Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

Magufuli aliwachukia Wachagga, Wanyakyusa na Wahaya kwa makusudi

Status
Not open for further replies.
Hii propaganda ya ubaguzi this time itakula kwake Mbowe, alimchezea JK kwa kuwa Msoga na watu wa Pwani ni wachache ila kwa wasukuma ajue itamrudia vibaya, anachofanya ni kuwaambia wasukuma CDM sio sehemu salama kwao.
 
Mbowe ni Mpuuzi sana ndio maana Hayati aliminya ushenzi kama huu , katika swala ambalo watz huwa hatuharibiwi ni hili la ukabila na kiongonzi anayeongelea makabila ni mpambavu
Aendelee kuminya huko aliko .

Kabila langu hata ukurugenzi Mhhh .
 
Hii propaganda ya ubaguzi this time itakula kwake Mbowe, alimchezea JK kwa kuwa Msoga na watu wa Pwani ni wachache ila kwa wasukuma ajue itamrudia vibaya, anachofanya ni kuwaambia wasukuma CDM sio sehemu salama kwao.
Sasa hivi mtakula maneno yenu na mtashiba.
Si Mbowe aliyezuia kujengwa barabara ya Uyole-Mbalizi, ni Magufuli Wa chuki.
Chato Airport imejengwa ndani ya miaka mitat, Airport ya Songwe huu mwaka wa 20 haijakamilika.
Si Mbowe aliyezuia kuteuliwa viongozi toka Kilimanjaro, Mbeya na Kagera, ni Magufuli wa chuki.
 
Mwakiembe alikua wa mtera?

Kimei alikua wa Sumbawanga?

Wachaga mnamtumia zero brain na chama chenu cha kichaga uongozi mtaishia kuuona kwenye tv.
 
Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.

Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.

Magufuli alikuwa mharibifu.
Wewe Mpumbavu achana na Wahaya..!! Fala wewe wahaya hatukuwahi kuchukiwa na Magufuli yule mnaemcheka kukaa kwenye Ukatibu mkuu kiongozi kwa muda mfupi alikuwa mmakonde?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Mwakyembe si kipimo cha Magufuli kuitendea haki Mbeya
Huna hoja.

Meli zote hizo kawaletea.

Barabara za huko Chunya.. Airport ya Songwe kaipanua. Kawaletea utalii nyanda za huko. Mchoro wa SGR Unafika hadi Mbeya.

Kawapa Naibu spika. Kawapa mawaziri kila aina.

Kilichobaki ni kulazimisha ukabila tu nchi isitawalike. Achana na Mbowe.
 
Kilichobaki ni ukabila tu.
Wewe ndiye usiye na hoja , nani alikuambia Mbeya haikuwa na meli ?
 
Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.

Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.

Magufuli alikuwa mharibifu.
Mind yako iko negative Sana kuona vitu negative Sana mkuu.
Unajua alitumia criteria za kabila.
Kwani hao wanahitaji kuteuliwa so wamesoma na Wana pesa Sana na ni wajanja Sana wanajua kufanya biashara ama.
Ila bana haya mie nachangamsha genge.
Sema usiwe biased Sana kikabila ukabila udini na Mara race ni vitu vibaya sana.
Kuna wengine muda fulani walijazna tra kuwa ndio waliokuwa wamesoma kwani saivi elimu ilikuwa haipo
 
Hii propaganda ya ubaguzi this time itakula kwake Mbowe, alimchezea JK kwa kuwa Msoga na watu wa Pwani ni wachache ila kwa wasukuma ajue itamrudia vibaya, anachofanya ni kuwaambia wasukuma CDM sio sehemu salama kwao.
Cdm ilidhulumiwa Nyamagana, Geita mjini, Ukerewe, Mara zaidi ya nusu ya majimbo, Shinyanga mjini. Wasukuma wanaikubali sana Cdm sema dhulma. Na Mungu amelipa . Mtaka yote kwa pupa .........[emoji3517]
 
Huna hoja.

Meli zote hizo kawaletea.

Barabara za huko Chunya.. Airport ya Songwe kaipanua. Kawaletea utalii nyanda za huko. Mchoro wa SGR Unafika hadi Mbeya.

Kawapa Naibu spika. Kawapa mawaziri kila aina.

Kilichobaki ni kulazimisha ukabila tu nchi isitawalike. Achana na Mbowe.
Naibu spika wa kudhulumu kura za wananchi [emoji102]. Mungu hadhihakiwi
 
Uchaggani hadi Augustino Mrema alipata uteuzi japo mpinzani.

Mbeya akina Mwakyembe nk nk

Wahaya ndio usiseme Mwijage, Tibaijuka, Bashungwa nk nk
Bwashekhee hii ni vita ya wachaga na vyama vyao vya kichaga,Sasa watu wamewaonyesha vidole vya ukabila ndo wameongeza makabila ambayo mwenyekiti wa Sacco's zao hajayataja .

Humu hata wanaoongoza vita ya ukabila kuwaita wenzao SULUMA GANG ni wachaga kabisa,Wacha waendelee kupanda mbegu ya chuki ya ukabila wakiamini watapona mbele I.
 
Ukisema haya mambo anza kulinganisha basi. Ni kitu gani ambacho kipo chato afu hakipo Moshi?

Upole wa wasukuma unawaponza Sana.
Wanaumia Sana Mana walizoea kubebwa bebwa afu wanakuja kujikweza eti Mara tumesoma saivi Kuna mpaka mbwa zimesoma so elimu isn't longer a big deal saivi mnajificha kwa hoja ya ukabila.
Kuna kabila kubwa na dogo mkuu. Unatumia vigezo gani. Yaani afrika makabila yanatumaliza ndo Mana wazungu walitutawala kirahisi sana.
Yaani mkibisho anashirikiana na mjerumani kumpiga mmarangu.

Yaani mkishanza kunibagua kuwa mie ni mmanyema na huo muendelezo utaendelea mpaka kwenye Koo zako huko.
Ukiwa pale mo town utasikia mbona huyu mrombo akajaza saana warombo wenzake kwenye hii ofisi aisee.

Yaani ukiwa hizo kanda kitu Cha kwanza kuulizwa ni kuwa aisee wewe ni mwenyeji wa wapi. Wameharibiwa na wakenya tumeshawasamehe bure
 
Wewe ndiye usiye na hoja , nani alikuambia Mbeya haikuwa na meli ?
Nimeamini nchii tumeibiwa sana tena hasa na wachaga waliokua wamejazana TRA, TPA,CRDB,NMB,WIZARA YA FEDHA n.k.

Kumbuka wachaga wapo radhi kufanya lolote pesa iingie.

Hata mama Samia awe nanyi Makini sana maana ni wezi wakubwa wa mali za umma,kuanzia mawaziri wenu walopita mpaka kizazi hiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom