Magufuli alipofariki dunia tu, Samia akachukua Urais. Ndugai alipoanguka tu, Tulia akawa Spika. Wanawake wa CCM wamejipanga!

Magufuli alipofariki dunia tu, Samia akachukua Urais. Ndugai alipoanguka tu, Tulia akawa Spika. Wanawake wa CCM wamejipanga!

Wala hawajajipanga kwa lolote,ni mambo tu yanayotokea na hiyo ni dalili za jambo kubwa litakalokuja kutukia uko mbele.soma alama za nyakati utaona kinachokuja kwa kasi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom