Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe, mafisadi na wabadhilifu wa mali za Umma


Adui wa Magufuli alikuwa CHADEMA pekee yake. Maana alitaka kufa nayo. Bahati mbaya akafa yeye kwanaza. Yani Mahakama, Bunge na serikali zote zilikuwa zinapambana na CHADEMA.
 
We Sukuma Gang; huyo magu wenu alikuwa na sifa zifuatazo;
Muuaji
katili
mwonevu
mwongo kupindukia
Aliharibu sana uchumi wa nchi
mkabila
mkanda
Mbadhirifu hatari sana wa fedha za walipa kodi
 
Kama Hawa hapa au siyo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    122 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    49.3 KB · Views: 5
  • 1650491737485.png
    60.6 KB · Views: 4
  • 2306969_FB_IMG_1581695064971.jpg
    27.2 KB · Views: 4

Nafikiri mwanajeshi angetufaa labda ila mtu kama Magu hakuwa mwanajeshi Ndio maana
Kwa sababu hawajuani ila kama angekuwa mjeda nidhamu ingekuwepo sana kwani wangekuwa wengi wa namna yake

Ingawa aliweka wanajeshi mpaka wakuu wa mikoa haikusaidia kwa sababu aliongoza tofauti (uonezi) na ubabe na hii sio mbinu za kijeshi

Jeshi linajiongoza kwa nidhamu ya hali ya juu na sio kwenda kuvamia wafanyabiashara na wao umewapa ukuu wa mikoa na hawana la kusema

Katiba sioni kama inatusaidia chochote hata iwe imeimarishwa kiasi gani

Nchi masikini zina shida sana
Watu wanataka kuiba tu na ukikemea wizi unaonekana mbaya

Hata humu utajua society yetu ni mbovu kuna watu kutwa wanatetea majizi
 
Ni kweli kabisa sema mijizi siku hizi imemgeuzia kibao eti inamuita JPM fisadi!
 

Pia adui wa WAVIVU.
 
Vyama vya upinzani ndiyo wazembe na wala rushwa????
 

Alikua na mazuri yake na mabaya kama binadamu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…