Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Samia ni rais pekee katika marais waliiongoza nchi ambaye hapendwi na anaowatawala na hana ushawishi wowote.. tazama hata hotuba zake utafikiri anahutubia mwenyekiti wa kitongoji.. miaka michache iliyopita kuna kiongozi aliteka hadhira ya watanzania na kila ilipofika jioni watu walijazana kwenye tivii kusikiliza hotuba zake.
🤣🤣🤣 Hapendwi . Hapendeki
 
Magufuli alikuwa na kibali.

Shida ya watu wenye vibali ni kulewa na mafanikio yao (Magufuli sio wa kwanza mifano ni mingi kwenye historia).

Wakishafanikiwa sana udhani wana mamlaka ya mungu, kuwaamulia watu wengine maamuzi ya maisha.

Hapo ndio mungu anapojibu, huna mamlaka yangu.
Kwa hiyo Magufuli..... au basi
 
Magufuli alikuwa na kibali.

Shida ya watu wenye vibali ni kulewa na mafanikio yao (Magufuli sio wa kwanza mifano ni mingi kwenye historia).

Wakishafanikiwa sana udhani wana mamlaka ya mungu, kuwaamulia watu wengine maamuzi ya maisha.

Hapo ndio mungu anapojibu, huna mamlaka yangu.
Perfect analogy kabisa hii, too bad wanaokuja after him hawajifunzi. Watarudia yale yale
 
Somo la Tatu
3. Kibali Kinatolewa na Nani?
Kama tulivyoona kwenye somo la kwanza la kibali ni nini, kuna aina nyingi za vibali, somo la pili kibali ni cha nini, tumeona vibali vya kufanya shughuli tofauti tofauti, sasa ni vibali hivi vinatolewa na nani. Vibali vinatolewa na mamlaka husika, kutegemeana na ni kibali cha nini, na cha aina gani, nimesema kuna two types ya vibali, vibali za shughuli za kidunia, vinatolewa na mamlaka za kidunia, na vibali vya mambo makuu, vinatolewa na mamlaka Kuu ambayo ni Mungu, YEYE Mwenyewe, unakuwa umepata kibali machoni mwake.

Vibali vya YEYE mwenyewe, mtu hauombi, anazaliwa nacho, ama unapewa na YEYE mwenyewe kwa madhumuni mahsusi.

Mfano urais wa nchi hupatikana kwa kuomba kuteuliwa, waombaji wanakuwa ni wengi, anayepata ni mmoja, huyo mmoja anayefanikiwa kupata, anakuwa ndie mwenye kibali kutoka kwa YEYE. Mungu anakuwa na madhumini fulani, kwanini amempa kibali huyo aliyempa. kati ya wagombea wote wanaogombea, mwenye kibali anaitwa "the chosen one", mfano mzuri ni uchaguzi wa 2015, watu walimshobokea sana Lowassa, mimi nikiwemo, tofauti na wengi, pia nikawaandaa watu kisaikolojia Elections 2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni..., hivyo JPM ndie was the chosen one mwenye kibali cha urais 2015-2020.
P
 
Wanabodi,

Leo, naendelea na zile mada zangu za kwa maslahi ya taifa。Leo naendesha somo la kitu kinachoitwa “Kibali”
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline
  1. Kibali ni nini?
  2. Kibali ni cha kazi gani?
  3. Kinatolewa na nani?
  4. Kinatolewa kwa nani?
  5. Sifa za Kibali ni Kisipotumika,kinafutwa!
  6. Je Rais Samia ni Kibali?
  7. Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?
  8. Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
  9. Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au tumuachie mwenyewe?
  10. A Way Foward 2025
1. Somo la Kwanza: Kibali ni nini?
Kibali ni ruhusa ya kufanya japo fulani,ambalo ili ulifanye ni lazima upate kibali au ruhusa kutoka mamlaka husika。Kibali cha kikuu cha kwanza kwa binadamu baada ya kuumbwa ni kibali cha uhai,kibali cha kuishi na kibali cha kuumba binadamu wengine。Baada ya hapo ni kibali cha kufanya kila kinachofanyika。Kibali kwa mwanamke kuwa mama na mwanaume kuwa baba,ni kupevuka,kibali cha kujenga familia ni kuoa,kibali cha kujenga nyumba ni kumiliki ardhi,kibali cha kufanya biashara ni kuwa na leseni,kibali cha kusafiri nje ni kuwa na passport,kibali cha kuingia nchi fulani ni kuwa na visa, hivyo vibali viko vya aina nyingi。

Kibali ninacho kizungumza kwenye uzi huu ni kibali cha kutawala nchi,kuwa mkuu wa nchi。

