Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini.
Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa

Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza

Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
 
Mhh! kwa hiyo tokea ile kauli ya Magufuli anaitoa hadi alipolamba mchanga, familia imetoa watoto 5? Hiyo rate si mchezo...
 
Miaka nane iliyopita Magufuli gani aliwaambia wafyatue? JPM au Magufuli yule wa kuigiza sauti za watu?
Magu huyuhuyu,hiyo kauli imeongeza watoto wawili,shemeji alikuwa na watatu tayari
 
Mzilankende Mnyago
Ndugu Zangu Zaeni Elimu Ni Bure
Hata China Na India Zimeendelea Kwa Kuzaana Sana
Wao Ni Wengi
 
Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini.
Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa

Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza

Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia

Maana huyo shemeji yako anajizalisha mwenyewe bila jamaa kumpa?
 
Mhh! kwa hiyo tokea ile kauli ya Magufuli anaitoa hadi alipolamba mchanga, familia imetoa watoto 5? Hiyo rate si mchezo...
Haya mambo ya kusadikika! Yaani chuki ikizidi ndipo shida inapoanzia, anyway huenda alizaa mapacha mara mbili, watatu kwa wawili.
 
Back
Top Bottom