Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa
 
Huyu jamaa alivyo na visasi sipati picha kakasirika kiasi gani!
Hima jama tufanye mabadiliko,mzee wetu sweetheart Lowassa ndiye chaguo sahihi kwa Urais.

Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa Magufuli ni mtu wa visasi
 
Aaaaaah!!! aaaaaaah!!! tafuta limao ule nduguuu!!!! Naona umeshapagawa tayari!! hadi tr 25 mtanyooka tuuu!!!!

I am a politicians......!!! i congragate.......spoken by ccm Dr....!!! aaaaaah!!! aaaaaaah!!
ccm mwaka huuu mmenoa!!!
 
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?

Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.

Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.

Kwa hadhi yako kamanda mpaka umeamua ku-comment manake imeku-touch na dawa imekuingia sawasawa. Tulia kamanda japo sindano inauma lakini sharti usitikise makalio isijevunjikia takoni ikawa balaa.
 
Kwani alikuwa bado hajaenda kupiga kampeni
 
Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.
 
Mbowe na mpuuzi mwingine Sugu ni tatizo sana sijui kwanini hawa jamaa wa CDM/UKAWA wanamkubali kiongozi wa ovyo na bogus kama yule.

Watu wanatumia nguvu nyingi sana kufanya huu uchaguzi uwe wa kidemokrasia; nakuhakikishia uwezi kuwasikia viongozi wa UKAWA kutoka na kukemea hivi vitu ambavyo vinaweza lipuka muda wowote ni viongozi wa CCM tu wako makini kwenye kuzuia mambo kama haya kuweza kuzalisha fujo za papo kwa hapo.

Wameshaambiwa sana kama mkutano unaona si wa kwako na utaki kumpigia mtu kura usiende kuliko kujitokeza kwa malengo ya vurugu; yaani wanatakiwa wapigwe hawa kushinda kibano cha Mtwara wote na waliomzomea Haji Duni pia Nzega.
 
Mbarari?!
Anyway, Tatizo la magufuli hafanyi siasa za kitaasisi, anajiendea yeye kama yeye. Nilimsikia Mzee Sumaye akiwa Hai juzi kuwa Magufuli amemkwaza Mwenyekiti wake. Sasa aangalie asizomewe mbeya..
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa

Kwani kazomewa?

Watu wameimba lowassaaaaaaa pindi alivyokua kasimama eneo husika huko mbeya
 
Huyu jamaa alivyo na visasi sipati picha kakasirika kiasi gani!
Hima jama tufanye mabadiliko,mzee wetu sweetheart Lowassa ndiye chaguo sahihi kwa Urais.
Visasi ni vya Mungu, kwakweli nimeiona video kupitia wasapu ni sheeeeeeedah, kote wange kutana na mwamko dhidi yao kama huo wange acha kutudharau sisi wa chini.
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa

Hao ni vijana wanaopangwa kuleta fujo. Sasa wa CCM nao wakiwaletea fujo tutabaki? Chadema use common sense. Matusi kwenu na kila kitu.Huwezi kushinda kwa kuhonga na propaganda za hivyo.
 
Last edited by a moderator:

Sasa walikuwa wanafanya nini barabarani kama hawakutaka kusikiliza? Asiposikilizwa hapa anasikilizwa pale. Akirudi tena kesho wanamsikiliza waliokataa kumsikiliza jana. Siasa. Songa mbele
 
Tunaisambaza hii video tuone kama mamvi atafanya mikutano Kanda ya Ziwa!
 
Uwongo wenu mwisho October 25. Leo magufuli yupo Iringa wilaya ya Mufindi pole Sana kajipange upya
 
Nadhani mlimsikia msukuma na kampeni zake kule kanda ya ziwa
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa
CCM ndio hawana uvumilivu. Kweli wenye akili inayoishia kuvuta mpunga CCM wanajitoa hawawezi hili mabadiriko akili zao kama zako zimeishia Lumumba
 
Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa Magufuli ni mtu wa visasi

Ni mtu Wa visasi sana na ingependeza sana amlaumu bosi wake Vasco da gama na mwanae ndo waliosababisha watu waichukie ccm chama cha wajinga
 
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?

Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.

Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.

Unafikiri Ukawa kuna mtu anamuda wa kukusanya watu wa kuzomea kama CCM mnavyofanya? Ukawa hakuna upumbavu kama wa Masaburi kukusanya mateja yaandamane. Ukawa ni sera na mtakiona 25 oktoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…