Magufuli alihujumiwa na Makonda?

Makonda bobaaaa! Ila nchii hii inawasengewasenge wengi kama vijana wangu wa nyumbani kabisa pale Arusha kwa kumshangilia yule Mr Yas au Zero Brain Bashite
 
Nitakaye mbusu ndiye, mkamateni! Na yule je aliyelia hadharani kama Yuda ni wa pili?
 
Hilo si tatizo la ushamba pekee mkuu, ni ujinga.

Kwa makadirio ya haraka zaidi ya 90% ya watanzania ni wajinga walio na uwezo wa kufikiri ulio chini sana kiasi cha kustaajabisha
Ni matokeo ya matumizi ya unga wa sembe ( uliokobolewa kuomdoa virutubisho) kama chakula kikuu. Watanzania wengi wana udumavu wa kiakili, reasoning capacity ipo chini sana.
 
Hivi sitta alimfanyiaga nini huyu Jamaa?

Lusungo Stuxnet
 
Cc Robert Heriel Mtibeli
 
Umechelewa sana kujua, Makonda alilelewa na Samweli Sitta Mwanamtandao, akateuliwa Ukuu wa Wilaya na Kikwete baada ya kumkata mitama Mzee Warioba
 
Bashite ni nyoka mwenye sumu kali sana. Mafanikio yake anayapata kwa kuwafitini wengine. Bahati mbaya wananchi wengi wako na low thinking capacity amefanikiwa kuwalaghai.
Sure...
Nimepita kwenye moja ya post zake za kuchukua fomu Kuna wanaiwaza kabisa huyo zero brain kubwa rais ...
Aisee nmechafukwa sana
 
Makonda ndiye alitoa password kwa wauaji.
 
Ndiomanaa Alikua Na Kiburi Mpaka Cha Kumfokea Waziri Mkuu

Hakika Hii Nchi Watanzania Wengi Wamelala Kuja Kuamla Washauzwa

Wamemkataa GamboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili wazo limenijia pia jana.

Jamaa ni timu msoga aliyesogezwa kwa Sizonje kwa akili kubwa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama ni kweli aisee walitumia akili kubwa Jiwe ulikuwa humwambii kitu kwa RC wakati ule wa jiwe yeye ndio alikuwa kama Abdu.Hii itakuwa ni kweli maana angekuwa sio wangekuwa wamemtema muda tu.Yule mwezie Ole Sabaya ametupwa huko gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…