Umati upi hao ni wahuni tu wanafanya fujo kama mnamtaka Lowassa na mnajiamini si msubiri siku ya kupiga kura.
Akili inakataa kukubali sio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umati upi hao ni wahuni tu wanafanya fujo kama mnamtaka Lowassa na mnajiamini si msubiri siku ya kupiga kura.
Ushindi hatokani na makelele au kunyoosha vidole juu. Wakiendelea hivi hata sisi tutawajibu
Kweli wewe ni mfungwa, hauhitaji tafiti za Twaweza kujua kwamba Wananchi Wamekichoka CCM, hata ninyi mnaofaidika na ufisadi wao mkiitetea hamtashinda, hakuna siku Nuru ilishindwa na giza,,,
CCM OUT
Pia waweza kuwa wamelipwa kufanya fujo! Hizi ni fujo ambayo tume ya uchaguzi lazima iiangalie kwa mapana yake!
Issue ya Burkina Faso na Tanzania hazina uhusiano wowote usichanganye mambo Tanzania ni nchi ya demokrasia wananchi ndiyo wanahamua.
Wewe unaona Lowassa tu kutukanwa sababu unampenda.Ungewapa ccm ushauri huo. wanatukana matusi ya nini kama hawamtaki lowasa si wasubiri tu tar. 25?
Lowasa kawachagulieni magufuli akaondoka zake bila matusi lakini wenzenu kila kukicha wanamtukama tu lowasa. Au wanamtukana ili kupunguza hasira kwa kuwachagulia magufuli halafu akaondoka kwenda upande wapili!?
vizuri hao km wanaakili wangemkataa ndani ya box.. lakini huko ni kuonesha kuwa lowasa anasapoti ya wahuni pekee...
Hawakuletwa na malori lskini! Ila amewakuta wamejikalia zao njiani wakiwa hawana ajira ya uhakika ma labda wakiwa wanawakimbia mgambo
Kamanda uchaguzi bado mbona unaanza kalalamika au unajiami kabisa.Democrasia ya goli la mkono?!!!!! au ya kununua tafiti?!! au ya kumnunua Lipumba na dr!!!!!!!? au ya kumpiga risasi Mwangosi!! ipi ya kumweka ndani mgombea ubunge wa chadema dodoma!!! au ile ya kusema hamtaachia ikulu.
Boknafaso nako walikuwa wakijitapa kuwa kuna democrasia hivi hivi!!!!! Hata bokinafaso nayo ilianza hivi hivi raisi akawa kichwa ngumu wananchi wakaichukua nchi yao!!! Juzi eti anataka tena kurejea kwa mapinduzi ya watu watatu wako lupango now wananyea ndooo!!! achieni nchi tuu maana mtanyea ndooo na wengine mtahama nchi mkiendelea na ujinga wa ccm ni ile ile!!!!!!
Someni alama za nyakati!!!! Vumilieni tuuu sii wanampa ujumbe tu magufuli kuwa mwaka huu ni manadiliko na Lowassaaaaaa?!!!
Two wrongs dont make a right sikukubaliana na kauli hiyo iliyotolewa na ya kukosa nidhamu pia na hata pia umeona sikubaliani na alichofanyiwa mgombea wa UKAWA Nzega kuzomewa pia.Vipi yule alitemdhalilisha Lowasa eti alijinyea Ccm ilishatoka kumkemea.
Ccm wameasisis siasa chafu na wao ndio watakao umia
Pro-Chadema kuweni wavumilivu October 25 siyo mbali kama mnaamini nyie ni nguvu ya umma subirini mpige kura siyo kuleta fujo kwenye mikutano ya vyama vingine.
Hata kama hamkubaliani na huyo mgombea fujo za nini wafuasi wao nao wakijibu kwa mgombea wenu mtakuwa wavumilivu.
Fanyeni siasa za kistaarabu msiwe malofa.