Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo asubui Magufuli wakati akipita mbeya
kakutana na zomea zomea
eneo la mwanjelwa na uyole
kuna wana ccm walipangwa wamzuie ili ionekane wananchi wamemsimamisha azungumze
kibao kikageuka watu wakaanza kukimbia nakuanza kumzomea
ccm acheni maigizo leo yamewaponza
Mbeyaaaa acha tu,wana kamsemo kao eti "MBEYA NCHI RAIS SUGU"Mara wakataka kujitoa Tz wawe sehemu ya Malawi!
Ccm wamezidi na dharau zao kiasi kwamba hata huo umati hawauoni, ndo maana wamekuwa wakituongoza kwa mazoea bila kujali kero zetu.
Hii issue ya kusimamishwa na wananchi hata mimi nilishaishtukia kuwa ni maigizo.
Leo yamewa backfire....
mimi nina video ila sijui nitaiwekaje hapa!
Hii issue ya kusimamishwa na wananchi hata mimi nilishaishtukia kuwa ni maigizo.
Leo yamewa backfire....
Mkuu ni kwamba huamini???? Nnayo kwenye simu nashinfwa ku upload video...ila youtube ipo...na nyuzi za nyuma utaiona!!
Mbeyaaaa acha tu,wana kamsemo kao eti "MBEYA NCHI RAIS SUGU"Mara wakataka kujitoa Tz wawe sehemu ya Malawi!
Labda walienda kumwambia hawamtakiUhuni eeeh basi uhuni huu ndio tunaenda nao mpka tar 25 oktoba kwenda kuwabikiri