2. Somo la Pili: Kibali ni cha kazi gani?
Kibali ni cha kutimiza lile jukumu la kibali ulichopewa,kama tulivyoona kwenye somo la kwanza, kuna vibali tofauti vya kufanya mambo tofauti tofaouti, ukipewa kibali cha ndoa,inatimiza majukumu ya ndoa,ukipewa kibali cha kufanya biashara,unafanya biashara kwa mujibu wa leseni yako。

Kuna vibali vingi,hadi vibali vya kuua,licence to kill,hata mtu anayehukumiwa kunyongwa,hukumu hiyo haitekelezwi hadi mkuu wa nchi asaini death warrant ndipo anyongwe

Hivyo hata kibali cha kutawala nchi,unatawala kwa mujibu wa kibali chako. Japo kibali cha kutawala nchi kimetolewa kwa mujibu wa katiba,anayepewa kibali hicho anapewa na YEYE na anapaswa sio tuu kufuata katiba,bali pia kutimiza madhumuni ya YEYE aluyempa kibali,alimtaka afanye nini, kibali chake ni cha nini na kwanini ni yeye na sio mtu mwingine yeyote?

3. Somo la Tatu: Kibali Kinatolewa na Nani?

Paskali
Kibali cha kuiba kura? Na kuasisi umafia nchini? Kuasisi wizi wa kura bila aibu?
 
Mkuu,

Huyu aliyekuwepo kwa sasa hajawahi kuwa na kibali, na kibali hawezi kupewa ila anatumia kanuni walizojiwekea kikundi fulani kinachodhani kina umiliki wa ardhi, watu na kazi za kumpa mtu afanye azalishe au aongoze.

Samahani mkuu, huyu hana kibali na hakuna Mtanzania yeyote mwenye hofu ya Mungu au mwenye maadili ya kibinadamu anaweza kuomba apewe kibali......A Big No.....period!!!
 
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
Kwa vile kibali kinatolewa na YEYE Mungu mwenyewe, kinatolewa kwa aliyemchagua YEYE, au aliyemteua yeye.

Adam na Eva
Tangu Mungu alipomuumba Adam, akampa kibali cha kutawala viumbe wote wa dunia hii. ila katika mambo ya tamaa za mwili, mke ndie amepewa kibali!, Eva baada ya kufundishwa na shetani jinsi tunda linavyomegwa, akaonjeshwa kwa kumegewa, kisha Eva na shetani wakamega tunda, wakala, Eva akauona utamu wa tunda, alipewa kibali cha tamaa za mwili, akamfua Adam, akamfundisha jinsi tunda linavyomegwa, japo Adamu mwanzo alikataa, kwa vile Eva ndio amepewa kibali hicho, Eva alimlaziisha Adam kumega tunda, wakamega tunda, wakala na kuishia zao usingizini. Hivyo Mwanamke nae ana kibali cha baadhi ya mambo, na ndio maana baadhi ya makabila haswa ya wafugaji, wanai katilia ile kitu, inayoweza kumpa mwanamke tamaa ya kumegwa tunda!.

Watoto
Adam na Eva walipata watoto wawili, mzaliwa wa kwanza ni Cain na mdogo wake Abel, mtoto aliyepata kibali ni Abel, hakuna watu wanaojiuliza kwanini Cain, ambaye ni mzaliwa wa kwanza hakupewa kibali, na mdogo wake Abeli ndie akapewa kibali. Wale mnaoamini tunda ni apple, endeleeni kuamini hivyo, mimi najua tunda ni lile 'tunda' la kumegwa, Eva alimega kwanza na shetani, mzaliwa wa kwanza akazaliwa na roho ya kishetani, ndipo Abeli akazaliwa na roho wa Mungu!.

Familia nyingi pia huwa zinapenda mtoto wa kwanza awe mwanaume ili apewe kibali cha mzaliwa wa kwanza, lakini kuna familia nyingi, mzaliwa wa kwanza ni mtoto wa kike, hivyo anapata kibali cha uzaliwa wa kwanza.

Kwa vile kibali kinatolewa na Mungu mwenyewe, sio lazima mzaliwa wa kwanza, apate kibali, Mungu anaweza kumteua mtoto yoyote na kumpa kibali. Mfano japo mzaliwa wa kwanza wa Nabii Ibrahim ni Ismail, aliyepewa kibali ni mzaliwa wa pili Isaka. Na kwa Yakobo, japo mzaliwa wa kwanza ni Essau, aliyepata kibali ni Yakobo. Yakobo yeye alipata watoto 12, mtoto mwenye kibali ni Yusufu, mzaliwa wa 11. Na Daudi katika familia ya Yese ndie alipewa kibali.
Mfano wa Familia.
Mara nyingi kwenye familia zetu, Baba ndio huhesabika ni kichwa cha familia,

Japo baba ndio anapaswa kuwa kichwa cha familia, kuna familia nyingi, mama ndio anakuwa amepewa kibali, hivyo ndie kichwa cha familia.

