Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.
Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania
Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.