Magufuli alipomtumbua Simbachawene alitwambia alikuwa analeta Uendisome IKULU, je Samia ATASEMAJE?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene.

Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua?
 
Siku zote regime hutaka wanaoweza kucheza midundo ya miziki yao, kama huwezi kucheza shoo zao lazima utemwe. Ndege wanaofanana huruka pamoja, ukiteuliwa jitahidi kufanana nao hata kwa kuzuga tu
 
Ni kweli simbachaweni ni mpoleee, anaongea kipolee, hana hulka ya ukalikali kama wenzake wa timu yake, lazima wamuambie analeta uzuri, anaremba mwandiko
 
Labda tabia iliendelea na kuna mtu akaona wivu kwanini asiwe pekeyake
 
Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene.

Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua?
😅😅 Jamaa anaonekana wa maana kumbe mtombaaji wa kiholela holela.. kweli sura sio matendo
 
Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene.

Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua?
Magufuli hakuwahi kusema hivi, JF siku hizi imekuwa jalala kwa sababu ya watu kama wewe.
 
Back
Top Bottom