Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako.
Lakini ukiwa hai wanakubeza kukutukana na kukudharau. Kwangu mimi Gwajima anabaki kama shujaa katika kipindi hiki cha ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na demokrasi, ingawa napata picha ya kutisha hawa vijana wa CCM ndiyo kesho watakuja kuwa viongozi wa inchi?
Tunatatizo kubwa sana, kwa akili, nguvu, elimu, ujuzi, na nguvu walizowekeza majirani zetu mfano Rwanda, naamini tunakuja kupigwa.
Maana kunauzalendo wa nchi,na kuna uchawa wa Viongozi.
Uchawa ni kama wanavyofanya wale wanaopingana na Gwajima,hili kundi linachojali ni maslai yao bila kuangalia inchi inaathirika vipi,hapa kuna wauza madawa ya kulevya, wezi wa rasilimali za inchi, majambazi na kila kitu, na wengi akili zao ni ndogo wako kwa ajili ya kujinufaisha wao
Wazalendo wa inchi ni kama CHADEMA ya sasa Mzee warioba, Butiku, Gwajima wa sasa na wale wote wanaoitakia mema inchi