Hivyo kibali kinaweza kutolewa kwa yeyote, anayeamua nani apewe kibali ni YEYE .
Hata kwenye imani zetu za kiasili, watoto wanakuwa na vipawa mbalimbali, anayechaguliwa kuridhi mikoba, anaweza kuwa ni mtoto wa mwisho. Hicho ndio kibali.

P.
 
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
Kwa vile kibali kinatolewa na YEYE Mungu mwenyewe, kinatolewa kwa aliyemchagua YEYE, au aliyemteua yeye.

Mfano wa Familia.
Mara nyingi kwenye familia zetu, Baba ndio huhesabika ni kichwa cha familia, tangu Mungu alipomuumba Adam, akampa kibali cha kutawala viumbe wote wa dunia hii. ila katika mambo ya tamaa za mwili, mke ndie amepewa kibali!, Eva baada ya kufundishwa na shetani jinsi tunda linavyomegwa, akaonjeshwa kwa kumegewa, kisha Eva na shetani wakamega tunda, wakala, Eva akauona utamu wa tunda, alipewa kibali cha tamaa za mwili, akamfua Adam, akamfundisha jinsi tunda linavyomegwa, japo Adamu mwanzo alikataa, kwa vile Eva ndio amepewa kibali hicho, Eva alimlaziisha Adam kumega tunda, wakamega tunda, wakala na kuishia zao usingizini. Hivyo Mwanamke nae ana kibali cha baadhi ya mambo, na ndio maana baadhi ya makabila haswa ya wafugaji, wanai katilia ile kitu, inayoweza kumpa mwanamke tamaa ya kumegwa tunda!.

Kurithi mikoba ya uchawi?
 
Somo la Kwanza
  1. Kibali ni nini?
Kibali ni ruhusa ya kufanya japo fulani,ambalo ili ulifanye ni lazima upate kibali au ruhusa kutoka mamlaka husika。Kibali cha kikuu cha kwanza kwa binadamu baada ya kuumbwa ni kibali cha uhai,kibali cha kuishi na kibali cha kuumba binadamu wengine。Baada ya hapo ni kibali cha kufanya kila kinachofanyika。Kibali kwa mwanamke kuwa mama na mwanaume kuwa baba,ni kupevuka,kibali cha kujenga familia ni kuoa,kibali cha kujenga nyumba ni kumiliki ardhi,kibali cha kufanya biashara ni kuwa na leseni,kibali cha kusafiri nje ni kuwa na passport,kibali cha kuingia nchi fulani ni kuwa na visa, hivyo vibali viko vya aina nyingi。

Kuna aina kuu mbili za vibali,vibali vya kidua,hivi ni vibali ambavyo kila mtu anaweza kuomba na kupewa kama business licence,passport,visa,kugombea uongozi,kupigiwa kura kushinda uongozi na kuwa kiongozi。

Kuna vibali ni vipawa,karama na vipaji kutoka kwa Mungu mwenyewe,hapa hauombi wewe,unazaliwa nacho ama unatunukiwa,

Kibali ninacho kizungumza kwenye uzi huu ni kibali cha karama na kipawa cha kutawala nchi,kuwa mkuu wa nchi。
P
Ana kibali cha Watanganyika kuuza nchi yao?

Nani kampa hicho kibali kuuza Tanganyika na kuiweka chini ya mafisadi na familia yake?
 
Somo la Kwanza
  1. Kibali ni nini?
Kibali ni ruhusa ya kufanya japo fulani,ambalo ili ulifanye ni lazima upate kibali au ruhusa kutoka mamlaka husika。Kibali cha kikuu cha kwanza kwa binadamu baada ya kuumbwa ni kibali cha uhai,kibali cha kuishi na kibali cha kuumba binadamu wengine。Baada ya hapo ni kibali cha kufanya kila kinachofanyika。Kibali kwa mwanamke kuwa mama na mwanaume kuwa baba,ni kupevuka,kibali cha kujenga familia ni kuoa,kibali cha kujenga nyumba ni kumiliki ardhi,kibali cha kufanya biashara ni kuwa na leseni,kibali cha kusafiri nje ni kuwa na passport,kibali cha kuingia nchi fulani ni kuwa na visa, hivyo vibali viko vya aina nyingi。

