Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa


Wametoa hisia zao halisi bila kushawishika na bila kulazimishwa.Hao ndiyo wazelendo wa nchi yao na wanahaki kama yoyote hapa Tanzania.Adhabu hii ni haki kwa CCM kutokana na kushindwa kuwatumikia Watanzania kama walivyo tarajia.
 
...dah; Magufuli kaingia cha kike kwa miguu yote miwili masikini!
 
Hii issue ya kusimamishwa na wananchi hata mimi nilishaishtukia kuwa ni maigizo.
Leo yamewa backfire....

Mama huyu Magufuli alisema akiwa Geita na wakamquote ktk news kuwa wapinzani (mafisadi) watakaporudi Geita wazomewe !!. Hivyo yameanza kumkuta yeye mwenyewe. Kwa hiyo wasinung'unike !!.
 
Kawaida tu si ndiyo siasa hiyo! Ni ili demokrasia ijidhihirishe. Mwisho wa siku waliomzomea watashindana kupanga foleni za walau kuomba dk 5 waongee naye ili akatembelee maeneo yao. Na huo ni wakati atakapokua akimeremeta kama mhe. Mkuu wa kaya

Endelea kujipa moyo.....inasaidia kipunguza maumivu
 
hao wazomeaji wasifikiri makufuli ni jk,kwamba atapotezea tu
 
Kilicho tokea mbeya kwa asubuhi ya Leo sioo cha kuingiza,ni ukwel usio pingika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…