Samia hadi 2035 mkuu,panapo majaliwaKwamba ateke na kuuwa watu mpaka 2035
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia hadi 2035 mkuu,panapo majaliwaKwamba ateke na kuuwa watu mpaka 2035
Somo la Tisa: A Way Foward- Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au Tumuachie Mwenyewe na Kibali Chake?
Japo kibali, kinatolewa na Mungu mwenyewe, na kila anayepewa kibali, pia anapewa uwezo wa kutekeleza mahitaji ya kibali chake, lakini binadamu ni kiumbe dhaifu, hakuna mkamilifu hivyo kunaweza kutokea makosa ya hapa na pale, na hakuna mtu anayeweza kufanya kila kitu yeye mwenyewe, ni lazima asaidiwe, ndio maana japo Rais wetu ana kibali lakini ana wasaidizi wa kumsaidia kwenye kila eneo, na bado kunatokea makosa ya hapa na pale Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
Hivyo pamoja na uwepo wa wasaidizi wa kutosha ambao ni manguli, wazoefu, wabobezi na wabebovu, lakini bado makosa yanafanyika. Na kuna watu huku mtaani, sio wabobezi, sio wabebovu lakini wana uwezo wa kusaidia. ndipo nikauliza, unapoona Rais Samia na serikali yake, imeshindwa jambo fulani na wewe umeona unaweza kusaidia, jee tumsaidie au kwa vile yeye ndie mwenye kibali, then tumuachie mwenyewe na kibali chake? WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Pia hapa Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!
Niliuliza humu Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?
Pia nilishauri Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
Tuwakumbushe wasaidizi wake kutimiza wajibu wao kikamilifu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?
Pia niliuliza Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?
Nimeendelea kusisitiza Rais Samia asaidiwe Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!
Na sio tuu, tunamsaidia Rais Samia kama rais wetu, bali pia tunawasaidia wale anaopaswa kufanyanao kazi ili wasipishane Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
Mimi kwa upande wangu, nina maeneo mawili ya kusaidia, eneo la habari, na eneo la haki Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=_KzrMbJ3JisbuXMe
P
Kutoka 11:3 “Bwana akawapa watu hao KIBALI MACHONI PA WAMISRI. Zaidi ya hayo, huyo Musa alikuwa ni mkuu sana katika nchi ya Misri, machoni pa watumishi wa Farao, na machoni pa watu wake”
Hekima kwa WATAWALA kuhusu KIBALI hii hapaEsta 2:15 “Hata ilipowadia zamu yake Esta, binti Abihaili, mjomba wake Mordekai, ambaye alimtwaa kuwa binti yake, ili aingie kwa mfalme, yeye hakutaka kitu, ila vile vilivyoagizwa na Hegai, msimamizi wake mfalme, mwenye kuwalinda wanawake. Naye huyu Esta alikuwa amepata kibali machoni pa wote waliomwona”
Mwanzo 39:21 “Lakini Bwana akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, AKAMPA KIBALI machoni pa mkuu wa gereza.
22 Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliomo gerezani; na yote yaliyofanyika humo ndiye aliyeyafanya”
1Samweli 16:22 “Kisha Sauli akapeleka watu kwa Yese, akasema, Tafadhali, mwache Daudi asimame mbele yangu; maana AMEONA KIBALI machoni pangu”.
1Samweli 27:5 “Daudi akamwambia Akishi, Sasa kama nimeona KIBALI MACHONI PAKO na nipewe mahali katika miji hii mmojawapo mashambani, nipate kukaa huko; mbona mtumwa wako akae katika mji wa kifalme pamoja na wewe?”
Nehemia 2:4 “Ndipo mfalme akaniambia, Una haja gani unayotaka kuniomba? Basi nikamwomba Mungu wa mbinguni.