Kuna aina kuu mbili za vibali,vibali vya kidua,hivi ni vibali ambavyo kila mtu anaweza kuomba na kupewa kama business licence,passport,visa,kugombea uongozi,kupigiwa kura kushinda uongozi na kuwa kiongozi。

Kuna vibali ni vipawa,karama na vipaji kutoka kwa Mungu mwenyewe,hapa hauombi wewe,unazaliwa nacho ama unatunukiwa,

Kibali ninacho kizungumza kwenye uzi huu ni kibali cha karama na kipawa cha kutawala nchi,kuwa mkuu wa nchi。
P
KWa mujibu wa vibali vya vipawa vya kutawala nchi. Nchi yetu imepata vibali viwili tu vyenye mtindo tofauti kiutendaji
1 )Mwl. Nyerere (SOFTWARE)
2) JPM (HARDWARE)

Sababu- hawakupwaya kwenye uongozi, uongozi wao ulizidi kiwango wakaonekana kama baba kwa watanzania. Walikuwa viongozi ambao wananchi wanapenda kuongozwa nao.

viongozi wengine ,Mwinyi, Mkapa, Kikwete ,na Huyu mama walikuwepo / yupo basi tu imebidi lakini hawana vipawa vya uongozi Hawakuwa na ile " killer instinct" ya kufanya maamuzi kiuongozi kwa maslahi ya nchi/ wananchi hadi wakasema" duh! Hapa kweli tuna kiongozi wa nchi".
 
Umefikiria mbali ..Mungu akubariki.
 
5. Somo la Tano: Anyepewa Kibali Anajua Kuwa Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu mwenye Kibali?.
Hii ndio the trickiest part ya vibali. Je mtu mwenye kibali hujijua kuwa ana kibali?.
Kwa vile kibali hutoka kwa Mungu, na humpa amtakae au ampendae, hivyo kwanza ni Mungu mwenyewe ndio hutoa taarifa za baadhi ya vibali. Adam alizungumza na Mungu na kupokea kibali chake direct, Mungu huzungumza kwa njia za ndoto, maono, sauti, au kunena kwa vinywa vya manabii au kutumia malaika wake kuhusu vibali mbalimbali ambavyo kwa kawaida mtu huzaliwa navyo ama hupewa.

Kibali cha Musa, kabla hajazaliwa Farao alitoa amri watoto wote wa kiume wanaozaliwa na Waebrania, hivyo Musa alipozaliwa ni malaika walisimamia atupwe mtoni, mara aokotwe na binti Farao, Binti Farao akakilea kichanga kama mtoto wake!.

Kibali cha kuzaliwa Isaka kililetwa nyumbani kwa Nabii Ibrahim na malaika watatu walio jigeuza wageni.
Kibali cha kuzaliwa Yesu kililetwa na Roho Mtakatifu, kumpachika Bikira Maria ujauzito bila 'tunda' lake kumegwa!. Mumewe Yosefu baada ya kuona mkewe ni mjamzito huku wakiwa bila bila, akapanga kulala mbele, ndipo Mungu akamtokea kwenye ndoto kumtuliza kuwa ni mpango wa Mungu!, ndipo akatulia.

Kuna watu wengi wana vibali tofauti tofauti, lakini hawajui kuwa wana vibali hivyo kwasababu hakuna yeyeto aliyewaambia kuwa una kibali fulani au kuona dalili zozote za vibali. Mimi kupitia kusoma vitabu nimewahi kujitahidi kuwafungua baadhi ya watu macho ya kujitambua vibali vyao Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? na kwa vile mimi ni mtangazaji, nikajitolea kuwasaidia kujitambua, wale wenye vibali vya utangazaji Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

Hivyo hata katika uongozi, tuna viongozi wengi sio viongozi wa wito, vipawa, karama wala uwezo, ni matutusa tuu, hawana vipawa vya uongozi, karama zozote, vipaji vya uongozi na uwezo wa uongozi, lakini wanapata uongozi wa umma kwa kutumia "the universal power".

Kuna watoto wengi wanazaliwa vibali, wazazi wao hawana uwezo wa kuwabaini mapema, hivyo mwisho wa siku vibali vyao vinavutwa!. Kuna watoto wanazaliwa na vipaji fulani, bila wazazi wao kuwabaini na kuwaendeleza, vipaji hivyo vinakufa. Kuna watoto wanazaliwa na uwezo Kiislamu wanaitwa ma Sharufu, usipowabaini, uwezo wao unapotea.

