Magufuli alikuwa muongo sana

Magufuli alikuwa muongo sana

Hahaaaa!!!!!then et mataga walimuona geneus

Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?

Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Kuna kipindi uwa najiuliza kuwa hivi kwa nini waliruhusu nchi kuongozwa na kichaa?nikapata jibu kuwa:
Wahusika walifikiri kuwa kwa kumuweka kichaa ikulu wataweza kumrubuni na kuiba kisha kumpa kichaa kesi,kibao kikageuka,kichaa akaanza kuwafunga na kuwaua na kuharibu dili zao.
 
Mabeberu Sasa yanatudhihaki lakini Mungu wetu mkuu, atanyanyua Tena mtetezi mwingine.

Nawaambia nyie mabeberu na makuwadi wenu hamtaitawala hii nchi milele.

Tanzania sio ya kwenu.
 
Kwenye medani ya uongo na uzandiki mbona hana mpinzani huyo. Anapita bila kupingwa wala hafanyi hata kampeni (CV yake inambeba kishenz).

● Alituambia tuwachange bukoba wahanga wa tetemeko waliovunjiwa nyumba zao. Tukajikaza kiaskari na kujibana watanzania kuwachangia. Waulize kama waliona hata Sh 100 ya ujenzi wa nyumba zao.

● Alituambia kila mwalimu atapewa Laptop. Waulize kama amepewa hata mmoja.

● Alituambia kila kijiji atawapa Millioni 50 kwaajili ya kufanya maendeleo na uchumi. Waulize kama waliiona hio hela.

● Alituambia wafanyakazi sekta za umma/walimu, wataongezewa mishahara na madaraja kabla hajaondoka. Waulize kama wameongezewa hizo nyongeza za mishahara na madaraja (Labda madaraja ya ubungo na mfugale ndio wameyaona).

● Alituambia tutalipwa hela ndefu kwenye fidia ya makinikia. Kila raia noah moja moja. Waulize kama mabeberu walitoa hio hela.

● Alituambia Tanzania tutatoa misaada kwa wazungu, sisi ni "DONA KANTRI". Hakuna cha donna wala sembe, ni mwendo wa hali ngumu mpaka skin tight kupwaya mitaani.

● Alituambia serikali yake kutakua hakuna wizi wala ufisadi, na atakefanya ufisadi wa hela basi zitamtokea tundu lolote. Mbona yeye na kina Ole Sabaaya na Makonda walifisadi nchi na kuiba.

● Kwenye kutupa idadi za samaki, watoto wa samaki pamoja na mayai yao kwenye Ziwa Victoria na Baharini. Wala tusipagusie kabisa, tuache hio issue siku ingine.

Yule mzee sio kabisa. Siku alivyofukiwa mpaka malaika watoa kichapo waliokua likizo, ilibidi waitwe kazini kwa dharura kumpokea.
EeeeenHeee!

Mkuu 'The great'

Wewe ni the great hasa bila utani.

Hiyo ni orodha kamilifu haswa.

Sidhani kwamba Tanzania patatokea tena kiongozi wa aina yake tena! Labda baada ya miaka mia.

Huyu alikuwa ni mtu wa ajabu sana. Akiigiza umalaika, utadhani ni malaika hasa. Jamaa anaingia kanisani na jeshi lake na kundi zima la wapiga picha wamwonyeshe akisali kwa unyeyekevu mkubwa

Anapoamua kuwa shetani, anakuwa shetani kwelikweli. Hata hao wenye kanisa lao anakwenda kuwahubiria kuhusu imani zao hafifu!
 
Mabeberu Sasa yanatudhihaki lakini Mungu wetu mkuu, atanyanyua Tena mtetezi mwingine.

Nawaambia nyie mabeberu na makuwadi wenu hamtaitawala hii nchi milele.