5 Nikamwambia mfalme, Mfalme akiona vema, na ikiwa mimi, mtumishi wako, NIMEPATA KIBALI MACHONI PAKO, tafadhali unipeleke mpaka Yuda, niuendee mji wa makaburi ya baba zangu, nipate kuujenga”
'VICARIOUS LIABILITY' kwa mtawala hataikwepa kwa vyovyote vile kutokana na matendo maovu ya wasaidizi wake akishuuhudia bila kuchukua hatua za kuwawajibisha. Aliyepo hana kibali Mungu amemkataaEsta 5:2 “Ikawa, mfalme alipomwona malkia Esta amesimama uani, yeye AKAPATA KIBALI machoni pake; naye mfalme akamnyoshea Esta fimbo ya dhahabu aliyokuwa nayo mkononi. Basi Esta akakaribia, akaigusa ncha ya fimbo”
Mwelewe vizuri ni chawa wa kuifagilia CCM yupo kwa maslahi ya turbo lake na CCM.Binafsi niseme ukweli sijawahi kumwelewa huyu Mzee Mayalla, Nimevumilia nimeshindwa kujuzuia leo nasema ukweli!Sijawahi.
Asante, ni kweli ni muhimu kujitambua kuwa una kibali.Kibali....somo muhimu
Kabla hata sijamaliza kusoma naomba niseme yafuatayo:Wanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu fikirishi za KMT, Kwa Maslahi ya Taifa。Somo la leo ni la kitu kinachoitwa “Kibali”。
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline
1. Somo la Kwanza: Kibali ni nini?
- Kibali ni nini?
- Kibali ni cha kazi gani?
- Sifa za Kibali: Kikitumika Kinakamilika, Kisipotumika, Kinafutwa!
- Kibali Kinatolewa na nani?
- Kibali Kinatolewa kwa nani?
- Anyepewa Kibali Anajua Kuwa ana Kibali?.
- Utamjuaje Mtu Mwenye Kibali?
- Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
- JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Hakikukamilika, Kilifutwa.
- Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
- Tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu ili kisifutwe? au tumuachie mwenyewe?
- Hitimisho na A Way Foward 2025
2. Somo la Pili: Kibali ni cha kazi gani?
3. Somo la Tatu: Kibali Kinatolewa na Nani?
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
5. Somo la Tano: Anyepewa Kibali Anajua Kuwa Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu mwenye Kibali?.
Somo la Sita: Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
Mwalimu Nyerere
7. Somo la Saba: JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Kilikatishwa kwa Kufutwa Akapewa Samia
8. Somo la Nane: Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
Somo la Tisa: Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au Tumuachie Mwenyewe na Kibali Chake?
10 Somo la Kumi: Hitimisho na A Way Forward 2025
Kuhusu Kibali cha Kutawala Tanzania, Rais Samia ana kibali!.
Kwa vile kibali Rais Samia alichoingia nacho hii 2021-2025 ni kibali cha JPM alichonyanganywa akapewa Samia ili kuimalizia ngwe ya Magufuli, sijui kama mtoa vibali anaujua ule utaratibu wa mserereko wa CCM, ndio maana licha ya JPM kuingia kumalizia kipindi chake cha pili kwa mserereko, Mtoa vibali alikifuta kibali cha JPM. Japo lengo la msesereko ni jambo zuri na lengo zuri la kuondoa duplicity kwenye mchakato wa usaili wa ushindani wa wagombea urais ambao walisailiwa ili kumpata the best, Rais Samia yeye hakusailiwa urais kwa ushindani, kwa vile ameupata urais kwa kudra tuu ya Mwenyeenzi Mungu, ni kibali kimemuepushia na ushindani, hivyo 2025 ndiye mgombea wa CCM wa mserereko wa kubembea.
Kwenye mahojiano na Kikeke, aliposema 2025, twende na mwanamke, tumemuunga mkono ila tukamuulizia kuhusu kibali Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Sasa sijui kama kwa vile ni mimi ndie niliulizia kuhusu kibali cha Rais Samia 2025-2030, then ni mimi ndiye niliye ambiwa kitu kuhusu HII issue ya 2025, wakati muafaka ukiwadia, na yeye mwenyewe ataambiwa na mtoa vibali.
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni sana!.