Kwa vile mtoa kibali ni Mungu, yeye Mungu huwaeleza wenye vibali vyao, kuwa wana vibali, na sometimes, huwatumia watu baki kuwaeleza kuhusu vibali fulani, hao wanaotumwa ni manabii, wakisikilizwa, vibali vinatumika, wasiposikilizwa, vibali vinafutwa!.

Namna ya mtu wa kawaida kuwatambua wenye vibali, ni jinsi tuu mambo yao, yavyowanyookea. Kwa chicho la kawaida wanaonekana ni watu wenye bahati, wana ngekewa, wanafanikiwa, kumbe hicho ni kibali.

Watu wote wenye mafanikio yanayotokana na vipaji mbalimbali ni watu wenye vibali. Wafanyabiashara, wanamuzi, na wasanii wenye vipaji vikubwa, wenye vibali wanafanikiwa, na kuna watu huku mitaani, wana vipaji vya ajabu sana, lakini hawana vibali, hivyo hawatusui!.

P
 
6. Somo la Sita: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete Walikuwa na Vibali Vikakamilika.
Kama nilivyoeleza lengo kuu la somo hili la vibali, ni vibali vya kutawala nchi.

Siasa za Bongo : Mwalimu Nyerere
Alikuwa na kibali toka anazaliwa!, kuna mambo ya kuzaliwa kwa Nyerere naomba tuyaache yabaki kama ni siri za familia yake tuu, lakini hivyo ndivyo mambo ya vibali yanavyokuwa. Kibali chake kilianza kuonekana alipokuwa Tabora School Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Kibali chake kilikuwa ni kutupatia uhuru, hiki kilikamilika, kufuta ukabila na kutujengea umoja, hili lilikamilika. Mwalimu alipaswa kuongoza taifa hili kwa miaka 10 tuu, 1961-1971, kisha aingie mtawala wa kuleta maendeleo.
Kwa vile kibali chake ilikuwa ni kuleta uhuru na umoja, kibali cha mwalimu kilikwisha, alipoendelea, badala ya kupata mafanikio ndipo yakafuata majanga ya vita, kuanguka kwa uchumi, hivyo ni mwaka 1985 akakubali kuwa alifanya makosa, akawaomba msamaha Watanzania kuwa kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa, Japo Watanzania tulimsamehe, na akastaafu kwa amani, ila kuna issues zake nyingine ambazo public hatuzijui, zilizopolelekea kuitwa kwa jinsi ile alivyoitwa. Mchakato wa kumtangaza Mwenye Heri unaendelea, ili mwisho wa siku aje kutangazwa ni mtakatifu, unaendelea.

Ali Hassan Mwinyi Alikuwa na Kibali.
Aliyempokea Mwalimu Nyerere ni Rais Ali Hassan Mwinyi, aliyezaliwa Mkuranga kwa wazazi wote wawili wa Bara, akaenda Zanzibar akalowea, kibali chake kilithibitika licha ya kujiuzuli kwa kashfa, akiwa waziri wa mambo ya ndani, aliukwaa urais wa Zanzibar huku akiwa sio Mzanzibari wa kuzaliwa, na baadae kuwa rais wa JMT. Hayo ndio mambo ya vibali. Yeye alimaliza vizuri kwa kukitumia vizuri kibali chake, Mungu akampa umri mrefu na heri duniani, amakufa na umri wa zaidi ya miaka 100!.

Benjamin William Mkapa Alikuwa na Kibali.
Mwinyi alifuatiwa na Benjamin William Mkapa, huyu kibali chake kilionekane toka alipozaliwa huko aliko zaliwa , Mama ni Mtanzania na jina la Mkapa ni la kikeni. Zile issues za Mchungaji Mtikila kumhusu Ben, japo wengi wanamuona Mtikila kama alikuwa kama kichaa fulani, ila kiukweli alikuwa na hoja, na hayo ndio mambo ya kibali hicho ndicho kilichomsimamia yote mpaka kuwa rais wa JMT.
Alimaliza salama kwa kukamilisha kibali chake, ila na yeye alikuwa na issues zake binafsi na Mungu wake zilizopelekea kuitwa kwa jinsi ile alivyoitwa. Nilimtengenezea kipindi
View: https://youtu.be/DUOg28gosy8?si=QLzc-SZb6xRbQTcD

Jakaya Mrisho Kikwete Alikuwa na Kibali
JK pia alikuwa na kibali, haijalishi kuhusu sarakasi zote zilizopigwa hadi JK kutinga Ikulu, ikiwemo mtu kuchomolewa, mtandao kuasisiwa, timu ya Boys II Men kuundwa, EPA kutumika, na rise of King Maker, etc, ile mtu tuu kutinga Ikulu, hilo peke ni kibali tosha. Kumhusu JK niliandika humu kuhusu mapungufu yake Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na sifa zake njema Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" Alikitumia kibali chake to the fullest na mpaka sasa anadunda.

