Magufuli alikuwa sahihi kutokuongeza mishahara ya watumishi kwa miaka 5. Uzembe umejaa makazini

Wewe sio mtumsihi wa umma.
 
Kwahiyo mnataka muongezwe pesa wakati utendaji ni sifuri?
Sijawahi kukutana na Mech Eng mwenye akili za hovyo kabila hii aiseeeeee....
Pole sana chief, naona umesoma comment lakini haijakuelimisha.
 
Mkiambiwa mjifunze vitu huwa hamtaki, ulichofanya kinaitwa "fallacy of generalization " umetumia kosa la ofisi moja kuwahukumu wafanyakazi wote. Tusemeje kwa mwalimu aliyepo kijijini huko ambaye amekuwa akifundisha kuanzia asubuhi mpaka usiku ahukumiwe kwa kosa asilolijua lilitokea huko dar? Daktari Nurse anayeacha usingizi wake ili kuhudumia wagonjwa asiongezewe mshahara kwa ajili ya ofisi ambayo hata haijui? Ifike sehemu tuangalie kile tunachoongea.
 
Sijawahi kukutana na Mech Eng mwenye akili za hovyo kabila hii aiseeeeee....
Pole sana chief, naona umesoma comment lakini haijakuelimisha.
Hahaha, we career yako ni ipi boss?Ama unielimishe kilichotakiwa kufanyika.
 
Hahaha, we career yako ni ipi boss?Ama unielimishe kilichotakiwa kufanyika.
Mimi ni kama wewe, na tofauti ni mimi kujiajiri mwaka wa tatu huu baada ya kuajiriwa for almost 16 good years
 
Kima
 
Kama hauna uwezo wa kujenga hoja, then hiki kiatu hakikutoshi...[emoji41][emoji41]
Kiatu wahuni tunapanua tu tunavaa hainaga shida.....ikiwa tyt sana tunavaa na rambo tulilochovya korie
 
Kuna mambo ukiyaangali unajisemea kimoyo moyo " acha tu Magufuli aendelee"
Kuna shithole zimekaa kwenye ofisi za umma hasa NIDA, police na uhamiaji vitambi vimejaa kinyesi, tija Ni zero halafu wanalalamika wasipopandishiwa mishahara
Sasa ikiwa Magu mwenyewe hawajali unadhani munkari wa kazi watautoa wapi?, Hata km ni mimi huwezi kuniambia "Hapa kazi tu", Halafu maslahi yangu unayaweka kapuni.Watu sio wajinga bhana.
 
Kuwajibika vs mshahara,mbona sioni connection mkuu,tafakari uje na nyuzi yenye ujazo
 
Wewe jamaa hufai kuwa hakimu. Hivi kweli kosa la watu Fulani idara moja ndio una generalize wote? Maisha hayapo hivyo, hata Mungu angehukumu km wewe basi watu tungekuwa tulishapotea zamani sana.
Fallacies of generalization. Mleta mada ni kanjanja aliyekubuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…