Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Hapo mi Sijaona fujo hapo ni kumsaidia ndugu yetu magufuli kwamba hanachakuwaeleza Hao mabwana asipoteze nguvu zake achape lapa
 
hiv mnadhan CCM wao hawawez mzomea lowasa? hiyo n dalili ya kushindwa, mmekubali kushindwa mapema mmeanz akuzomea, haya wenye timamu hatuzomea tutampa kura huyo huyo 25 oct.....
Wataanzaje kumzomea wakati hata hao wana ccm maelfu kwa maelfu wanamkubali Lowassa
 

Mahala pengine Zomea zomea katika siasa ni silaha pekee ya mtu aliyeshindwa na ambaye siku zote kakata tamaa jambo ambalo ni tofauti sana kwa mji wetu wa mwanjelwa kwani wao wanashida ya kukosa uvumilivu wa hata kufikia hatua ya kutotoa nafasi sawa na haki ya upande mmoja, mfano kuchana nguo, mabango, na mambo mengine yanayoashiria uelewa mdogo kwenye siasa na hata ktk michezo kwani tumekuwa pia tukishuhudia ushabiki wa prison Vs mbeya city na hili limekuwa likichangiwa zaidi na hata aina ya viongozi tunaowapata kwa ngazi takribani zote kutokuwa taa kwa jamii kama vile tunavyoshuhudia uropokaji, na ushuhuda fitinishi majukwaani kana kwamba baada ya uchaguzi hakuna maisha tena
 

Ahahahaha naona mnajitekenya na kucheka wenyewe.... Mbona unaandika kama umekalia jiko la gesi?
 
sasa kuzomea hivyo ndo kushinda hata akili hamna hivi kama magufuri akaingia madarakani alafu hao walokua wanamzomea watasemaje acheni upumbavu kuzomea mtu ambae hata ujui kama atashinda au hatoshinda koo hao wanaozomea wamijiaminisha kabisa kura zao ndo zitamfanya lowassa ashinde alafu utaendaje kwa mtu ambae wewe humtaki ukaenze kumzomea ukipigwa na police unaanza kulalamika ooh police wanatuonea wakati umeyataka mwenyewe
 
CCM mnadhani tatizo la kilimo chetu na wakulima kukosa Ruzuku?Mnadhani tatizo la mfumuko wa bei ni kutokana na wakulima wetu na wafanyabiashara wetu kupeleka mazao ya kilimo nje kihalali au kwa Magendo? Tatizo kubwa ni viongozi wetu kuwa wafanyabiashara/kuwa wawekezaji katika sector mbalimbali za nchi yetu ndo tatizo?nani hataki biashara yake ipate faida kubwa kwa kuuza bidhaa zake kwa bei ya juu?
 

Kama wali interfere huo ni uhuni na haikubaliki. Napenda mqbadiliko lakini uhuni haukubaliki! Lakini kama walitumia ujanja ujanja kuhadaa watu kuwa walisimamisha msafara ili wamsikilize ndo wameumbuka.

Yote kwa yote tuwe wastaarabu!
 
Natamani uchaguzi ufanyike leo, Tumweke LOWASSA, halafu tuendelee na mambo yetu!

....mkuu naumia sana nikiona Lowassa anaelekea kushinda halafu watu wanahujumu haki ya watanzania kwa maslahi yao binafsi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…