Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe, mafisadi na wabadhilifu wa mali za Umma

Awamu fulani nimeisahau jina Rais aliletewa list ya Mafisadi papa akaishia kusema awa wakiguswa nchi itatikisika.
 
Rais Magufuli alikuwa anasimama anasema Serikali inahamia Dodoma na mara moja ofisi zinaanza kujengwa na Serikali inahamia Dodoma,hakuna longolongo.
 
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.

Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.

Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania

Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Acha uchawa wa kijinga ww! Jiwe alikuwa ni kichaa!
 
moja ya jambo kubwa katika demokrasia ni kukubaliana kutokukubaliana
Kuna tofauti ya kukubaliana kutokubaliana na unafiki, dishonest, ulafi na uchumia tumbo. JPM angekua china ange strive sana.
 
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.

Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.

Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania

Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Magufuli alikuwa mshamba tu wenzie wakiiba hela wanaweka mabank ulaya eti yeye kaiba 1.5 tri kaficha kwenye chumba kule kijijini chato
 
Shida yake ni moja. Hakuwa na uwezo wa kiuongozi. Alipaswa kuwa ofisini chini ya usimamizi wa mtu mwingine.
 
Now hayupo na mnajua kaficha kijijini kwao kinachowazuia kwenda kuzichukua ni nn?
 
Shida yake ni moja. Hakuwa na uwezo wa kiuongozi. Alipaswa kuwa ofisini chini ya usimamizi wa mtu mwingine.
JPM km alivyokua Marehemu Sokoine walikua viongozi ila hawakua wanasiasa wazuri, hawa wawili walikata mirija ya watu wengi sana no wonder they didnt get to live long ktk siasa.
They died lefting behing alot of conspiracy..

Unapokata mirija ya watu unatengeneza
maadui left and right. From people far away to the ones close to you.
Mwinyi Senior & JK and now Mama know abt this ndo maana huoni wakihangaika na mirija ya watu(hawana nongwa) coz they know the consequencies za kufanya hivyo and for that they will get to live long.
 
Tumezichukua zipo hazina
1. Km mlizichukua kwann mkaenda kukopa WB za Uviko?
2. Mnatumia nguvu nyingi kumchafua kua aliziiba now mmezirudisha kwann msitumie nguvu hio hio kutuonesha mlivyozirudisha?
 
JPM km alivyokua Marehemu Sokoine walikua viongozi ila hawakua wanasiasa wazuri, hawa wawili walikata mirija ya watu wengi sana no wonder they didnt get to live long ktk siasa.
They died lefting behing alot of conspiracy..

Unapokata mirija ya watu unatengeneza
maadui left and right. From people far away to the ones close to you.
Mwinyi Senior & JK and now Mama know abt this ndo maana huoni wakihangaika na mirija ya watu coz they know the consequencies za kufanya hivyo and for that they will get to live long.

Huu mfumo tumeutengeneza wenyewe kwa kukubali wizi na mtu akiiba apelekwe sehemu nyingine

Miradi mingi na hela zinazotolewa zinaishia kwa baadhi ya watu Halafu kiongozi mmoja anakuja na kusema wako wapi Takukuru?
Mchukueni huyo ajieleze million zote hizo kapeleka wapi

Hizo story huwa zinaisha hapo hapo na mradi unakufa hapo hapo

Huu mfumo ni mbaya sana kwa nchi na kuubadilisha unahitaji watu wengi sio mtu mmoja kutaka kuubadilisha kwa mwaka mmoja
Huyo lazima wamuondoe tu hata awe na ngazi ya chini kabisa na kutaka kubana mirija ya watu
 
Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma.

Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika alijituma kulitumikia Taifa lake ameacha alama kubwa isiyofutika.

Kwa wale wasiojua ni kwamba Dr Magufuli aliweza kujitoa mhanga kwa ajili ya Tanzania kwa miaka 20, Dr Magufuli alipanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua kuelekea mafanikio makubwa ya kuiunganisha Tanzania

Yeye mwenyewe hakutaka kupendwa na wanafiki, wezi na wabadhirifu wa, Mali za umma muonapo watu wanamshambulia ni kundi la wezi, wazandiki mafisadi wapiga dili na wabadhirifu wa Mali za umma.
Mbona hizo alama zoote alikuwa nazo yeye!
[emoji116][emoji116]
“Alama za mnafiki ni tatu; akizungumza anasema uongo, akiahidi hatimizi na akiaminiwa anafanya khiyana.”
 
