Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #121
Mkuu Sonofo,@sonoobia,jf ni ukumbi wa kuelimishana,bandiko hili ni uhaini kivipi?ili nijiangalie nisije nikapotezwa!What you are doing here is treason. Watch your steps.
Kitendo cha kugombea na watu 42 ukapita wewe,hicho ni kibali,ukiisha pata kibali,mengine yote ni kibali kinayanyoosha!。Magufuli hakuwa na kibali, kwa kuwa hata uchaguzi hakushinda
Mkuu Katashe, Katashekadm ,kibali anacho !,kuchaguliwa tuu kupeperusha bendera ya CCM, ni kibali, kibali cha uraisi wa Tanzania kimetolewa kwa CCM pekee,hivyo yeyote ambaye ni mgombea urais wa CCM, huyo ndie rais wetu kupitia kibali cha CCM!No 7
Hana kibali, siyo cha watanzania tu hata juuu
Mkuu Mya,@myangu,kibali kilikuwepo toka mwanzo,na hakipotezi mamlaka。Kibali kimepoteza mamlaka na vile hakikuwepo toka mwanzo kimepoteza nguvu.
Mkuu Kale,@kalemba,Rais Samia ana vibali viwili,kibali cha kwanza ni kibali cha mpito alichonyang'anywa mtangulizi wake akapewa yeye, kibali hiki mwisho wake ni 2025,kisha ana kibali chake mwenyewe cha 2025 ~2030,hiki ndio bado hatuna uhakika kama tayari ameisha kipewa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!Samia kibali chake kinaisha 2035 inshallah, baada ya katiba mpya 2025 ndio anaanza muhula wake wa miaka kumi....
No objectionMkuu Kale,@kalemba,Rais Samia ana vibali viwili,kibali cha kwanza ni kibali cha mpito alichonyang'anywa mtangulizi wake akapewa yeye, kibali hiki mwisho wake ni 2025,kisha ana kibali chake mwenyewe cha 2025 ~2030,hiki ndio bado hatuna uhakika kama tayari ameisha kipewa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Safari ya Rais Samia 2025~2030,inakabiliwa na kikwazo kimoja tuu,kikwazo hicho ni kama HII kitu ni kweli。
P
Mkuu,Ndole,@ndolelejiuduhe,nimesema kuna vibali vya aina mbili,vibali vya mamlaka ya chini,mamlaka za kidunia,katiba na licensing authorities mbalimbali na kibali cha mamlaka KUU,ambayo ni YEYE。Kwani Katiba iliyopo inasemaje kuhusu hicho KIBALI ???!!
Japo ni kweli Locuta causa finita,ni kidunia tuu,mambo yote sio Lacuta,mambo yote ni DEI,vox populi is vox DEI,DEI ndio kila kitu!。Tanzania inafuata Katiba !
Ndio maana watu wajanja wakasema-
Locuta causa finita ! 🙏🙌
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
Naunga mkono hoja 🙏Mkuu,Ndole,@ndolelejiuduhe,nimesema kuna vibali vya aina mbili,vibali vya mamlaka ya chini,mamlaka za kidunia,katiba na licensing authorities mbalimbali na kibali cha mamlaka KUU,ambayo ni YEYE。
Kwa mujibu katiba kibali cha urais ni vipindi viwili vya miaka mitano mitano,jumla miaka 10,lakini kibali cha mamlaka KUU,kinaweza kuwa ni kipindi kimoja tuu,hivyo kibali cha JPM kilikuwa cha awamu moja,ilipotimia, kibali chake kika expire,alipoamua kuendelea na awamu yake ya pili kwa mserereko wa CCM,kibali cha awamu ya pili kilitolewa akachaguliwa,kikawa withdrawn na kupewa Samia kumalizia awamu ya pili ya JPM。Katiba inaweza kusema miaka 10 mtoa vibali akatengua katiba。
Japo ni kweli Locuta causa finita,ni kidunia tuu,mambo yote sio Lacuta,mambo yote ni DEI,vox populi is vox DEI,DEI ndio kila kitu!。
P
Anapindisha kuwa maza hawezi kitu yupo yupoNyosha maelezo
Mkuu Yoso,@yoso,hii sii kweli kuwa Rais Samia hapendwi,anapendwa na wengi tuu,na anakubalika sana,na ana uwezo ila hawezi kupendwa na wote,maana hata Mungu mwenyewe licha ya kutuumba,kuna watu hawampendi Mungu,wanampenda shetani!Samia ni rais pekee katika marais waliiongoza nchi ambaye hapendwi na anaowatawala na hana ushawishi wowote..
