Magufuli alikuwa muongo sana

1.aliwahi sema ata ajiri watumishi wa uma baada ya kumaliza uhakiki... baada ya uhakiki akaishia kuajiri akina sabaya na Makonda.

2. Alikuwa ana aminisha watu kuwa ukochagua upinzani basi hamna maendeleo

3. Mbeya kuna hospital ya Kanisa inaitwa UWATA.. aliwa ahidi kuwajengea rami mpka hospital kwao.. mpaka leo ni vumbi tupu.

4. Ali ahidi kuwa kwenye serikali yake hataweka mpinzani hata mmoja.. siku chache tu akamuweka Ana Mghwira.

5. ali aminisha dunia kuwa TZ hamna corona... Matokeo yake wimbi la pili lika fanya yake.
 
Bukoba alizomewa kwenye kampeni
 
Ina maama hata alipotaja idadi ya samaki waliopo baharini ,haikua kweli?
 
Huyo alikuwa ni mgonjwa wa akili,ivyo hana kesi
 
Kiongozi bora na shujaa wa Afrika.Tutamuenzi kizazi na kizazi... Hakika tumeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu
 
Hahaaa!!!!alikuwa anatisha kwer kwer
 
Pole mjane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…