Wamemzomea vibaya sana..... Huu mwaka CCM hawachomoki
Mbeya ni balaa, kama walimpopoa mawe Rais JK, sembuse Magufuli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemzomea vibaya sana..... Huu mwaka CCM hawachomoki
Mkuu,hao watu wa Magufuri mtaani hawapo pengine Lumumba tu.CCM mnategemea kukusanya watu kwa mara kutoka huku na kule ili mkutano uwe na watu.Hamuwezi kupata vijana hao kutoka sehemu moja.
Pia tambua ni tabia ya Magufuri kufanya mikutano ya barabarani walichofanya ni kumueleza tu kuwa hawamtaki aendelee na safari yake,hakuna hata jiwe wala chupa iliyorushwa mkuu.
ACT mnaendeleaje na kampeni?
Punguza mapovu....
Kuna watu wana matusi humu JF kama Bavicha? Labda waambie wanaojiunga leo JF.Ustaarabu wako kamfunze kwanza Msukuma,
Baada ya jana Vincent kumjibu Msukuma kuwa mzee pusher ana mkono wa sweta leo mko kimya hata hamgusii matusi yenu.
Acheni kulialia dawa ya moto haijawa maji hata siku moja ni moto.
Kuiba ni dhambi lakini siasa zinazoweka maisha ya watu hatiani ni dhambi zaidi. Sasa mwizi na mtu anaependa siasa za fujo wakikutana ndio dhambi kubwa kwa bwana godi na sheria za nchi zinatueleza.
Nakushauri achana UKAWA kwa sasa jamaa ni hatari kwa taifa; tumia akili tu wala si kingine. Magufuli analengo la kuwanyoosha wote.
bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?
Wapiga kura wametulia majumbani hawana fujo.
Endeleeni kujifariji mtakimbia humu baada ya uchaguzi.
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.
# hapa ni kazi tu. Achana na warundi wenye majungu,umbea na fujo. Wamegawa chama kizuri kwa fisi. Mfungwa anaangalia mtu sio chama.
Kwanza hiyo siyo ya leo
Uwongo wenu mwisho October 25. Leo magufuli yupo Iringa wilaya ya Mufindi pole Sana kajipange upya
Hilo la ugonjwa liko wazi wala si kumvunjia heshima Lowassa anaumwa.
Tukio la duni ni recently na kikubwa wananchi walitaka kusikia hoja sio matusi aliyoyaanzisha kwa CCM, either way sikubaliani na kuzomewa kwake sio ustaarabu hila viongozi wa CCM wamekuwa wakisema sana kwa wanachama wao kuacha kuzomea watu na kueshimu maamuzi ya wengine sijasikia UKAWA wakitoa matamshi ya aina hiyo tangia uchaguzi uanze.
Naziona siku 27 ngumu za kampeni. Naomba tuvumiliane, hivi nini kitatokea kama wafuasi wa CCM nao wakianza kuvuruga utulivu wa mikutano ya Lowasa kwa kuzomea?
Kuna watu wana matusi humu JF kama Bavicha? Labda waambie wanaojiunga leo JF.
Sanduku la kura halina lebo kwamba anayejitambua aweke huku na asiyejitambua aweke kule!! what we need is changes.Halafu hizo video ndizo zinaonesha ni kwa namna gani UKIWA inaungwa mkono na watu wasiojitambua....
Naziona siku 27 ngumu za kampeni. Naomba tuvumiliane, hivi nini kitatokea kama wafuasi wa CCM nao wakianza kuvuruga utulivu wa mikutano ya Lowasa kwa kuzomea?
Wenyewe ndiyo mabingwa wa kulalamika lakini upuuzi wanaofanya wanaita nguvu ya umma.Mkuu, kwenye jukwaa la complaints kuna thread vijana wa bavicha wakishirikiana na nyumbu wa ulipo tupo wanalalamika picha za Magufuli kuwekwa kwenye thread wanazoanzisha.
Cha kushangaza, watu haohao ndio wanaunga mkono wahuni kuvamia mikutano ya kampeni na kufanya fujo.
Hizi zote ni dalili za kushindwa. Watu wanaojiandaa kuchukua serikali hawawezi kufanya uhuni kama huu.