Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Awamu fulani nimeisahau jina Rais aliletewa list ya Mafisadi papa akaishia kusema awa wakiguswa nchi itatikisika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchawa wa kijinga ww! Jiwe alikuwa ni kichaa!Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.
Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania
Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Kuna tofauti ya kukubaliana kutokubaliana na unafiki, dishonest, ulafi na uchumia tumbo. JPM angekua china ange strive sana.moja ya jambo kubwa katika demokrasia ni kukubaliana kutokukubaliana
Magufuli alikuwa mshamba tu wenzie wakiiba hela wanaweka mabank ulaya eti yeye kaiba 1.5 tri kaficha kwenye chumba kule kijijini chatoHayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.
Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania
Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Shida yake ni moja. Hakuwa na uwezo wa kiuongozi. Alipaswa kuwa ofisini chini ya usimamizi wa mtu mwingine.Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.
Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania
Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Now hayupo na mnajua kaficha kijijini kwao kinachowazuia kwenda kuzichukua ni nn?Magufuli alikuwa mshamba tu wenzie wakiiba hela wanaweka mabank ulaya eti yeye kaiba 1.5 tri kaficha kwenye chumba kule kijijini chato
Tumezichukua zipo hazinaNow hayupo na mnajua kaficha kijijini kwao kinachowazuia kwenda kuzichukua ni nn?
JPM km alivyokua Marehemu Sokoine walikua viongozi ila hawakua wanasiasa wazuri, hawa wawili walikata mirija ya watu wengi sana no wonder they didnt get to live long ktk siasa.Shida yake ni moja. Hakuwa na uwezo wa kiuongozi. Alipaswa kuwa ofisini chini ya usimamizi wa mtu mwingine.
1. Km mlizichukua kwann mkaenda kukopa WB za Uviko?Tumezichukua zipo hazina
JPM km alivyokua Marehemu Sokoine walikua viongozi ila hawakua wanasiasa wazuri, hawa wawili walikata mirija ya watu wengi sana no wonder they didnt get to live long ktk siasa.
They died lefting behing alot of conspiracy..
Unapokata mirija ya watu unatengeneza
maadui left and right. From people far away to the ones close to you.
Mwinyi Senior & JK and now Mama know abt this ndo maana huoni wakihangaika na mirija ya watu coz they know the consequencies za kufanya hivyo and for that they will get to live long.
Mbona hizo alama zoote alikuwa nazo yeye!Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.
Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.
Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania
Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Huu mfumo hauwezi kuondolewa bila sacrifices...Huu mfumo tumeutengeneza wenyewe kwa kukubali wizi na mtu akiiba apelekwe sehemu nyingine
Miradi mingi na hela zinazotolewa zinaishia kwa baadhi ya watu Halafu kiongozi mmoja anakuja na kusema wako wapi Takukuru?
Mchukueni huyo ajieleze million zote hizo kapeleka wapi
Hizo story huwa zinaisha hapo hapo na mradi unakufa hapo hapo
Huu mfumo ni mbaya sana kwa nchi na kuubadilisha unahitaji watu wengi sio mtu mmoja kutaka kuubadilisha kwa mwaka mmoja
Huyo lazima wamuondoe tu hata awe na ngazi ya chini kabisa na kutaka kubana mirija ya watu
Jpm alikata mirija ya wengi akabakiza wachache tu wanaotafuna kwa niaba yake ili wagawane baadae akistaafu huu ndo ulikuwa ujanja wake. Kaangalie akina makonda walivyo tycoons na akina sabaya na walikuwa hawagusiki kisa Kuna godfather juu yao.JPM km alivyokua Marehemu Sokoine walikua viongozi ila hawakua wanasiasa wazuri, hawa wawili walikata mirija ya watu wengi sana no wonder they didnt get to live long ktk siasa.
They died lefting behing alot of conspiracy..
Unapokata mirija ya watu unatengeneza
maadui left and right. From people far away to the ones close to you.
Mwinyi Senior & JK and now Mama know abt this ndo maana huoni wakihangaika na mirija ya watu(hawana nongwa) coz they know the consequencies za kufanya hivyo and for that they will get to live long.
Mpaka washikiwe bakoraIla ukweli ni kuwa watanzania tu wazembe sana.
wengi wetu hatuwezi kujituma.
Mpaka washikiwe bakoraIla ukweli ni kuwa watanzania tu wazembe sana.
wengi wetu hatuwezi kujituma.
Ukificha hela ulaya si ndiyo ujuaaMagufuli alikuwa mshamba tu wenzie wakiiba hela wanaweka mabank ulaya eti yeye kaiba 1.5 tri kaficha kwenye chumba kule kijijini chato
Inabd huo mfumo ukamatwe wote hadi mizizi yakeMbele yake nyuma yetu...