swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,470
Mimi sijamuelewa Mhe. Magufuli leo akiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara amesema:
- Kabla waziri Kigoda hajapelekwa ICU nje ya nchi niliongea nae akanishauri juu ya kuwasaidia wafanyabiashara nchini.
- Alipokuwa nje ya nchi akiwa ICU alinitumia email na kunishauri.
Maswali yangu:
-Hivi mpaka mtu anapelekwa ICU anakuwa na uwezo wa kuchati?
-Je, Magufuli anasema ICU tunayoijua au?
Huyu ndo anataka urais?