Magufuli alisema Fedha zote za Wafadhili hata za NGO zipitie Hazina Ili iwe zikaguliwe mkapinga, sasa Trump anazikagua!

Magufuli alisema Fedha zote za Wafadhili hata za NGO zipitie Hazina Ili iwe zikaguliwe mkapinga, sasa Trump anazikagua!

Na kwa vile mnaondoka madarakani October 2025, ni bora mkazane kukarabati magereza maana wengi zitakuwa nyumba zenu za muda mrefu.
Kama asemavyo Pascal Mayalla hivyo ni the voice from within.
Mkuu Chaka, @chakaza,the voices from within,haijasema CCM inaondoshwa madarakani,imetoa tuu ushauri kwenye issue HII na ushauri huo usipofuatwa, YEYE ana deal na mtu at individual level, lakini CCM, bado ipo sana!, unless kama na sisi Watanzania, tutakuwa wajinga kama Wamarekani kuacha kumchagua mtu mzuri na kumchagua kichaa!Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
P
 
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza

Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa

Ngoja tuone 🐼
Huo ushujaa unatoka wapi, huwezi kusema tu mweendazake Magufuli mpaka umbatize majina yasiyo halisi
 
Nani alimkatalia ilhali hapa kwetu kila kitu kipo chini ya Rais?
Wapo mapapa wenye nchi yao ukienda kinyume nao hata kama ww ni namba Moja lzm wale sahan Moja na ww. Huoni mama yenu hapo mambo mengi Amalia Lia badala ya kuyachukulia maamuzi magum anaishia kulia Lia tu
 
Au ndio ile anaishia kusema waliovurunda watupishe?

Wanadiriki vipi kula sahani moja na mtu mwenye vyombo vyote vya usalama chini yake, ambae anaweza fanya lolote na asiulizwe na yeyote?
 
Naye huyo shujaa wako alikuwa mpigaji tu,unajua kwa nini alimuua Lwajabe?
Lete ushahidi aliiba wapi. Mnapenda propaganda za kitoto, walioiba tayari tuliewa maelezo ila JPM mnasema tu kirahisi rahisi. Maamuzi mengi magumu alofanya, angekuwa mtu mchafu wasingeacha kutoa ushahidi wote magazetini.
 
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza

Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa

Ngoja tuone 🐼
Mwamba Magufuli alikuwa sawa na Yesu Kristu kwa Waisraeli aliyekuja bila watu wake kujua! Mimi ni MUUMINI WA MILELE WA MWAMBA MAGUFULI DAIMA! Ukiniita chawa,sawa tu!!
 
Mkuu Chaka, @chakaza,the voices from within,haijasema CCM inaondoshwa madarakani,imetoa tuu ushauri kwenye issue HII na ushauri huo usipofuatwa, YEYE ana deal na mtu at individual level, lakini CCM, bado ipo sana!, unless kama na sisi Watanzania, tutakuwa wajinga kama Wamarekani kuacha kumchagua mtu mzuri na kumchagua kichaa!Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
P
Mkuu unawakosea Wamarekani kwa kuwaita wajinga kumchagua kumchagua Trump. Sababu bila yeye tusingepata akili kuwa hivi tulikuwa tunatumbua na kufuja mapesa ambayo wanakamuliwa wenzetu kwa uchungu mno!
Kina mama wajawazito tunawafukuza hospitalini eti wakazalishwe na waume zao wakati fedha "KWA HISANI YABWATU WA AMERIKA" zinachotwa kwenda kutumika kugharamia Besidai hapo Dodoma? Mie nadhani Trump ulikuwa uchaguzi sahihi ili aje atunyime umatonya na akili ziturudi.
Kisha Reform before Octoba then Election. Na kila mtu anajitambua na kutumia karatasi tuu, chali!
 
Mkuu unawakosea Wamarekani kwa kuwaita wajinga kumchagua kumchagua Trump.
Ukimlinganisha Tirampu na Kamala, nani ni kichaa na nani akili timamu?。 Kuna ubishi kuwa
Tirampu ni kichaa?。 Wamarekani wakamtosa mtu safi, timamu na kumchagua kichaa!,hawa ni wazima?。

Vichaa kama Tirampu, na Tanzania tunao,pia wapiga kura majinga kama Wamarekani pia tunao!,hivyo sijakosea kabisa, tena ningepaswa kupongezwa na wenyeakili kwa kutoa angalizo hili mapema,Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii? ili muda huu kuelekea October,je wajua uchaguzi wetu wa October, tayari kuna timamu mmoja ameisha teuliwa na chama chake?, pia kuna kichaa fulani wa chama fulani yule ropo ropo pia atasimama?。

Naamini unajua fika kuwa hata wapiga kura wetu, majinga wapo!,nimeshauri hawa majinga wetu waelimishwe waerevuke ili na sisi October wasije kutuletea ujinga kama ule ujinga wa Wamarekani, wakatuchagulia yule kichaa wetu!!。
P
 
Lete ushahidi aliiba wapi. Mnapenda propaganda za kitoto, walioiba tayari tuliewa maelezo ila JPM mnasema tu kirahisi rahisi. Maamuzi mengi magumu alofanya, angekuwa mtu mchafu wasingeacha kutoa ushahidi wote magazetini.
Hujui kitu kaa kimya wewe.
 
Back
Top Bottom