Sio wagonjwa wote wanaokuwa ICU wanakuwa incapacitated!
Pili, inategemea Dr Kigoda alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani? Mfano, mgonjwa wa kansa anaweza kuwa kwenye 'final days' lakini bado anaongea vizuri.
Tuache Familia,jamaa na Watu wa Karibu na Dr.Abdallah Kigoda waomboleze na kumzika Ndugu yao kwa amani na salama, tuache kuhusisha Jina la Kigoda na Siasa Chafu.Dr.Kigoda kafanyiwa rafu nyingi sana 2005 lakin hakuwa mtu wa Visasi wala Mbwembwe na Madaha mengi kama walivyo wanasiasa lakini alikuwa ni Mtu mwenye bundle nyingi sana za Kichwani.Pole Mh.Mkapa, Pole Familia
Hapo sasa ndipo watu waone usanii wa Magufuri hata ahadi anazotoa ni usanii tupu.Mgombe uria wa ccm , Magufuri amesema marehemu kigoda kabla hajangia icu au chumba cha wagonjwa mmahututi alimpigia sim kumshauri mambo ya uchumi na jinsi ya kuwawezesha wafanya biashara wazawa.. Pamoja na kumpigia sim alimtumia email kumshauri mambo ya uchumi.
Sasa magufuri mgonjwa mahututi anaweza kupiga simu na kutuma email?
Chanzo: Itv habari ya sa mbili usiku.