Tanzania sio ya kwenu.
Sijui huyo "mtetezi mwingine" atapatikana kutoka wapi mkuu 'Statesman,' nje ya CCM? Maana huko ndani sioni yeyote kwa wakati huu. Utawategemea akina Mwigulu?
 
Alitudanganya hadharani kwamba Gaddafi alikuwa Rais wa Kuwait!
1624757253791.png
 
Kwenye medani ya uongo na uzandiki mbona hana mpinzani huyo. Anapita bila kupingwa wala hafanyi hata kampeni (CV yake inambeba kishenz).

● Alituambia tuwachange bukoba wahanga wa tetemeko waliovunjiwa nyumba zao. Tukajikaza kiaskari na kujibana watanzania kuwachangia. Waulize kama waliona hata Sh 100 ya ujenzi wa nyumba zao.

● Alituambia kila mwalimu atapewa Laptop. Waulize kama amepewa hata mmoja.

● Alituambia kila kijiji atawapa Millioni 50 kwaajili ya kufanya maendeleo na uchumi. Waulize kama waliiona hio hela.

● Alituambia wafanyakazi sekta za umma/walimu, wataongezewa mishahara na madaraja kabla hajaondoka. Waulize kama wameongezewa hizo nyongeza za mishahara na madaraja (Labda madaraja ya ubungo na mfugale ndio wameyaona).

● Alituambia tutalipwa hela ndefu kwenye fidia ya makinikia. Kila raia noah moja moja. Waulize kama mabeberu walitoa hio hela.

● Alituambia Tanzania tutatoa misaada kwa wazungu, sisi ni "DONA KANTRI". Hakuna cha donna wala sembe, ni mwendo wa hali ngumu mpaka skin tight kupwaya mitaani.

● Alituambia serikali yake kutakua hakuna wizi wala ufisadi, na atakefanya ufisadi wa hela basi zitamtokea tundu lolote. Mbona yeye na kina Ole Sabaaya na Makonda walifisadi nchi na kuiba.

● Kwenye kutupa idadi za samaki, watoto wa samaki pamoja na mayai yao kwenye Ziwa Victoria na Baharini. Wala tusipagusie kabisa, tuache hio issue siku ingine.

Yule mzee sio kabisa. Siku alivyofukiwa mpaka malaika watoa kichapo waliokua likizo, ilibidi waitwe kazini kwa dharura kumpokea.
"Skin jeans kubana mtaani"maraika watoa kichapo,waliokuwa likizo kuitwa"
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👋👍👍👍👍👍Umetisha
 
Enzi hizo alikuwa akijisifia kwenye hotuba zake eti uchumi unakua kwa 7.3% kila mwaka! Na wakati hali ilikuwa ni tete kweli kweli, kiasi cha kufikia hatua ya kuzinguana na IMF!

Kwenye kampeni alikuja na milioni 50 kila Kijiji!!

Alitudanganya bei ya sukari eti aliikuta ikiwa tsh elfu 5 na hivyo akafanikiwa kuishusha mpaka tsh 3000! [emoji16][emoji16][emoji16]

Na ilikuwa ukimpinga tu, kesho unashangaa uko Mahakama ya Kisutu kwa kosha la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kuendesha genge la uhalifu! Kesi haina dhamana, unaishia jela!

Alifurahi huyo alipoambiwa eti Tanzania imepanda na kuwa nchi ya uchumi wa kati! [emoji16][emoji16][emoji16] Dah! Miccm ilitulingishia kipindi hicho!! We acha tu!!
Corona imetusaidia sana maana dhalim alikuwa anaipeleka nchi kuzimu kabisa.
 
Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?

Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
Alichozungumza hapa ni kweli, japo sio kipindi cha JK, lakini kuna wakati miaka ya 96 hivi walikuwa wanachelewa sana kupokea mshahara. Mfano wik iliyopita ndio unakuta wamepokea ya mwez uliopita. (Wa 5) ilikuwa kawaida.
 
Back
Top Bottom