P.
 
Wanabodi,

Leo, naendelea na zile mada zangu za kwa maslahi ya taifa。Leo naendesha somo la kitu kinachoitwa “Kibali”
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline
  1. Kibali ni nini?
  2. Kibali ni cha kazi gani?Sifa za Kibali: Kikitumika Kinakamilika, Kisipotumika, Kinafutwa!
  3. Kinatolewa na nani?
  4. Kinatolewa kwa nani?
  5. Anyepewa Kibali Anajua Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu Mwenye Kibali?
  6. JPM alikuwa na kibali, Je Kilitumika?, Kilikamilika au Kilifutwa!.
  7. Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?
  8. Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
  9. Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au tumuachie mwenyewe?
  10. A Way Foward 2025
1. Somo la Kwanza: Kibali ni nini?
Kibali ni ruhusa ya kufanya japo fulani,ambalo ili ulifanye ni lazima upate kibali au ruhusa kutoka mamlaka husika。Kibali cha kikuu cha kwanza kwa binadamu baada ya kuumbwa ni kibali cha uhai,kibali cha kuishi na kibali cha kuumba binadamu wengine。Baada ya hapo ni kibali cha kufanya kila kinachofanyika。Kibali kwa mwanamke kuwa mama na mwanaume kuwa baba,ni kupevuka,kibali cha kujenga familia ni kuoa,kibali cha kujenga nyumba ni kumiliki ardhi,kibali cha kufanya biashara ni kuwa na leseni,kibali cha kusafiri nje ni kuwa na passport,kibali cha kuingia nchi fulani ni kuwa na visa, hivyo vibali viko vya aina nyingi。

Kibali ninacho kizungumza kwenye uzi huu ni kibali cha kutawala nchi,kuwa mkuu wa nchi。

Somo la Pili
2. Kibali ni cha kazi gani?

Kibali ni cha kutimiza lile jukumu la kibali ulichopewa,kama tulivyoona kwenye somo la kwanza, kuna vibali tofauti vya kufanya mambo tofauti tofaouti, ukipewa kibali cha ndoa,inatimiza majukumu ya ndoa,ukipewa kibali cha kufanya biashara,unafanya biashara kwa mujibu wa leseni yako。

Kuna vibali vingi,hadi vibali vya kuua,licence to kill,hata mtu anayehukumiwa kunyongwa,hukumu hiyo haitekelezwi hadi mkuu wa nchi asaini death warrant ndipo anyongwe

Hivyo hata kibali cha kutawala nchi,unatawala kwa mujibu wa kibali chako
japo kibali cha kutawala nchi kimetolewa kwa mujibu wa katiba,anayepewa kibali hicho anapewa na YEYE na anapaswa sio tuu kufuata katiba,bali pia kutimiza madhumuni ya YEYE alIyempa kibali hicho,alimdhamiria afanye nini,kibali chake ni cha nini na kwanini ni yeye na sio mtu mwingine yeyote?

Sifa za Kibali: Kikitumika Kinakamilika, Kisipotumika, Kinafutwa!
Kama nilivyoeleza, kibali kinatolewa kwa madhumuni kusudiwa, au kuna vibali vya kazi maalum, task force, ukiisha ikamilisha kazi, unakuwa rewarded accordingly, kibali kimekamilika na kazi ya kibali hicho inakuwa imekwisha.

Musa kibali chake kilikuwa ni kuwakomboa tuu wana wa Israel kutoka utumwani Misri, alipokamilisha kazi ya kuwaondoa na kuwasafirisha mpaka nchi ya ahadi, kibali chake kikakamika, yeye hakuingia nchi ya ahadi, alitwaliwa, na kibali cha kuwaingiza nchi ya ahadi, kikatolewa kwa mtu mwingine.

Kwa vile kibali, ni kibali cha kazi maalum kwa mtu maalum, ukiwa ni mtu mwenye kibali, usipokitumia kibali hicho kikamilifu, kibali hicho kinafutwa!.

Ufutaji wa vibali au ufutwaji wa vibali, hufanyika kwa namna mbili
1. Ufutwaji wa uwezo wako, kufutwa, mtu alikuwa mfanyabiashara mkubwa maarufu na tajiri, anafilisika hadi kubaki apeche alolo!. Mtu alikuwa msanii mzuri, mwanamuzi mzuri, mchezaji mzuri, ghafla uwezo wake unashuka, anajikuta anatupwa nje ya gemu.
2. Ufutwaji wa kibali wa aina ya pili ni kwa wewe kufutwa kwenye uso wa dunia, kwa kutwaliwa!, kama inavyotokea kwa wengi wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana. Musa, Kanumba, Sembuli, Mbaraka Mwishehe, Shaaban Robert, John F Kennedy, Bruce Lee, JPM na wengine wengi, wameitwa kurejea kwa Muumba wao.

