Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti
Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa hawa Marais wawili.
Magufuli alikuwa hana wasiwasi wa kuchaguliwa kipindi cha pili. Alikuwa anafanya kazi tu ili aende Mbinguni kuwaongoza Malaika.