Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa


Mbeya hatutaki kuisikia CCM kabisa
 
Kweli UKAWA ni wahuni.watu wanasimamisha masafara 'wa Magufuli halafu wanamfanyia fujo.sasa hii ni hekima
 
Mkuu ni kwamba huamini???? Nnayo kwenye simu nashinfwa ku upload video...ila youtube ipo...na nyuzi za nyuma utaiona!!

Kwa hiyo uafurahia sana ujinga wa wahuni wachache sio? Subiri aje ashughulikiwe wa kwenu kama hajajinyea tena, nyie si mmeanzisha!! Msilalamike tu!!
 
Hii you video nimeiona kwenye Whatsapp,ni aibu kubwa sana.
 
Andaeni wazomeaji na hata mawe mpigeni lakini 90% yetu iko pale pale
 
kama ni mipango ya CHADEMA ni ya kulaani. inachochea vurugu... hata CCM wanaweza wakafanya hivyo... ni upumbafu kushabikia kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…