3. Somo la Tatu: Kibali Kinatolewa na Nani?
Kama tulivyoona kwenye somo la kwanza la kibali ni nini, kuna aina nyingi za vibali, somo la pili kibali ni cha nini, tumeona vibali vya kufanya shughuli tofauti tofauti, sasa ni vibali hivi vinatolewa na nani. Vibali vinatolewa na mamlaka husika, kutegemeana na ni kibali cha nini, na cha aina gani, nimesema kuna two types ya vibali, vibali za shughuli za kidunia, vinatolewa na mamlaka za kidunia, na vibali vya mambo makuu, vinatolewa na mamlaka Kuu ambayo ni Mungu, YEYE Mwenyewe, unakuwa umepata kibali machoni mwake.

Vibali vya YEYE mwenyewe, mtu hauombi, anazaliwa nacho, ama unapewa na YEYE mwenyewe kwa madhumuni mahsusi.

Mfano urais wa nchi hupatikana kwa kuomba kuteuliwa, waombaji wanakuwa ni wengi, anayepata ni mmoja, huyo mmoja anayefanikiwa kupata, anakuwa ndie mwenye kibali kutoka kwa YEYE. Mungu anakuwa na madhumini fulani, kwanini amempa kibali huyo aliyempa. kati ya wagombea wote wanaogombea, mwenye kibali anaitwa "the chosen one", mfano mzuri ni uchaguzi wa 2015, watu walimshobokea sana Lowassa, mimi nikiwemo, tofauti na wengi, pia nikawaandaa watu kisaikolojia Elections 2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni..., hivyo JPM ndie was the chosen one mwenye kibali cha urais 2015-2020.
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
Kwa vile kibali kinatolewa na YEYE Mungu mwenyewe, kinatolewa kwa aliyemchagua YEYE, au aliyemteua yeye.

Mfano wa Familia.
Mara nyingi kwenye familia zetu, Baba ndio huhesabika ni kichwa cha familia, tangu Mungu alipomuumba Adam, akampa kibali cha kutawala viumbe wote wa dunia hii. ila katika mambo ya tamaa za mwili, mke ndie amepewa kibali!, Eva baada ya kufundishwa na shetani jinsi tunda linavyomegwa, akaonjeshwa kwa kumegewa, kisha Eva na shetani wakamega tunda, wakala, Eva akauona utamu wa tunda, alipewa kibali cha tamaa za mwili, akamfua Adam, akamfundisha jinsi tunda linavyomegwa, japo Adamu mwanzo alikataa, kwa vile Eva ndio amepewa kibali hicho, Eva alimlaziisha Adam kumega tunda, wakamega tunda, wakala na kuishia zao usingizini. Hivyo Mwanamke nae ana kibali cha baadhi ya mambo, na ndio maana baadhi ya makabila haswa ya wafugaji, wanai katilia ile kitu, inayoweza kumpa mwanamke tamaa ya kumegwa tunda!.

Japo baba ndio anapaswa kuwa kichwa cha familia, kuna familia nyingi, mama ndio anakuwa amepewa kibali, hivyo ndie kichwa cha familia.

Familia nyingi pia huwa zinapenda mtoto wa kwanza awe mwanaume ili apewe kibali cha mzaliwa wa kwanza, lakini kuna familia nyingi, mzaliwa wa kwanza ni mtoto wa kike, hivyo anapata kibali cha uzaliwa wa kwanza.

Kwa vile kibali kinatolewa na Mungu mwenyewe, sio lazima mzaliwa wa kwanza, apate kibali, Mungu anaweza kumteua mtoto yoyote na kumpa kibali. Mfano japo mzaliwa wa kwanza wa Nabii Ibrahim ni Ismail, aliyepewa kibali ni mzaliwa wa pili Isaka. Na kwa Yakobo, japo mzaliwa wa kwanza ni Essau, aliyepata kibali ni Yakobo. Yakobo yeye alipata watoto 12, mtoto mwenye kibali ni Yusufu, mzaliwa wa 11. Na Daudi katika familia ya Yese ndie alipewa kibali.

Hivyo kibali kinaweza kutolewa kwa yeyote, anayeamua nani apewe kibali ni YEYE .
Hata kwenye imani zetu za kiasili, watoto wanakuwa na vipawa mbalimbali, anayechaguliwa kuridhi mikoba, anaweza kuwa ni mtoto wa mwisho. Hicho ndio kibali.

