Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

CCM wanamtwika Magufuli mzigo asiouweza

Kuinadi ccm inabidi uvae sura ya nyani.watu walishaichoka ccm. Hata Magufuli mwenyewe inambidi awe anaongea mpk maneno ya kwenye maandiko (biblia) ili aonewe huruma. Waaapi.
 
Ujinga na upumbavu mtupu?

Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.

Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.

Bao la mkono haliwezekani. Wekeni silaha chini na mumuunge mkono kamanda Lowassa kama kweli ni wastaarabu
 
Hao ni vijana wanaopangwa kuleta fujo. Sasa wa CCM nao wakiwaletea fujo tutabaki? Chadema use common sense. Matusi kwenu na kila kitu.Huwezi kushinda kwa kuhonga na propaganda za hivyo.
Mkuu kuwa mkweli wa nafsi yako. Chama kinachoandaa fujo na propaganda chafu unakijua
 
Ujinga na upumbavu mtupu?

Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.

Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.
Unahasira sana mkuu, pole sana maana hamkuyatarajia haya. NB; WENYE NCHI WAMEAMUA KUFANYA MABADILIKO.
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa
umesahau alichokisema pombe kahama alisema kuna watu watakuja kuwadanganyeni wakija wazomeeni,nayeye alitaka kudanganya watu kazomewa.
 
Anayesema vijana hao walipangwa hatumii akili,kwanza hapo hapakua sehemu ya mkutano,nisenta shughuli mbalimbali zinaendelea,kilichomponza magufiri ni ile anayoita mikutano ya dharura yeye alipoona tu ni senta na watu hapo akaamuru msafara usimame aombe kura ndipo aendelee na safari.Walichokifanya vijana hao wamemtumia ujumbe tu kuwa hatukutaki endelea na safari yako.
Hawajafanya fujo hapo hakuna jiwe limerushwa.
 
Kabla ya kusifia huu uhuni jiulize, je wewe unaweza kwenda kwenye mkutano wa mgombea usiyemtaka kwenda kuimba jina la mgombea mwingine? Ukiona huwezi kufanya hivyo jiulize, what is wrong with these kids?
Huo haukuwa mkutano halali kajipendekeza mwenyewe kusimama barabarani eti aongeze idadi ya mikutano ya papo kwa papo.

Next time atatia akili angemuuliza kwanza Kikwete kabla ya kwenda Mbeya.
 
Japo kura yangu kwa lowasa ila ninemuonea tu magufuli huruma huko kuzomewa
 
UKAWA mjifunze siasa za kuvjmiliana. Kama tukiendekeza zomea zomea sijui kama tutafanikiwa kimaendeleo. Ndo maana wenye akili wanawakimbia. Wanabaki wajinga tu na malofa

piga kimyaaa na ukae mkao was kuliwa
 
Wanajikalia bila kufanya kazi, halafu ndio wanaleta vurugu za kihuni namna hiyo. Kama wanahitaji lowasa wasubili kura. Kupiga kelele kwa kuhongwa kutakusaidia nini. Chadema kuna kitu kimemisi somewhere kilikuwa chama flesh sasa kinakuwa na kuongozwa na wahuni.

Tangu lini ukaisifia chadema wewe iwe Leo? Hao wahuni ndio tunaowataka nyie wastaarabu mkae hukooo.
 
hali ya upepo wa siasa umekuwa mbaya kwa magufuli, hana matumain kabisaa
 
Kilichotokea baada ya kupita hapo town magufuri akasema ngoja atoe kichwa awasalimu ndipo mziki ukaanza akujua watu wamechoka akadhani watamsikiliza ha ha alichokipata anajua mwenyewe.

Hahahahaaaaaa leo hapati usingizi na kidevu chake.
 
mabadilikooooo Lowasaaaaaaaa, LowasaaaA Mabadilikooooooo
 
Tanzania hamna kiongozi anayeongeza muda wa kuongoza kubadili katiba kila baada ya miaka miatano uchaguzi wa kidemokrasia.

ivi mkuu assume kama makamba asingetafuta vijana wa IT kwa ajili ya kudili na mitandao ingekuajee??
 
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.

Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.


Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?

Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.

Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.

Ni kweli mkuu, tusiwape kura wanaoandaa vijana kufanya vurugu km akina Didas Masaburi. Ila km alivowapongeza wale uvccm aliowandaa, mimi pia nawapongeza hawa vijana kwa kufanya hii kaz inayolipiwa na Masaburi kwa kujitolea.
 
Back
Top Bottom