Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

No 7
Hana kibali, siyo cha watanzania tu hata juuu
Mkuu Katashe, Katashekadm ,kibali anacho !,kuchaguliwa tuu kupeperusha bendera ya CCM, ni kibali, kibali cha uraisi wa Tanzania kimetolewa kwa CCM pekee,hivyo yeyote ambaye ni mgombea urais wa CCM, huyo ndie rais wetu kupitia kibali cha CCM!
P
 
Kibali kimepoteza mamlaka na vile hakikuwepo toka mwanzo kimepoteza nguvu.
Mkuu Mya,@myangu,kibali kilikuwepo toka mwanzo,na hakipotezi mamlaka。

kwa vile kibali kinatolewa na YEYE ambaye ndie mamlaka kuu,kibali hakiwezi kupoteza mamlaka,bali mwenye kibali ndie anaweza kupoteza mwelekeo,na kibali chake,kikafutwa kama ilivyotokea vile!。
P
 
Samia kibali chake kinaisha 2035 inshallah, baada ya katiba mpya 2025 ndio anaanza muhula wake wa miaka kumi....
Mkuu Kale,@kalemba,Rais Samia ana vibali viwili,kibali cha kwanza ni kibali cha mpito alichonyang'anywa mtangulizi wake akapewa yeye, kibali hiki mwisho wake ni 2025,kisha ana kibali chake mwenyewe cha 2025 ~2030,hiki ndio bado hatuna uhakika kama tayari ameisha kipewa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Safari ya Rais Samia 2025~2030,inakabiliwa na kikwazo kimoja tuu,kikwazo hicho ni kama HII kitu ni kweli。

No objection
 
Kwani Katiba iliyopo inasemaje kuhusu hicho KIBALI ???!!
Mkuu,Ndole,@ndolelejiuduhe,nimesema kuna vibali vya aina mbili,vibali vya mamlaka ya chini,mamlaka za kidunia,katiba na licensing authorities mbalimbali na kibali cha mamlaka KUU,ambayo ni YEYE。

Kwa mujibu katiba kibali cha urais ni vipindi viwili vya miaka mitano mitano,jumla miaka 10,lakini kibali cha mamlaka KUU,kinaweza kuwa ni kipindi kimoja tuu,hivyo kibali cha JPM kilikuwa cha awamu moja,ilipotimia, kibali chake kika expire,alipoamua kuendelea na awamu yake ya pili kwa mserereko wa CCM,kibali cha awamu ya pili kilitolewa akachaguliwa,kikawa withdrawn na kupewa Samia kumalizia awamu ya pili ya JPM。Katiba inaweza kusema miaka 10 mtoa vibali akatengua katiba。
Tanzania inafuata Katiba !
Ndio maana watu wajanja wakasema-
Locuta causa finita ! 🙏🙌

Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
Japo ni kweli Locuta causa finita,ni kidunia tuu,mambo yote sio Lacuta,mambo yote ni DEI,vox populi is vox DEI,DEI ndio kila kitu!。
P
 
Mkuu,Ndole,@ndolelejiuduhe,nimesema kuna vibali vya aina mbili,vibali vya mamlaka ya chini,mamlaka za kidunia,katiba na licensing authorities mbalimbali na kibali cha mamlaka KUU,ambayo ni YEYE。

Kwa mujibu katiba kibali cha urais ni vipindi viwili vya miaka mitano mitano,jumla miaka 10,lakini kibali cha mamlaka KUU,kinaweza kuwa ni kipindi kimoja tuu,hivyo kibali cha JPM kilikuwa cha awamu moja,ilipotimia, kibali chake kika expire,alipoamua kuendelea na awamu yake ya pili kwa mserereko wa CCM,kibali cha awamu ya pili kilitolewa akachaguliwa,kikawa withdrawn na kupewa Samia kumalizia awamu ya pili ya JPM。Katiba inaweza kusema miaka 10 mtoa vibali akatengua katiba。

Japo ni kweli Locuta causa finita,ni kidunia tuu,mambo yote sio Lacuta,mambo yote ni DEI,vox populi is vox DEI,DEI ndio kila kitu!。
P
Naunga mkono hoja 🙏
 
Samia ni rais pekee katika marais waliiongoza nchi ambaye hapendwi na anaowatawala na hana ushawishi wowote..
Mkuu Yoso,@yoso,hii sii kweli kuwa Rais Samia hapendwi,anapendwa na wengi tuu,na anakubalika sana,na ana uwezo ila hawezi kupendwa na wote,maana hata Mungu mwenyewe licha ya kutuumba,kuna watu hawampendi Mungu,wanampenda shetani!
tazama hata hotuba zake utafikiri anahutubia mwenyekiti wa kitongoji.
Binadamu hawafanani,kila zama na zama zake,kila rais na uwezo wake,kitu muhimu ni kibali!。
miaka michache iliyopita kuna kiongozi aliteka hadhira ya Watanzania na kila ilipofika jioni watu walijazana kwenye tivii kusikiliza hotuba zake.
Kila mtu ana chake apendacho,kuna watu walimpenda sana Mwalimu Nyerere kwa hotuba zake,lakini watu walikuwa masikini wa kutupwa walioishi kwenye lindi la umasikini uliotopea,akaja Mwinyi,mkimya,lakini akafanya makubwa!。
Uongozi sio hotuba sio maneno maneno ni kufanya mambo,vitendo vitu vinaonekana。
P
 
Magufuli alifanikiwa kuua uhuru wa vyombo vya habari, na akawa mzuri kwenye propaganda na kudhalilisha watu. Akateka ufahamu wa masikini wengi, hivyo alipendwa na wajinga wengi. Ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi ilibidi apore uchaguzi maana hakuwa na uhakika wa kukubalika kwake. Na angelogwa aheshimu uchaguzi angekutana na matokeo ya kuumiza moyo wake.
Kimsingi tunaongozwa na matapeli tupu, hakuna Mungu wa kutoa vibali kwa majizi na majangili ya mali za umma.
 
Paschal, kuwa mkweli tu usizunguke , Bi mkubwa nchi imemshindwa na imekamatwa na wahuni haiwezekani kwa Kiongozi Makini , raia wanalalamika UTEKAJI, mauaji ,uchumi kuanguka n.k yeye hajali , na akitoka kuzungumza anaharibu kabisa , kiufupi hana uwezo wa kutuvusha , Wananchi kwa Sasa hawana uwezo wa kuchagua viongozi wao bali Dola ndio inachagua , Je hapo Kuna nchi? Hapo Kuna Rais ?

Kibali kishafutwa unasubiriwa utekelezaji tu

Kiufupi nchi kwa Sasa inajiendea tu
Kwa iabu kubwa kuongozwa na huyu bibi ameruhusu wizi, ufisadi, udini tupu
 
Maza anaweza sana ila tatizo ni wahafidhina
P
Ndiyo shida ilipo sasa kama ameshindwa kuwabaini ni kiongozi dhaifu sn, teuzi zote ni Zanzibar na Pwani, angekuwa na nia njema angeruhusu katiba mpya nafasi zote ziwe za kuomba na watu wafanye interview tupate watu wenye uwezo mkubwa, DEDs/DASs/DCs/RASs/RCs/CEs/KMs sasa hivi nafasi zote ni UVCCM na watu wa ijumaa tupu hakuna la maana wanafanya, ametuletea mambo ya gender balance lakini kwao Zanzibar na kwa wajomba uarabuni hawafanyi na humsikii akilalamika amekuja kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio.
 
Back
Top Bottom