Paskali
Kwa vile mtoa vibali ni Mungu mwenyewe, anapotoa kibali fulani fulani kwa mtu fulani fulani, ama husema nae, ama husema direct, kwa wanaojaaliwa neema ya kuisikia sauti yake, ama husema nae, kupitia wengine, ama sometimes hasemi kabisa, hivyo no one can say for sure kibali cha JPM ni kibali cha nini!.Kabla hata sijamaliza kusoma naomba niseme yafuatayo:
1.Haikuwa mpango wa Mungu Rais Magufuli kufariki kabla ya kumaliza kipindi chake. Lakini kibali chake kilifutwa kutokana na makosa matatu makubwa:
Hizi ni speculations tuu, nashauri tusihukumu ili tusije kuhukumiwa Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!, ila kwa sisi Wakristo, kwa vile tunaokolewa kwa neema, nimeelezwa neema ya wokovu ilimshukia JPM, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amania) Kubaka uchaguzi
b) Kuruhusu umwagikaji wa damu za watanzania
c) Kutumia Kanisa kama jukwaa la kisiasa na kukosoa uongozi wa Kanisa akiwa kanisani.
Kwenye hili, nimeshauri nyie mliojaaliwa kukijua kibali cha JPM na kibali cha Samia, msaidieni kwanza kwa kumjulisha kibali chake ni cha nini, na cha muda gani, na mkimuona anakwenda kinyume cha kibali chake msaidieni kumrekebisha aenende kwenye mstari.2. Mama Samiah amepewa nafasi ya kurekebisha yale ya Magufuli na kuleta Katiba mpya. Lakini inavyoonekana kaamua kupita njia ya Magufuli. Hivyo, anavuta yaliyompata Magufuli yampate pia.
KIFUTWE HARAKA!Wanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu fikirishi za KMT, Kwa Maslahi ya Taifa。Somo la leo ni la kitu kinachoitwa “Kibali”。
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline
1. Somo la Kwanza: Kibali ni nini?
- Kibali ni nini?
- Kibali ni cha kazi gani?
- Sifa za Kibali: Kikitumika Kinakamilika, Kisipotumika, Kinafutwa!
- Kibali Kinatolewa na nani?
- Kibali Kinatolewa kwa nani?
- Anyepewa Kibali Anajua Kuwa ana Kibali?.
- Utamjuaje Mtu Mwenye Kibali?
- Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
- JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Hakikukamilika, Kilifutwa.
- Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
- Tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu ili kisifutwe? au tumuachie mwenyewe?
- Hitimisho na A Way Foward 2025
2. Somo la Pili: Kibali ni cha kazi gani?
3. Somo la Tatu: Kibali Kinatolewa na Nani?
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
5. Somo la Tano: Anyepewa Kibali Anajua Kuwa Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu mwenye Kibali?.
Somo la Sita: Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
Mwalimu Nyerere
7. Somo la Saba: JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Kilikatishwa kwa Kufutwa Akapewa Samia
8. Somo la Nane: Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
Somo la Tisa: Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au Tumuachie Mwenyewe na Kibali Chake?
10 Somo la Kumi: Hitimisho na A Way Forward 2025
Kuhusu Kibali cha Kutawala Tanzania, Rais Samia ana kibali!.
Kwa vile kibali Rais Samia alichoingia nacho hii 2021-2025 ni kibali cha JPM alichonyanganywa akapewa Samia ili kuimalizia ngwe ya Magufuli, sijui kama mtoa vibali anaujua ule utaratibu wa mserereko wa CCM, ndio maana licha ya JPM kuingia kumalizia kipindi chake cha pili kwa mserereko, Mtoa vibali alikifuta kibali cha JPM. Japo lengo la msesereko ni jambo zuri na lengo zuri la kuondoa duplicity kwenye mchakato wa usaili wa ushindani wa wagombea urais ambao walisailiwa ili kumpata the best, Rais Samia yeye hakusailiwa urais kwa ushindani, kwa vile ameupata urais kwa kudra tuu ya Mwenyeenzi Mungu, ni kibali kimemuepushia na ushindani, hivyo 2025 ndiye mgombea wa CCM wa mserereko wa kubembea.
Kwenye mahojiano na Kikeke, aliposema 2025, twende na mwanamke, tumemuunga mkono ila tukamuulizia kuhusu kibali Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Sasa sijui kama kwa vile ni mimi ndie niliulizia kuhusu kibali cha Rais Samia 2025-2030, then ni mimi ndiye niliye ambiwa kitu kuhusu HII issue ya 2025, wakati muafaka ukiwadia, na yeye mwenyewe ataambiwa na mtoa vibali.
