Alizaa na anko haha kwa manenoShemeji yako aliupenda mchezo, Magufuli hahusiki na fertilisation za hao watoto. Katika yote aliyofanya Marehemu hili ninamtetea.
HaujamuelewaMiaka nane iliyopita Magufuli gani aliwaambia wafyatue? JPM au Magufuli yule wa kuigiza sauti za watu?
Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini.
Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa
Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza
Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
Haya mambo ya kusadikika! Yaani chuki ikizidi ndipo shida inapoanzia, anyway huenda alizaa mapacha mara mbili, watatu kwa wawili.Mhh! kwa hiyo tokea ile kauli ya Magufuli anaitoa hadi alipolamba mchanga, familia imetoa watoto 5? Hiyo rate si mchezo...