masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi, na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.