Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

Huyu mkoloni mweusi ni hatari kwa ustawi wa nchi yetu.

Laana gani hii ya kuiba mafao ya wastaafu? Kama hiyo haitoshi amewafunga watumishi vijana kwenye kifungo cha makato yasioisha ya bodi ya mikopo.

Huyu mtu ni mwenye roho mbaya mno.
 
Usanii mwingine wa serikali awamu 5 uko hivi. Unadai salary areas let's say mili 10 Tsh. Malimbikizo miaka miwili. Wao Wanakulipa sh. Mili moja na wanaonesha kwenye salary slip kwamba ni malipo ya miaka kumi iliyopita. Kichekesho sasa .. Ukihesabu miaka husika utakuta hiyo mil moja ati ni malipo ya tangu upo form six. This government ni utopolo
 
Wazee Wastaafu wanasotea mafao yao mwaka wa 2 huu
 
Tangu tupate Uhuru hapajatokea Rais katili na dhalimu kama huyu tuliye naye. Yaani huyu ni mbadhirifu sijapata ona. Anatumia fedha za taasisi na mifuko ya jamii vile atakavyo. Yaani anawadhulumu watumishi wa umma fedha zao kisha anazigawa kwa wanaCCM wenzie barabarani na makanisani. Sijapata kuona Rais wa hovyo kama huyu.
 
Mataga wakionaga uzi wa mambo ya wafanyakazi(increaments/mafao etc) hua hawakanyagi hata kwa dawa.

Maana wataongea nini sasa.
Duuu! Yaani hadi nawamiss, maana si kwa ukomya huu!
 
Halafu anapogawa anafanya kama vile ile ni mali yake binafsi!
 
Du! Hiyo nilikuwa sijaipata. Kumbe utawala huu una maovu mengi hivi? Sasa anapata wapi ujasiri wa kusema kwamba tutamkumbuka?
 
Wanaoshabikia huu utawala mimi huwa nawaona wana kasoro vichwani mwao.
Ni ama njaa/ujinga/wale wasioathirika moja kwa moja/wanufaika. Mimi kwenye la Coron nilimpa heko kwa kutoweka curfew au lockdown kabisa. Japo pia alifanya ujinga kutozuia mipaka kuingiza watu, wengi huwa hawalioni kama moja ya failures ktk kupambana na corona. Kimsingi mimi nampa 1/10.
 
Kwa hiyo JPM amewanyima wafanyakazi ile nafuu aliyowaahidi, badala ya kuwapa mkate akawapa SHUBIRI
 
Ndiyo UJINGA uliotamalaki Nchini Mkuu. Ukisema ukweli kuhusu huyo dikteta basi umetumwa/unatumika na MABEBERU, kama vile Watanzania wote tumekuwa MAZWAZWA hatuwezi kutumia haki yetu ya kikatiba kukosoa mengi TUSIYOYAPENDA kutoka kwa dikteta hadi TUFUNDISHWE na MABEBERU.

Mkuu hapa utaambiwa umetumwa na mabeberu au ni wivu tu wa majirani zetu kenya[emoji23].Ila hii nchi kuna muda inatia huruma sana yaani nikimuangalia mzazi wangu ni mfanyakazi wa serikali lkn maisha yake aisee unawezalia[emoji26]
 
Rais anafanya mazur lkn hapo naona alijisahau anapaswa kukumbushwa na wasaidizi wake badala ya kumuimbia mapambio
 
Mataga wakionaga uzi wa mambo ya wafanyakazi(increaments/mafao etc) hua hawakanyagi hata kwa dawa.

Maana wataongea nini sasa.
Kabisa huwezi kuwaona.

Yaani mimi la mafao mpaka miaka 60, kupandisha makato bodi ya mikopo ni namna gani zee la kisukuma lilivyo katili. Halafu nina bahati mbaya na wasukuma. Wengi niliokutana nao ni washenzi, washenzi. Wanisamehe kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…