johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Bwashee " mizigo" tuliisoma Kwenye makaratasi tu ndio sababu nasema Trump akikaza wataumbuka wengi 😀Na wewe si ndiyo ukipotokea kimaisha mkuu maana wata wanajipigia ukitokwa na woga tu umetusua.
Wacha waumbuke tu hakuna jinsiBwashee " mizigo" tuliisoma Kwenye makaratasi tu ndio sababu nasema Trump akikaza wataumbuka wengi 😀
Mkuu Chaka, @chakaza,the voices from within,haijasema CCM inaondoshwa madarakani,imetoa tuu ushauri kwenye issue HII na ushauri huo usipofuatwa, YEYE ana deal na mtu at individual level, lakini CCM, bado ipo sana!, unless kama na sisi Watanzania, tutakuwa wajinga kama Wamarekani kuacha kumchagua mtu mzuri na kumchagua kichaa!Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?Na kwa vile mnaondoka madarakani October 2025, ni bora mkazane kukarabati magereza maana wengi zitakuwa nyumba zenu za muda mrefu.
Kama asemavyo Pascal Mayalla hivyo ni the voice from within.
Huo ushujaa unatoka wapi, huwezi kusema tu mweendazake Magufuli mpaka umbatize majina yasiyo halisiNadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼
Shujaa Skylar 🐼😂Huo ushujaa unatoka wapi, huwezi kusema tu mweendazake Magufuli mpaka umbatize majina yasiyo halisi
Ni vigumu kweli kuamini hichi mkuu!Naye huyo shujaa wako alikuwa mpigaji tu,unajua kwa nini alimuua Lwajabe?
Kwa vile hayupo tena tuyaache. Lakini hakuwa kama unavyofikiri.Ni vigumu kweli kuamini hichi mkuu!
JPM ana nini sasa kati ya marais waliopita, ni masikini tu yule jamaa, kaiba nini
Wapo mapapa wenye nchi yao ukienda kinyume nao hata kama ww ni namba Moja lzm wale sahan Moja na ww. Huoni mama yenu hapo mambo mengi Amalia Lia badala ya kuyachukulia maamuzi magum anaishia kulia Lia tuNani alimkatalia ilhali hapa kwetu kila kitu kipo chini ya Rais?
Mbaazi ni kipimo cha "Utanzania hovyo"!!Wewe hutumii?
Au ndio ile anaishia kusema waliovurunda watupishe?Wapo mapapa wenye nchi yao ukienda kinyume nao hata kama ww ni namba Moja lzm wale sahan Moja na ww. Huoni mama yenu hapo mambo mengi Amalia Lia badala ya kuyachukulia maamuzi magum anaishia kulia Lia tu
Lete ushahidi aliiba wapi. Mnapenda propaganda za kitoto, walioiba tayari tuliewa maelezo ila JPM mnasema tu kirahisi rahisi. Maamuzi mengi magumu alofanya, angekuwa mtu mchafu wasingeacha kutoa ushahidi wote magazetini.Naye huyo shujaa wako alikuwa mpigaji tu,unajua kwa nini alimuua Lwajabe?
Tumuulize johnthebaptist naamini majibu majibu anayoAu ndio ile anaishia kusema waliovurunda watupishe?
Wanadiriki vipi kula sahani moja na mtu mwenye vyombo vyote vya usalama chini yake, ambae anaweza fanya lolote na asiulizwe na yeyote?
Shujaa Magufuli: Rostam Aziz 2025 gombea ubunge Jimbo la Morogoro Mjini wewe ni Mtu muhimuTumuulize johnthebaptist naamini majibu majibu anayo
Mwamba Magufuli alikuwa sawa na Yesu Kristu kwa Waisraeli aliyekuja bila watu wake kujua! Mimi ni MUUMINI WA MILELE WA MWAMBA MAGUFULI DAIMA! Ukiniita chawa,sawa tu!!Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone 🐼
Mkuu unawakosea Wamarekani kwa kuwaita wajinga kumchagua kumchagua Trump. Sababu bila yeye tusingepata akili kuwa hivi tulikuwa tunatumbua na kufuja mapesa ambayo wanakamuliwa wenzetu kwa uchungu mno!Mkuu Chaka, @chakaza,the voices from within,haijasema CCM inaondoshwa madarakani,imetoa tuu ushauri kwenye issue HII na ushauri huo usipofuatwa, YEYE ana deal na mtu at individual level, lakini CCM, bado ipo sana!, unless kama na sisi Watanzania, tutakuwa wajinga kama Wamarekani kuacha kumchagua mtu mzuri na kumchagua kichaa!Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
P
Ukimlinganisha Tirampu na Kamala, nani ni kichaa na nani akili timamu?。 Kuna ubishi kuwaMkuu unawakosea Wamarekani kwa kuwaita wajinga kumchagua kumchagua Trump.
Hujui kitu kaa kimya wewe.Lete ushahidi aliiba wapi. Mnapenda propaganda za kitoto, walioiba tayari tuliewa maelezo ila JPM mnasema tu kirahisi rahisi. Maamuzi mengi magumu alofanya, angekuwa mtu mchafu wasingeacha kutoa ushahidi wote magazetini.
Mbona aliacha dawa akakata moto.....Mwanamme lijali kutumia dawa hainaga maajabu yoyote labda wale Vibamia 🐼