Binadamu hawafanani,kila zama na zama zake,kila rais na uwezo wake,kitu muhimu ni kibali!。tazama hata hotuba zake utafikiri anahutubia mwenyekiti wa kitongoji.
Kila mtu ana chake apendacho,kuna watu walimpenda sana Mwalimu Nyerere kwa hotuba zake,lakini watu walikuwa masikini wa kutupwa walioishi kwenye lindi la umasikini uliotopea,akaja Mwinyi,mkimya,lakini akafanya makubwa!。miaka michache iliyopita kuna kiongozi aliteka hadhira ya Watanzania na kila ilipofika jioni watu walijazana kwenye tivii kusikiliza hotuba zake.
Mkuu Davi Davi Davidson david ,ninyooshe maelezo yapi mbona bandiko hili limenyooka!。Nyosha maelezo
Kimsingi tunaongozwa na matapeli tupu, hakuna Mungu wa kutoa vibali kwa majizi na majangili ya mali za umma.Magufuli alifanikiwa kuua uhuru wa vyombo vya habari, na akawa mzuri kwenye propaganda na kudhalilisha watu. Akateka ufahamu wa masikini wengi, hivyo alipendwa na wajinga wengi. Ndio maana ilipofika wakati wa uchaguzi ilibidi apore uchaguzi maana hakuwa na uhakika wa kukubalika kwake. Na angelogwa aheshimu uchaguzi angekutana na matokeo ya kuumiza moyo wake.
Kwa iabu kubwa kuongozwa na huyu bibi ameruhusu wizi, ufisadi, udini tupuPaschal, kuwa mkweli tu usizunguke , Bi mkubwa nchi imemshindwa na imekamatwa na wahuni haiwezekani kwa Kiongozi Makini , raia wanalalamika UTEKAJI, mauaji ,uchumi kuanguka n.k yeye hajali , na akitoka kuzungumza anaharibu kabisa , kiufupi hana uwezo wa kutuvusha , Wananchi kwa Sasa hawana uwezo wa kuchagua viongozi wao bali Dola ndio inachagua , Je hapo Kuna nchi? Hapo Kuna Rais ?
Kibali kishafutwa unasubiriwa utekelezaji tu
Kiufupi nchi kwa Sasa inajiendea tu
Mkuu Benja,@benjamini netanyahu,hakuna awezaye kila kitu,Maza ana uwezo na keshaonyesha uwezo kwa kauli na matendoAcha kuzunguka sema ukweli kuwa hana uwezo wa kuongoza
Maza anaweza sana ila tatizo ni wahafidhinaAnapindisha kuwa maza hawezi kitu yupo yupo
Kuruhusu utekaji, uzembe serekalini, wizi wa mali za umma ndiyo uwezo? kwanza hana hata ile sauti ya mamlaka hata kidogo, huku bush wananchi hawamtaki kabisaMkuu Benja,@benjamini netanyahu,hakuna awezaye kila kitu,Maza ana uwezo na keshaonyesha uwezo kwa kauli na matendo
P
- Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume
- Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Ndiyo shida ilipo sasa kama ameshindwa kuwabaini ni kiongozi dhaifu sn, teuzi zote ni Zanzibar na Pwani, angekuwa na nia njema angeruhusu katiba mpya nafasi zote ziwe za kuomba na watu wafanye interview tupate watu wenye uwezo mkubwa, DEDs/DASs/DCs/RASs/RCs/CEs/KMs sasa hivi nafasi zote ni UVCCM na watu wa ijumaa tupu hakuna la maana wanafanya, ametuletea mambo ya gender balance lakini kwao Zanzibar na kwa wajomba uarabuni hawafanyi na humsikii akilalamika amekuja kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio.Maza anaweza sana ila tatizo ni wahafidhina
P