O Ozon JF-Expert Member Joined Dec 19, 2024 Posts 2,910 Reaction score 4,711 Jan 11, 2026 #21 Sifi Leo said: Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene. Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua? Click to expand... Wapi Magufuli alitoa sababu hiyo!? Usitake kujustify ujinga wa Samia wa kumtumbua waziri ambaye alitaka kumsaidia kwa kutumia justifications za kizushi na za kipumbafu ambazo zimeshapitwa na wakati.
Sifi Leo said: Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene. Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua? Click to expand... Wapi Magufuli alitoa sababu hiyo!? Usitake kujustify ujinga wa Samia wa kumtumbua waziri ambaye alitaka kumsaidia kwa kutumia justifications za kizushi na za kipumbafu ambazo zimeshapitwa na wakati.