Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Anatoa vibali fikirishiKwani wewe ndio unatoa na kukagua vibali vya mtu kuwa Rais?
Usijipe kazi ambayo hujatumwa Wala hujaomba kumsaidia mtoa kibali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatoa vibali fikirishiKwani wewe ndio unatoa na kukagua vibali vya mtu kuwa Rais?
Usijipe kazi ambayo hujatumwa Wala hujaomba kumsaidia mtoa kibali.
Unaongea nini bro, hapo anayeweza ni yeye au hao wahafidhina? Acha kuumauma maneno, sema anaweza ama hawezi, sio habari za tatizo ni wahafidhina.Maza anaweza sana ila tatizo ni wahafidhina
P
Samia Ana kila sababu ya kuridhika na kibali alichopewa. Aliyoyafanya ni makubwa na mazuri kuliko hata mtangulizi wake.Wanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu fikirishi za KMT, Kwa Maslahi ya Taifa。Somo la leo ni la kitu kinachoitwa “Kibali”。
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike, naanza na Outline
1. Somo la Kwanza: Kibali ni nini?
- Kibali ni nini?
- Kibali ni cha kazi gani?
- Sifa za Kibali: Kikitumika Kinakamilika, Kisipotumika, Kinafutwa!
- Kibali Kinatolewa na nani?
- Kibali Kinatolewa kwa nani?
- Anyepewa Kibali Anajua Kuwa ana Kibali?.
- Utamjuaje Mtu Mwenye Kibali?
- Nyerere, Mwinyi na Mkapa, Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
- JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Hakikukamilika, Kilifutwa.
- Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
- Tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu ili kisifutwe? au tumuachie mwenyewe?
- Hitimisho na A Way Foward 2025
2. Somo la Pili: Kibali ni cha kazi gani?
3. Somo la Tatu: Kibali Kinatolewa na Nani?
4. Somo la Nne: Kibali Kinatolewa kwa Nani?
5. Somo la Tano: Anyepewa Kibali Anajua Kuwa Ana Kibali?. Utamjuaje Mtu mwenye Kibali?.
Somo la Sita: Nyerere, Mwinyi na Mkapa, JK Walikuwa na Vibali, Vikatumika na Kukamilika.
7. Somo la Saba: JPM alikuwa na kibali, Japo Kilitumika, Kilikatishwa kwa Kufutwa Akapewa Samia
8. Somo la Nane: Je Rais Samia ni Kibali?, Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
Somo la Tisa: Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au Tumuachie Mwenyewe na Kibali Chake?
10 Somo la Kumi: Hitimisho na A Way Forward 2025
Kuhusu Kibali cha Kutawala Tanzania, Rais Samia ana kibali!.
Kwa vile kibali Rais Samia alichoingia nacho hii 2021-2025 ni kibali cha JPM alichonyanganywa akapewa Samia ili kuimalizia ngwe ya Magufuli, sijui kama mtoa vibali anaujua ule utaratibu wa mserereko wa CCM, ndio maana licha ya JPM kuingia kumalizia kipindi chake cha pili kwa mserereko, Mtoa vibali alikifuta kibali cha JPM. Japo lengo la msesereko ni jambo zuri na lengo zuri la kuondoa duplicity kwenye mchakato wa usaili wa ushindani wa wagombea urais ambao walisailiwa ili kumpata the best, Rais Samia yeye hakusailiwa urais kwa ushindani, kwa vile ameupata urais kwa kudra tuu ya Mwenyeenzi Mungu, ni kibali kimemuepushia na ushindani, hivyo 2025 ndiye mgombea wa CCM wa mserereko wa kubembea.
Kwenye mahojiano na Kikeke, aliposema 2025, twende na mwanamke, tumemuunga mkono ila tukamuulizia kuhusu kibali Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Sasa sijui kama kwa vile ni mimi ndie niliulizia kuhusu kibali cha Rais Samia 2025-2030, then ni mimi ndiye niliye ambiwa kitu kuhusu HII issue ya 2025, wakati muafaka ukiwadia, na yeye mhusika mwenyewe ataambiwa na mtoa vibali.
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni sana!.
Paskali
Ni jambo la heri sana kaka nimefurahi kukuona tena.Mkuu Side,@said s Yande,mimi nipo sana。
P
Kaka paskali wewe n Mtu WA Kwenda mbele ya muda sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾 kisha kurudi wakati uliopo...Wanabodi,

Yes, nilipomsikia akisema kuhusu 2025 nimeshauri Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!Kaka paskali wewe n Mtu WA Kwenda mbele ya muda sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾 kisha kurudi wakati uliopo...
Mungu akujalie mema.
Nafikiri akiitua ndoo 2025 atakuwa amefanya Bora sana ila kwakuwa kuna namna ya kuyaona mambo na kutafsiri tunatofautiana mwambieni asinogewe akizidisha inabidi awe na hekima zaidi vinginevyo aweanajua nn anatakiwa kufanya na nn asifanye.
Lasivyo haitakuwa vile inatamaniwa Bali itakuwa vile mtoa vibali anahitaji👣