Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Dah, niko peke yangu room hapa ila nimejikuta nikifurahi tu mwenyewe.

Sina hata la kuchangia zaidi ya hiki nilichochangia aseee.

Hatari sana kwa kweli.
 
tunazijuwa sinema zenu, Tutamchagua Magufuli kwa kura nyingi coz tunajuwa lowasa anavyojiandaa kwenda kutufanyia biashara ikulu, mpeni salam tumeshtuka.
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa
kuvjmiliana -kuvumiliana huko shuleni mnaenda kusomea ujinga?
 
Mbeya Mjini hapo Kabwe/Mwanjelwa ni pale ambapo Magufuli last time alipita na kukutana na Vijana walioandaliwa na Sugu wakimuimbia Magufuli "Mabadiriko, Mabadiriko" Magufuli akawanyoshea vidole ✌🏾✌🏾✌🏾 wakaanza kumshangilia, akiwambia atarudi tena.
Leo hii hasubuhi vijana hao wa Sugu na wananchi kwa ujumla waliposkia Magufuli anapita hapo, wakajikusanya tena na kuzuia barabara kuu Dar to Zambia huku walimtaka awahutubie.

Vijana wames'tukia, kuwa Magufuli ndio njia sahihi ya Mabadiriko Tanzania.
 

Attachments

  • 1443364174112.jpg
    1443364174112.jpg
    96.6 KB · Views: 198
Issue ya Burkina Faso na Tanzania hazina uhusiano wowote usichanganye mambo Tanzania ni nchi ya demokrasia wananchi ndiyo wanahamua.
Mkuu huyo naye haitofautiani na Magufuli anaye ifananisha Libya na Tanzania.
 
Naziona siku 27 ngumu za kampeni. Naomba tuvumiliane, hivi nini kitatokea kama wafuasi wa CCM nao wakianza kuvuruga utulivu wa mikutano ya Lowasa kwa kuzomea?
Hawawezi, watu wa ccm hawa morali kabisa. Humu jf ndio wanaongea lakini mitaani kimya.
 
Ujinga na upumbavu mtupu?

Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.

Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.

kufuli hana watu. wasanii anaotembea nao ndio wenye watu. na watu huwa wanafuata fiesta. sasa hao watu wa kufuli ni kina nani?
 
Hii sasa ni Hatari. Mgombea Urais anafanywa vile! Mhhhh, ngoja tuendelee kushuhudia.
 
wakitendewa wao wanakuja jf kulia lia,alianza sugu kung'oa bango,kibao kilipogeuka wakaja mbiombio jf kushitaki huku wakilia lia
.
sasa hata hili wakijibiwa tutegemee malalamiko kibao.
ccm hawashindwi kujibu hapo..
 
CCM itafute hela kuwapa wanahabari la sivyo wataianika TVs,fanyeni fasta kama kawaida yenu
 
Ujinga na upumbavu mtupu?

Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.

Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.

Unasahau Magufuli alipokuwa Geita aliwataka wananchi kumzomea Lowassa pindi atakaporejea hapo.

Sasa haya mambo kayaanzisha avumilie
 
kikwete aanze kabisa kutoa hirizi zake pale ikulu lowassa ajaaaaa
 
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?

Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.

Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.

kwa bahati mbaya sana hao unaowaita 'wahuni' ndio wapiga kura mwaka huu.
 
Back
Top Bottom