Magufuli alisema Fedha zote za Wafadhili hata za NGO zipitie Hazina Ili iwe zikaguliwe mkapinga, sasa Trump anazikagua!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza

Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa

Ngoja tuone 🐼
 
Mbwa kala mbwa... mijizi mnajiibia wenyewe hiyo ripoti unayotaka ni ya kuchambia?
 
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza

Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa

Ngoja tuone 🐼
Naye huyo shujaa wako alikuwa mpigaji tu,unajua kwa nini alimuua Lwajabe?
 
Kuna kauli flani hivi aliongea kijana mmoja hivi kwamba 'mungu kaamulia ugomvi'

Sioni wiki ikipita pasipo kukumbushwa lolote kutoka kwa JPM,, yaani m-baya m-baya kweli ila alifanya hiki kama John ulivyoandika!.
Jiwe alikua mtu na nusu sema mbongo kukubali chake, hadi kipigwe nembo kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza

Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa

Ngoja tuone 🐼
Yeye anazikagua kama donor yani mtoaji nyinyi mlitaka kuzikagua ili mzipangie matumizi mengine.
By the way nimesikia sehemu ndogo ya ripoti ya mwanzo ya fedha za USAID, lile lilikuwa chaka la upigaji. Yani eti walipeleka dola milioni 50 Gaza kwa ajili ya condom. Sijui dola milion 200 Iraq kwa ajli ya mambo gani ya culture.
Sema wanasema USAID ni pesa ndogo kwa bajeti ya marekani, dola biliion 40 ni kama 0.6 ya bajeti yao.
Wanasema pesa nyingi inapigwa kwenye Medicare ambapo ni kama dola tilioni 2. Watu wanasema Musk aende huko.
 
Nani alimkatalia ilhali hapa kwetu kila kitu kipo chini ya Rais?
Hizo pesa zao huwaga wanatoa masharti juu ya matumizi yake, na wakaguzi Huwa wanaleta wakwao, hata Rais Hana say juu ya Fedha zao, ndo mana ukishindwa masharti hawakupi Fedha zao.

€Tundu Lissu Rais Tanzania 2025-2035€
 
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza

Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa

Ngoja tuone 🐼
Alitaka zipite hazina ili akwapue kama alivyofanya kwenye zile Trillioni 1.5, yule Jamaa ni Rais wa hovyo kuwahi kushuhudiwa
 
Back
Top Bottom