Mshahara kuingizwa siyo kosa cha msingi kabla ya kumtuhumu huyu mhusika je alizichukua hizo fedha zilizokuwa kwenye payroll?Kama alichukua basi ni mwizi na anastahili kushitakiwa na ni aibu kwa taifa hivyo Rais amuondoe mara moja kwenye hiyo nafasi baada ya kufanya uchunguzi kwa kuwasiliana na serikali ya Botswana,na wakati Uchunguzi unafanyika basi asimamishwe kazi kwa muda.Pili kama hakuwa na nia mbaya kwanini baada ya kukubali kazi nyingine asiwandikie barua waajiri wake kwamba hata endelea na kazi hapa inaonyesha kwamba alikuwa na nia ya kutenda kosa?Achunguzwe na hatufai anatia nchi doa na ameshavuruga credibility ya watanzania nchini Botswana.
Nakujibu kwa kuwa nimeona utulivu Fulani ktk andishi lako.
Kama kuna uvunjaji wa taratibu na vyombo vya dola vikawa fair kwa pande ZOTE naamini tusingefika huko.
Shida ni pale kosa linapofanywa kwanza na Ccm police na tume wakakaa kimya then Ukawa wanapofanya kosa hilo na zaidi Polisi wana kuwa na hofu ya double standard hiyo tayari ni shida.
Umezungumzia kauli za mbowe vipi kuhusu maneno ya bulembo kuwa Ccm haiwezi kuachia ikulu na tume imesema ni ya kisiasa, ukweli ni kuwa MTU asiye na ufahamu Mkubwa aliyeamua kumpa kura Lowasa anaweza asiende kupiga kura . kwanini apoteze muda wakati Ccm haitaachia ikulu kwa kura??
NINATAMANI TUFIKE MAHALI VYAMA VYOTE VIFANYE SIASA ZA HAKI, NA VYOMBO VYA DOLA NA TUME VIWE HURU KUFANYA KAZI ZAO.
LKN HAYO SIO RAHISI ISIPOKUWA KWA HISANI YA CCM AU KWA KUING'OA CCM TUJIPANGE UPYA, NAFASI TULIYONAYO KWA SASA NI KUITOA CCM ILI TUANZE UPYA.
Sorry ninamjibu Eric Cartman lkn Niki quote inatokea post yako
Last edited by a moderator:
