Magufuli alikuwa muongo sana

Unapenda sana haka ka songi inaonekana alikua anakukosha akikaimba....

Hii thread nimecheka sana
Asee acha EVE...yaan kuna kipindi alikuwa huko Mwanza na JK, basi akazungumzia miradi yakee weee....badae ndo akaanza " aliseremaa seremaaa Mwanza seremaaa serema

Yaan anaimba lyric na chorus anajijib mwenyewe asee siku hiyo niliangua kicheko sio cha nchi hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna siku alienda Kilosa jimbo la Kabudi akaanza kuwananga wanachi kua wanapata shida kwa sababu wanachagua upinzani. Baadae akawauliza jina la mbunge wao...wakajibu "Kabudiiii"...akawauliza tena "Chama gani"....wakajibu "SISIEMUUUUU".

Katika hali isiyotarajiwa akajibu kwa aibu na kujichekesha "Najua anafanya kazi nzuri...naomba mtuamini"
 

Attachments

  • FzYMulp58y8nxl8R.mp4
    6.5 MB
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duh! Sasa na wakati mwingine uache tu kumchambua Marehemu! Huu uchambuzi fikirisha sana- umefanya kazi nzuri,ila mwache apumzike popote alipo! Imetosha!
 
Kiongozi bora na shujaa wa Afrika.Tutamuenzi kizazi na kizazi... Hakika tumeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Since Mkapa hadi mwendazake, mishahara ya wafanyakazi wa serikali imekua ikilipwa on time, hata mimi nilivyo msikia mara ya kwanza nilistuka sana. Eti hata ndege tulikua tunapanda kwa milioni; hivi kuna shirika la ndege lilikua na ndege za bei nafuu kuizidi FastJet!? Nimewahi kusafiri Dar to Mwanza, go and return kwa Tsh 85k tu, halafu mwamba alivyokua anaielezea ATCL, khaa. Anyway, maisha ya mwanadamu ni mafupi
 
Kwa jinsi alivyokuwa MWONGO hata alipokufa tarehe 09/ 03/ 21, akina Majaliwa wakasema yuko Ikulu anachapa kazi.

Alendelea kudanganya hata alipokuwa amekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…