Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝
Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga.
Refer tetemeko la ardhi Kagera.
Wamasai wa Ngorororo waliokubali kuhamishwa serikali iliwahamisha bure na kuwapa makazi ya kisasa. What love is this? ♥️♥️♥️ .
Ila wajinga wanasiasa wakataka kuchukua point kwenye issue ya Ngorororo.
Magufuli angewaambia wamevamia Hifadhi hivyo wangehamishwa kikatili.
Wale wa vyeti fake na darasa la 7 walioondolewa Magufuli hakutaka kabisa kuwapa huruma lakini Samia amewafuta machozi angalau.
Akaruhusu wapewe michango yao.
Mimi simpigii kampeni Rais Samia na wala sijawahi kuwa upande wake ila naonyesha ubora wake kwa kumlinganisha na Magufuli, mtu aliyependwa sana kama Mobutu.
Samia apewe maua yake.