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni sana!.
Paskali
Mkuu mliberali , Pasco ni yule yule juzi jana na leo, sijawahigi kutafuta cheo, ila natumia haki yangu yangu kutaka kusaidia, mfano hapa, angalia nilitaka kwenda kufanya nini muleNaona P.. umeanza kujitambua,
Pambana kivingine
Lakini sahau vyeo huko ccm
Mkuu Ganji, GANJIBHAAI , mambo mengine ni vimo, kuna mada zangu nyingine sio mada za watoto, ni mada za kikubwa, ukikua utanielewa .Binafsi niseme ukweli sijawahi kumwelewa huyu Mzee Mayalla, Nimevumilia nimeshindwa kujuzuia leo nasema ukweli!Sijawahi.
Mkuu Benny Haraba , Machawa hawana tatizo kabisa!,, she is a human being, kazi ya machawa ni kumpeti peti tuu, mfano Dotto Magari hata mimi nampenda, wanamfurahisha mama, ana smile, raha ya mwanamke ni kufurahishwa, machawa hawana madhara kabisa, hatari ni wasaidizi wake wasiomsaidia, wasio mwambia ukweli, na wahafidhina wasiotaka mabadiliko!.Akiwaendekeza machawa kibali kitafutwa
Naunga mkono hoja.Uchawa ni zao la unyumbu wa kisiasa. Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana, kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kijipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data.
Msomi wetu pascoWanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu fikirishi za KMT, Kwa Maslahi ya Taifa。Somo la leo ni la kitu kinachoitwa “Kibali”。
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline
1. Somo la Kwanza: Kibali ni nini?
- Kibali ni nini?
- Kibali ni cha kazi gani?
- Sifa za Kibali: Kikitumika Kinakamilika, Kisipotumika, Kinafutwa!
- Kibali Kinatolewa na nani?
- Kibali Kinatolewa kwa nani?
- Anyepewa Kibali Anajua Kuwa ana Kibali?.
- Utamjuaje Mtu Mwenye Kibali?
- Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
- JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Hakikukamilika, Kilifutwa.
- Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
- Tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu ili kisifutwe? au tumuachie mwenyewe?
- Hitimisho na A Way Foward 2025
2. Somo la Pili: Kibali ni cha kazi gani?
3. Somo la Tatu: Kibali Kinatolewa na Nani?
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
5. Somo la Tano: Anyepewa Kibali Anajua Kuwa Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu mwenye Kibali?.
Somo la Sita: Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
Mwalimu Nyerere
7. Somo la Saba: JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Kilikatishwa kwa Kufutwa Akapewa Samia
8. Somo la Nane: Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
Somo la Tisa: Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au Tumuachie Mwenyewe na Kibali Chake?
10 Somo la Kumi: Hitimisho na A Way Forward 2025
Kuhusu Kibali cha Kutawala Tanzania, Rais Samia ana kibali!.
Kwa vile kibali Rais Samia alichoingia nacho hii 2021-2025 ni kibali cha JPM alichonyanganywa akapewa Samia ili kuimalizia ngwe ya Magufuli, sijui kama mtoa vibali anaujua ule utaratibu wa mserereko wa CCM, ndio maana licha ya JPM kuingia kumalizia kipindi chake cha pili kwa mserereko, Mtoa vibali alikifuta kibali cha JPM. Japo lengo la msesereko ni jambo zuri na lengo zuri la kuondoa duplicity kwenye mchakato wa usaili wa ushindani wa wagombea urais ambao walisailiwa ili kumpata the best, Rais Samia yeye hakusailiwa urais kwa ushindani, kwa vile ameupata urais kwa kudra tuu ya Mwenyeenzi Mungu, ni kibali kimemuepushia na ushindani, hivyo 2025 ndiye mgombea wa CCM wa mserereko wa kubembea.
