Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Acha tu hata kam angekuwa anafa kwa hicho chama anacho gombea awezi onekana mtu wa maan
 
Endelea kujipa moyo.....inasaidia kipunguza maumivu

Akili hii ndiyo itakayowafanya mzimie flat siku ya siku kwa kutoamini kitakachokuwa kimetokea. Nakushauri ulipie kabisa gharama za hospitali in advance maana kutakuwa na gharika la waliozimia kisa matokeo ni upside down
 
haah niliisikia hiyo jana. Tutachekwa sana jamaa akiwa Rais
Yaani mkuu mimi hapa mpaka natetemeka sijui nitasema nini kwa mchepuko wangu wa Nairobi, nitaficha wapi sura yangu mie huyu jamaa akialikwa Kenya? Kazi tunayo. Kwa Mkapa alinisaidia sana kutembea kifua mbele hata kwenye vikao vyetu na wa-Kenya walikuwa wanatuheshimu wakisikia tu jinsi zee lilivyokuwa linamwaga kilichonyooka!! Sasa hii habari ya cor... Corimbia univasite, today it is just to congregation you!!!
 
Shikamoo Mbeya kweli ccm hawaitajiki huku hamna cha kutueleza
 
Ama kweli siasa mchezo mchafu!!!
Kama hukubaliki acha kulazimishiaaaaaaaaaa
Tunakusubiri October 25 tufanye yetu……………………………¡¡¡¡¡!!!!!
 
Wametoa hisia zao halisi bila kushawishika na bila kulazimishwa.Hao ndiyo wazelendo wa nchi yao na wanahaki kama yoyote hapa Tanzania.Adhabu hii ni haki kwa CCM kutokana na kushindwa kuwatumikia Watanzania kama walivyo tarajia.

Haki!? Haki yakuzomea na kuzuia wengine wasipate nafasi yakuhutubiwa hivi haki maana yake nin labda? Kuweni wastaarabu hivi vijana wa ccm wakiamua kureact pia itakuwaje? Hamtaki kusikiliza kampen za ccm mkacheze bao muwaache wanaotaka kumsikiliza nchii hii kila mtu anahaki sawa msinyifanye nyie ndo mnauchungu sanaaa.
 
masikini ccm kumbe hawakubaliki mnatia huruma jamani Mbeya hawadanganyiki kabisa
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa






Abdul Hongera sana kwa kuonyesha umma hisiya za watu wa Mbeya na zinawakilisha Watanzania wengine wenye kisasi na CCM.
 
Last edited by a moderator:
watu wameichoka ccm kabisa wasilazimishe maji kupanda mlima wataumbuka sana
 
Hizo picha si za bahati mbaya!
Hapa si uwanja wa kampeni!
Vijana wa Mbeya mliojiorganize mlimsimamisha Magufuli ili mumpigie kelele! Hakuomba kusimama na wala haikuwa plan yake! Hii clip ya pili mchukua video na wenzie ni dhahiri hawakuamini kama walevi wenzao wataingia barabarani kumsimamisha Mr. President!
Lakini nimemuheshimu Magufuli, ni kweli anastahili kuwa raisi wetu!
Miongoni mwa mambo anayopaswa kuyajua ni kuwa hata hawa vijana wanywa viroba na watu wa ganja ni miongoni mwa watanzania mil 45, hana jinsi yeye ni kiongozi!
Watu wenye upeo mdogo huwa wanachelewa kujua vitu! Taratibu wataungana tu na watanzania wengine!
Ccm wasameheni Hawa wahuni saba mara sabini!
 
Akili hii ndiyo itakayowafanya mzimie flat siku ya siku kwa kutoamini kitakachokuwa kimetokea. Nakushauri ulipie kabisa gharama za hospitali in advance maana kutakuwa na gharika la waliozimia kisa matokeo ni upside down

UmejiShauri vizuri..R.I.P
 
Ritz unawezekana kweli wako nyumbani sasa kampeni zina faida gani? bado hao wa kampeni ukiwajumlisha nchi nzima ni mamilioni pia.
 
Dodoma, Livingstone Lusinde
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imejadili kwa kina suala la kupanda kwa gharama za maisha nchini. NEC inakiri kwamba ni kweli lipo tatizo la kupanda kwa gharama za maisha nchini.

Tatizo hili pia limezikumba karibu nchi nyingi za Afrika Mashariki na kwakweli karibu sasa lipo dunia nzima.

