johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbwa kala mbwa... mijizi mnajiibia wenyewe hiyo ripoti unayotaka ni ya kuchambia?Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼
Aah, mzee huyo aliona mbali kwa faida ya watanzania walio wengi, aah !Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼
Naye huyo shujaa wako alikuwa mpigaji tu,unajua kwa nini alimuua Lwajabe?Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼
Jiwe alikua mtu na nusu sema mbongo kukubali chake, hadi kipigwe nembo kwa hisani ya watu wa Marekani!Kuna kauli flani hivi aliongea kijana mmoja hivi kwamba 'mungu kaamulia ugomvi'
Sioni wiki ikipita pasipo kukumbushwa lolote kutoka kwa JPM,, yaani m-baya m-baya kweli ila alifanya hiki kama John ulivyoandika!.
Yajayo yanafurahisha 🤣Unatupanga sio.
Hata Nzee ya Nsoga inabugia hizo njuguNaskia hata shujaa jiwe alikuwa anatumia hizo dawa za marekani.....!! Ni kweli??
Wewe hutumii?Naskia hata shujaa jiwe alikuwa anatumia hizo dawa za marekani.....!! Ni kweli??
Jibu swali wee chawa....Wewe hutumii?
Mwanamme lijali kutumia dawa hainaga maajabu yoyote labda wale Vibamia 🐼Jibu swali wee chawa....
Una akili nyingi sana.Nani alimkatalia ilhali hapa kwetu kila kitu kipo chini ya Rais?
Yeye anazikagua kama donor yani mtoaji nyinyi mlitaka kuzikagua ili mzipangie matumizi mengine.Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼
Hizo pesa zao huwaga wanatoa masharti juu ya matumizi yake, na wakaguzi Huwa wanaleta wakwao, hata Rais Hana say juu ya Fedha zao, ndo mana ukishindwa masharti hawakupi Fedha zao.Nani alimkatalia ilhali hapa kwetu kila kitu kipo chini ya Rais?
Alitaka zipite hazina ili akwapue kama alivyofanya kwenye zile Trillioni 1.5, yule Jamaa ni Rais wa hovyo kuwahi kushuhudiwaNadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