Kama ni kweli walimzuia.Ni kosa kisheria.Anayeamua mtu kuwa raisi ni mpiga kura.Huwezi zuia mgombea wa chama kingine na kumwambia tunamtaka mgombea wetu.Inaelekea hao waliozuia hawajui sheria wala chochote.Hivi magari ya washawasha yangewamwagia maji na wakawapiga virungui wangesema wanaonewa?
Huwezi zuia msafara wa chama kisicho chako au kuuingilia msafara wa chama kingine.CHADEMA elimisheni hao wahuni weni na wanywa viroba.CCM ikiamua kumfanyizia huyo mtu wenu msije piga yowe.
Jeshi la polisi nalo likakamae lisiachie ujinga kama huo ujirudie tena
Wahuni na wanywa viroba wametokana na serikali gani?viroba vinauzwa Zambia wengine ndugu zenu hata kama wamekosea matusi hayajengi.