Kwenye mahojiano na Kikeke, aliposema 2025, twende na mwanamke, tumemuunga mkono ila tukamuulizia kuhusu kibali Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Sasa sijui kama kwa vile ni mimi ndie niliulizia kuhusu kibali cha Rais Samia 2025-2030, then ni mimi ndiye niliye ambiwa kitu kuhusu HII issue ya 2025, wakati muafaka ukiwadia, na yeye mwenyewe ataambiwa na mtoa vibali.
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni sana!.
Paskali
Mkuu Meya, Mayor Quimby ,naunga mkono hoja。Magufuli alikuwa na kibali.
Shida ya watu wenye vibali ni kulewa na mafanikio yao (Magufuli sio wa kwanza mifano ni mingi kwenye historia).
Wakishafanikiwa sana udhani wana mamlaka ya mungu, kuwaamulia watu wengine maamuzi ya maisha.
Hapo ndio mungu anapojibu, huna mamlaka yangu.
Changamoto ambayo nimeona kwenye jamii zetu za kiafrica ni kwamba wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kizalendo, (kwa nafsi), a.k.a kujizima data kwa kutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa ambapo wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani ama chama dola kwa masilahi binafsi au kwa kuigiza uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendoMkuu Benny Haraba , Machawa hawa tatizo kabisa!,, she is a human being, kazi ya machawa ni kumpeti peti tuu, mfano Dotto Magari hata mimi nampenda, wanamfurahisha mama, ana smile, raha ya mwanamke ni kufurahishwa, machawa hawana madhara kabisa, hatari ni wasaidizi wake wasiomsaidia, wasio mwambia ukweli, na wahafidhina wasiotaka mabadiliko!.
Naunga mkono hoja.
P.
Mkuu Baba wa Wote Father of All ,uliharakisha tuu ,Ingekuwa vizuri kama ungejibu maswali yako ili kuwapa wachangiaji ufafanuzi, maana na maudhui ya ulichomaanisha.
limejibiwa。Je rais ni kabali cha nini?
limejibiwa。Ni kibali cha ufisadi, uongozi bora, ufamilia, bora uongozi, uadilifu, mamlaka nk?
limejibiwa。Je ni kibali kilichomo kwenye katiba au cha kujitengenezea?
limejibiwa。Je kibali hiki kinatumika wapi na kwa muda gani?
limejibiwa。Je nani anatoa hiki kibali na kwa sifa zipi?
Rais ni kibali,maana yake Mungu ndie huweka serikali za mataifa,na kutoa kibali cha mtu kuwa kiongozi wa nchi,hivyo viongozi wote ni vibali,lakini vibali ni kutoka kwa Mungu!。Je kama rais ni kibali na kibali ni rais au ni nini?
limejibiwa。Je sifa za kibali ni zipi na kwa vigezo vipi?
Mengi ya maswali yako yamejibiwa,kama una mengine uliza,nitakujibuNaona nisiteke uzi wako mwanangu, ila kuna mengi yanapwaya kama siyo. kukosekana kabisa.
hili tumelizungumza humu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?Changamoto ambayo nimeona kwenye jamii zetu za kiafrica ni kwamba wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kizalendo, (kwa nafsi), a.k.a kujizima data kwa kutumia tabia ya unyumbu wa kisiasa ambapo wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani ama chama dola kwa masilahi binafsi au kwa kuigiza uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
Mkuu Ngongo ,JPM alikuwa na kibali,cha ile awamu ya kwanza, aligombea na watu 62,hivyo kitendo tuu cha yeye kupita ni kibali tosha!。 Angalia tarehe ya bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliJiwe hakuwa na kibali,
Hakuna uthibitisho wowote kuwa aliiba uchaguzi,ule ulikuwa ni udhalimu na niliutolea angalizo Elections 2015 - Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!kama angekuwa na kibali ni kwanini aliiba uchaguzi.
Huku hayo yakijiri, wengine wanaandika hivi7. Somo la Saba: JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Kilikatishwa kwa Kufutwa Akapewa Samia
Ndio hapo sasa. Rais aliyejifanya anapendwa sana, lakini akiishia kuiba kura kwa kiwango cha juu kabisa.Jiwe hakuwa na kibali,kama angekuwa na kibali ni kwanini aliiba uchaguzi.