta kama mhe. Mkuu wa kaya
 
Magamba safari hii hawana sehemu ya kuvuna kura kama zamani watu tumeshtuka
 
Mpango wao nikuiba kura. Mmeona wanavyobadili viongozi wa tume ya uchaguzi? Nawaomba viongozi wa ukawa wawe makini na mbinu hizi chafu za ccm. Kiuhalali ccm haiwezi kushinda mwaka huu. Tupige kura, tufuatilie matokeo kutoka katika kila kituo, tulinde kura zetu na tudai zitangazwe kwa uhalali.

Ukawa wawe na ARO kata atakaye fatilia matokeo ya vituo vyote vya kupiga kura na kuwakilisha wilayani kwa ARO wilaya (wa Ukawa) na wanazijumlisha ili kujiridhisha na kulinganisha na matokeo ya msimamizi wa uchaguzi
 
Back
Top Bottom