5. Somo la Tano: Anyepewa Kibali Anajua Kuwa Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu mwenye Kibali?.
Hii ndio the trickiest part ya vibali. Je mtu mwenye kibali hujijua kuwa ana kibali?.
Kwa vile kibali hutoka kwa Mungu, na humpa amtakae au ampendae, hivyo kwanza ni Mungu mwenyewe ndio hutoa taarifa za baadhi ya vibali. Adam alizungumza na Mungu na kupokea kibali chake direct, Mungu huzungumza kwa njia za ndoto, maono, sauti, au kunena kwa vinywa vya manabii au kutumia malaika wake kuhusu vibali mbalimbali ambavyo kwa kawaida mtu huzaliwa navyo ama hupewa.

Kibali cha Musa, kabla hajazaliwa Farao alitoa amri watoto wote wa kiume wanaozaliwa na Waebrania, hivyo Musa alipozaliwa ni malaika walisimamia atupwe mtoni, mara aokotwe na binti Farao, Binti Farao akakilea kichanga kama mtoto wake!.

Kibali cha kuzaliwa Isaka kililetwa nyumbani kwa Nabii Ibrahim na malaika watatu walio jigeuza wageni.
Kibali cha kuzaliwa Yesu kililetwa na Roho Mtakatifu, kumpachika Bikira Maria ujauzito bila 'tunda' lake kumegwa!. Mumewe Yosefu baada ya kuona mkewe ni mjamzito huku wakiwa bila bila, akapanga kulala mbele, ndipo Mungu akamtokea kwenye ndoto kumtuliza kuwa ni mpango wa Mungu!, ndipo akatulia.

Kuna watu wengi wana vibali tofauti tofauti, lakini hawajui kuwa wana vibali hivyo kwasababu hakuna yeyote aliyewaambia kuwa una kibali fulani au kuona dalili zozote za vibali. Mimi kupitia kusoma vitabu nimewahi kujitahidi kuwafungua baadhi ya watu macho ya kujitambua vibali vyao Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo? na kwa vile mimi ni mtangazaji, nikajitolea kuwasaidia kujitambua, wale wenye vibali vya utangazaji Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV

Hivyo hata katika uongozi, tuna viongozi wengi sio viongozi wa wito, vipawa, karama wala uwezo, ni matutusa tuu, hawana vipawa vya uongozi, karama zozote, vipaji vya uongozi na uwezo wa uongozi, lakini wanapata uongozi wa umma kwa kutumia "the universal power".

Kuna watoto wengi wanazaliwa vibali, wazazi wao hawana uwezo wa kuwabaini mapema, hivyo mwisho wa siku vibali vyao vinavutwa!. Kuna watoto wanazaliwa na vipaji fulani, bila wazazi wao kuwabaini na kuwaendeleza, vipaji hivyo vinakufa. Kuna watoto wanazaliwa na uwezo Kiislamu wanaitwa ma Sharufu, usipowabaini, uwezo wao unapotea.

Kwa vile mtoa kibali ni Mungu, yeye Mungu huwaeleza wenye vibali vyao, kuwa wana vibali, na sometimes, huwatumia watu baki kuwaeleza kuhusu vibali fulani, hao wanaotumwa ni manabii, wakisikilizwa, vibali vinatumika, wasiposikilizwa, vibali vinafutwa!.

Namna ya mtu wa kawaida kuwatambua wenye vibali, ni jinsi tuu mambo yao, yavyowanyookea. Kwa chicho la kawaida wanaonekana ni watu wenye bahati, wana ngekewa, wanafanikiwa, kumbe hicho ni kibali.

Watu wote wenye mafanikio yanayotokana na vipaji mbalimbali ni watu wenye vibali. Wafanyabiashara, wanamuzi, na wasanii wenye vipaji vikubwa, wenye vibali wanafanikiwa, na kuna watu huku mitaani, wana vipaji vya ajabu sana, lakini hawana vibali, hivyo hawatusui!.

Paskali
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.
 
Kukusaidia tu na wenzako kwenye kukutoa kwenye dhana potofu uliyonayo.

Kwenye academical marking kwa nchi za wazungu that’s not how they mark you.

If they gonna give you an essay question or a report to write, it’s the methodology, structure and theories applied in justifying your answer that matter the most.

Quit with this idea ya kudhani A/H matters that much in marking or usage of Capital letters in where you think it ought to be used,

Those are not the main points in academic markings, they don’t matter that much (may be 5%).
 
Back
Top Bottom