Huu mfumo tumeutengeneza wenyewe kwa kukubali wizi na mtu akiiba apelekwe sehemu nyingine

Miradi mingi na hela zinazotolewa zinaishia kwa baadhi ya watu Halafu kiongozi mmoja anakuja na kusema wako wapi Takukuru?
Mchukueni huyo ajieleze million zote hizo kapeleka wapi

Hizo story huwa zinaisha hapo hapo na mradi unakufa hapo hapo

Huu mfumo ni mbaya sana kwa nchi na kuubadilisha unahitaji watu wengi sio mtu mmoja kutaka kuubadilisha kwa mwaka mmoja
Huyo lazima wamuondoe tu hata awe na ngazi ya chini kabisa na kutaka kubana mirija ya watu
Huu mfumo hauwezi kuondolewa bila sacrifices...
umejichimbia mizizi sana. Sokoine couldnt so as JPM and the rest wanauogopa coz wanajua nn kitawakuta. Unless nao waamue kujitolea for the better future.
Rwanda wameweza coz ukiondoa walichopitia viongozi wake wengi walitokea jeshini sehemu ambako nidhamu ipo juu and wana kiongozi ambae yupo firm.
From there it takes time for that new norm to become a culture.
Katiba alone wont do us much good. Kenya & SA got the best katiba in Africa bt ufisadi na uzembe ni wa kiwango cha kishetani.
 
JPM km alivyokua Marehemu Sokoine walikua viongozi ila hawakua wanasiasa wazuri, hawa wawili walikata mirija ya watu wengi sana no wonder they didnt get to live long ktk siasa.
They died lefting behing alot of conspiracy..

Unapokata mirija ya watu unatengeneza
maadui left and right. From people far away to the ones close to you.
Mwinyi Senior & JK and now Mama know abt this ndo maana huoni wakihangaika na mirija ya watu(hawana nongwa) coz they know the consequencies za kufanya hivyo and for that they will get to live long.
Jpm alikata mirija ya wengi akabakiza wachache tu wanaotafuna kwa niaba yake ili wagawane baadae akistaafu huu ndo ulikuwa ujanja wake. Kaangalie akina makonda walivyo tycoons na akina sabaya na walikuwa hawagusiki kisa Kuna godfather juu yao.

Ndo Mana uchumi uliharibika kwa sababu walaji walibaki wachache na wkala haswaa. Uchumi unakua pale walaji wanapokuwa wengi Mana mzungunko wa pesa ndo unakuwa mkubwa. Wakiiba milion moja moja ni toffauti ni mtu mmoja akiiba bil 10 Mana ataajiri wachache au anaweza kuzificha lakini wakiiba wengi watakula, watavaa, wacheza disco, watafungua mabaa nk halafu ajira zinamwagika kama mvu kwa sababu ya pesa hiyo.

Ndo maana Sasa hivi ajira ni nyingi na mama anapandisha mishahara na posho pia hii inaonesha pesa ipo na kasi ya mzunguko ni kubwa. Wakati wa jpm alishindwa hata kuajiri au kupandisha mishahara tukabaki tunapigwa uongo tu kwamba tumeingia uchumi wa Kati.

Hivyo kufa kwa jpm ni fursa kwa watanzania kunawili na kustawi
 
Magufuli alikuwa na mazuri yake
Kwa upande wake kuna mambo mazuri kayafanya,licha ni kawaida kwa binadam kukosa kakoro!
Especially ukiongoza watu mamilion

Utawala wowote lazima uwe na negative na positive

Ova
 
Magufuli alikuwa mshamba tu wenzie wakiiba hela wanaweka mabank ulaya eti yeye kaiba 1.5 tri kaficha kwenye chumba kule kijijini chato
Ukificha hela ulaya si ndiyo ujuaa
Maana ukifa hizo pesa hata ndugu zako hawazipati,bora waibe lakini wawekeze nyumbani

Yahaya jameh nyumba zake us,uk zinapigwa tanchi

Ova
 
Back
Top Bottom