Magufuli alisema vita ya uchumi ni ngumu hatukumuelewa

Wapumbavu wengi mtazama na sqmia ....tayari samia ni mfu lakini bado Wapumbavu mnajipakaza uchafu wake na damu zake
Tulisimama na JPM na leo hii mmeelewa!
 
Halafu huyu maza anasema tuna resources chache

Lazima tukope!
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Ni ngumu ndio maana polisi wanateka watu na kuwaua...
Pia ndio maana hatutaki tume huru ya uchaguzi
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too
Milio ya kulaumu (mabeberu) si mda tutaisikia✍️✍️
 
Tulisimama na JPM na leo hii mmeelewa!
Jpm alikuwa mzalendo alipambana na wahuni na kushikamana na wazalendo ...hivyo usimfananishe huyu kahaba na jpm kabisaaaaa
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Muibe mchakato wa uchaguzi pamoja na kuua watu halafu msingizie vita ya kiuchumi!
 
CCM ifanye tena vetting vijana wa kuja kutetea ujinga wao mtandaoni. Naona batch ya UVCCM mlioletwa mtandaoni safari hii wote ni useless.
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Je vita ya kiuchumi inaanzia na kuteka raia?

Kuua raia?

Kupiga raia?

Kupoteza raia?

Kuifunga wapinzani?

Kuiba kura kwa 98%
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Mnatapatapa tu na ngonjera zenu. Kama vipi muwalishe tena ubwabwa masheikh wa bakwata ili wawasaidie.
 
Samia anajua uchumi wa kuua watu kwa risasi za kichwa.

Huwezi kumsafisha muuaji jinga lao.
 
Kwahiyo adui zetu kiuchumi ndio waliomuua Mag na sio wachumia tumbo.?
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Ni kweli vita ya uchumi ni ngumu, ila sio sababu ya kuua watu mamia kwa mia na wasio hata na upinde wa sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…