Abel Ndundulu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 846
- 388
Ni uhuni ambao unapunguza kura za ukawa toka kwa watu wastaarabu. Kama wewe umeshaamua unamtaka Lowassa huna sababu ya kwenda kupiga kelele kwenye mkutano wa Magufuli.
Kama kuna chama kisichokuwa na ustaarabu duniani ni CCM,Mfano i.Kauli ya goli la mkono ii.Kauli za Bulembe iii.Matusi ya Mkapa Jangwani na Bukoba vs Kibajaj + Msukuma iv.Nunua nunua wasani na Viongozi wa upinzani v.Mashabiki kugaiwa tiketi na mabango taifa vi.Ulaghai wa kisiasa wa Masaburi etal NB:LOWASSA ANATOSHA!