Magufuli alisema vita ya uchumi ni ngumu hatukumuelewa

Magufuli alisema vita ya uchumi ni ngumu hatukumuelewa

Ni vyema mkatunza staha za marehemu, hata kama unataka kutimiza lengo lako huyu alikuwa ndugu ya mtu. Tusitumie misiba ya watu kwa faida zetu. Haya maisha ni ya kupita tusikose ubinadamu hizi picha zimeshasambazwa sana na watu wengi wameshaziona.
Staha mngetunza nyie wauaji mliokuwa mkitupa kwenye morgue majeruhi ili wakafie kule.
20251122_082055.jpg
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Kumuelewa kwa nini aliua maelfu ya ndugu zetu au unamaanisha nn chawa?
 
Tumieni akili kuwawin wananchi, mpaka watu toka nje ya nchi wanawayumbisha wananchi wenu basi jua huko serikalini kuna shida kubwa.
 
Alijotoa sana dhidi ya chuki na hujuma kutoka nje japo tulichelewa kumuelewa.

Tunao wajibu wa kumuelewa Samia before it is too late
Ni kweli na alipinga kabisa kwa bandari ya Dar es Salaam kukodishwa kwa mkataba wa chifu Mangungo wa Msovelo
 
Leo utahangaika sana .

Ila unapofufua nyuzi tueleze na ile miili mliyoficha baada ya kuwapiga risasi mliizika wapi.

Mtanyooka tu huu ndio mwanzo.
Mmeshindwa oktoba sasa mnaanza maandalizi ya 2030
 
Back
Top Bottom