Baadhi ya sababu za kupanda kwa gharama za maisha hapa nchini ni pamoja na;

1. Hali mbaya ya mavuno inayotokana na uhaba wa mvua au mvua kunyesha kipindi cha nje ya msimu katika maeneo mengi nchini.
2. Kuongezeka kwa bei ya mafuta duniani, hivyo kuongezeka kwa gharama za uzalishaji wa bidhaa na usafirishaji wa mazao.
3. Kuyumba kwa thamani ya dola ya Marekani.
4. Kuwepo kwa soko huria ambapo sasa mazao ya chakula yanapata soko nje ya nchi, na wakati mwingine kuuzwa nje kwa njia ya magendo na hivyo kusababisha uwepo wa ukubwa wa mahitaji na hivyo kuongezeka kwa bei ya chakula nchini.
5. kuongezeka kwa walaji wakati uzalishaji ukiwa mdogo.
6. kutofanikiwa (ikiwemo kuhujumiwa na wafanyabiashara wasio waaminifu) kwa baadhi ya mikakati ya kudhibiti mfumko wa bei.

Uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa.

1. Pamoja na Serikali kuendelea kuchukua hatua za muda mrefu na wa kati za kukabiliana na tatizo hili, CCM inaiagiza Serikali kuchukua hatua za haraka za muda mfupi ikiwemo kuangalia upya baadhi ya kodi katika vyakula pamoja na kodi ya ongezeko la thamani VAT katika sukari.

2. Utaratibu wa ruzuku ya mbegu na mbolea upanuliwe ili kunufaisha wakulima wengi.

3. Serikali iongeze kasi ya utekelezaji wa mpango wake wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi chakula nchini, hasa kwa kupitia Hifadhi ya Nafaka ya Taifa, ikiwa ni pamoja na kujenga maghala zaidi ya mazao ya chakula katika maeneo ya uzalishaji wa mazao, na kutenga fedha nyingi zaidi kwa ununuzi wa mazao hayo. Pamoja na hili, mipango ifanywe kuongeza uwezo wa wakulima kuhifadhi chakula chao wenyewe na kupunguza upotevu baada ya mavuno (post-harvest losses).

3. Serikali iendelee kupanua utaratibu wake wa kutumia Hifadhi ya Nafaka ya Taifa (SGR) kama nyenzo ya kudhibiti kupanda kwa bei za vyakula. Wakati wa uhaba wa vyakula katika maeneo ya mijini, kasi ya kupeleka chakula maeneo hayo iongezwe na utaratibu mzuri zaidi wa usambazaji wa chakula utumike ili walaji, na sio wasafirishaji na wasindikaji, wanufaike.

4. Serikali iongeze kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya kilimo nchini, hasa ASDP na SAGCOT, ambayo itasaidia kumaliza tatizo la chakula nchini na kuongeza ajira na kipato kwa Watanzania walio wengi.

5. Serikali idhibiti malipo ya huduma ya ndani kwa kutumia fedha za kigeni, hasa dola za kimarekani. Aidha, Serikali iongeze udhibiti wa Maduka na mahoteli yanayofanya biashara ya fedha za kigeni ili kuondoa hujuma kwa uchumi wa nchi inayofanywa kutokana na uhuru uliokithiri katika biashara hii.

6. Waajiri wahimizwe kupandisha mishahara na malipo mengineyo kwa wafanyakazi wao ili waweze kumudu gharama za maisha.

7. Serikali iweke jitihada zaidi za kudh ibiti ulanguzi wa bidhaa muhimu na upandishaji holela wa bei za vyakula, kodi za nyumba na usafiri.


Nape Moses Nnauye
Chama Cha Mapinduzi
Ideology and Publicity Secretary
Posted by CCM Blog
 
Haki!? Haki yakuzomea na kuzuia wengine wasipate nafasi yakuhutubiwa hivi haki maana yake nin labda? Kuweni wastaarabu hivi vijana wa ccm wakiamua kureact pia itakuwaje? Hamtaki kusikiliza kampen za ccm mkacheze bao muwaache wanaotaka kumsikiliza nchii hii kila mtu anahaki sawa msinyifanye nyie ndo mnauchungu sanaaa.

Hiyo ni ishara ya kuonyesha hasira zao kwa CCM kutokana na dhuluma wanazo fanyiwa na serekali ya CCM.Ugumu na umasikini umesababishwa na CCM.Mshahara wa Dhabi ni mauti na CCM byeeee.
 
Back
Top Bottom