Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mungu hadhihakiwi, sasa hivi yupo huko amekutana uso kwa uso na wale aliowapoteza kupitia genge lake la WASIOJULIKANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hadhihakiwi, sasa hivi yupo huko amekutana uso kwa uso na wale aliowapoteza kupitia genge lake la WASIOJULIKANA.
Naona unakunya hadharani ,Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Ubaguzi haujifichi naona umeamua kuchana live. Tukiwaambia magufuli alikuwa na ubaguzi mnakataa. Mfano halisi ni wewe mfuasi wake. Na yote hii si kingine bali WIVU ni kidonda kibaya sana.Nimeamini nchii tumeibiwa sana tena hasa na wachaga waliokua wamejazana TRA, TPA,CRDB,NMB,WIZARA YA FEDHA n.k.
Kumbuka wachaga wapo radhi kufanya lolote pesa iingie.
Hata mama Samia awe nanyi Makini sana maana ni wezi wakubwa wa mali za umma,kuanzia mawaziri wenu walopita mpaka kizazi hiki
Jibu swali kwanini magufuli alisema sehemu walizochagua upinzani hatapeleka maendeleo? Huo siyo ubaguzi? Wacheni kutetea upumbavu. Magufuli alikuwa na tabia za kishenzi na lazima tulikemee hili.lisijirudie tena. NEVER NEVER AGAIN!Mpuuzi sana Huyu mleta mada. Hajui kuwa maneno yanaumba.
Wahaya na wanyakyusa wamejaa serikalini hivi sasa.
Akili kama hizi ndizo zilizoivuruga Rwanda kabla ya 1994.
Magufuli hakuongelea makabila yabaguliwe moja kwa moja kama mleta mada.Jibu swali kwanini magufuli alisema sehemu walizochagua upinzani hatapeleka maendeleo? Huo siyo ubaguzi? Wacheni kutetea upumbavu. Magufuli alikuwa na tabia za kishenzi na lazima tulikemee hili.lisijirudie tena. NEVER NEVER AGAIN!
Naona unakwepa kujibu swali langu bwana FilipoMagufuli hakuongelea makabila yabaguliwe moja kwa moja kama mleta mada.
Hayati alichukia mizengwe ya kisiasa, pesa za bajeti zinapatikana kwa mawaziri kukubaliana na matusi ya wazungu halafu zikielekezwa majimboni anaibuka mtu analeta siasa za kupinga maendeleo!.
Viwanja vya ndege vimejengwa kila kona ya Tanzania. Barabara zimejengwa kila kona ya nchi.
Maji yanapelekwa kila kona ya nchi.
Hayati hakupenda ujinga wa siasa za kupinga maendeleo yanayopatikana kwa jasho.
Hayati hakuwa na kipaji cha mawasiliano lakini kilichotoka moyoni mwake kwa ajili ya watanzania siku zote kilikuwa na lengo la kuineemesha Tanzania.Naona unakwepa kujibu swali langu bwana Filipo
Magufuli alikuwa kila baada ya miezi kadhaa lazima aende Chato au Kanda ya Ziwa kukagua mafekeche yakeHili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Acha ujinga , kenge mweusi wewee, kwani ni uongo kwamba Dikteta Magufuli alikuwa ni mbaguzi wa wazi wazi, alienda mbali zaidi kwa kuongea kisukuma akiwa kwenye mikoa ya watu wake. Shenzy sana.Uchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.
Mtoa maada ni mchonganishi 100%. Nna watu kadhaa nnaowafahamu kwenye hayo makabila uliyotaja ambao waliajiriwa serikalini na taasisi zake Kati ya 2015-2020.
Istoshe Mimi ni mmojawapo wa mtu kutoka kwenye hayo makabila uliyoyataja na nimeajiriwa serikalini. Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote akisema mtu toka makabila tajwa asiajiriwe.
Kama Uhuru tulikuwa tunautaka ndio huu, afadhali turudi enzi za Magu tuminywe tu.
Hence Magufuli alikuwa mpumbavuMbowe ni Mpuuzi sana ndio maana Hayati aliminya ushenzi kama huu , katika swala ambalo watz huwa hatuharibiwi ni hili la ukabila na kiongonzi anayeongelea makabila ni mpambavu
Huyo filipo ni moja ya machoko wa Lumumba, hawezi kuwa na majibu yenye akiliNaona unakwepa kujibu swali langu bwana Filipo
Magufuli mmoja ni mkabila kuliko wachaga 1000Hili swala wachaga litawatafuna kizazi hadi kizazi na kibaya zaidi kabila lenye ukabila hapa Tz ni wachaga hawa wengine wanaelewana ,
Chaga waendelee kusubili sana mpaka mwisho wa Dunia hakuna anayewaamini tena baada ya kupandikiza ukabila Stupid people ,shenzi kabisa
Muache Magu apumzike....Hili lazima tuliseme maana nasi ni wananchi wa Tanzania.
Magufuli aliendesha developmental genocide against mkabila hayo matatu, tena kwa makusudi.
Aliamua kuwaajiri nakuteua kwa kuwaruka wenyeji wa mkabila hayo matatu.
Kwa vile mchakato wake ulikuwa wa miaka zaidi ya mitano matokeo tunayaona sasa.
Tazama appointments za kitaifa sasa hivi , na hilo unaliona.
Miradi ya maendeleo nayo ilisitishwa sehemu wanazotoka wenyeji wa mkabila hayo.
Magufuli alikuwa mharibifu.
Uchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.
Mtoa maada ni mchonganishi 100%. Nna watu kadhaa nnaowafahamu kwenye hayo makabila uliyotaja ambao waliajiriwa serikalini na taasisi zake Kati ya 2015-2020.
Istoshe Mimi ni mmojawapo wa mtu kutoka kwenye hayo makabila uliyoyataja na nimeajiriwa serikalini. Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote akisema mtu toka makabila tajwa asiajiriwe.
Kama Uhuru tulikuwa tunautaka ndio huu, afadhali turudi enzi za Magu tuminywe tu.
Hivi vyama ambavyo vinamilikiwa na wachagga ni tatizo sana. Kwanza wamevifanya SACCOS halafu wamekatalia madarakaniUchaggani hadi Augustino Mrema alipata uteuzi japo mpinzani.
Mbeya akina Mwakyembe nk nk
Wahaya ndio usiseme Mwijage, Tibaijuka, Bashungwa nk nk
Kama huwezi kuuona ubaguzi alioufanya dhidi ya hawa watu badi wewe ni kipofu. Vinginevyo wewe ni mnufanika mnafiki wa kiwango cha juu sana.Uchonganishi wa namna hii kupitia mitandao ya Kijamii ndio ulifanya nchi Kama Rwanda ikaingia kwenye Vita vya kikabila1994.
Mtoa maada ni mchonganishi 100%. Nna watu kadhaa nnaowafahamu kwenye hayo makabila uliyotaja ambao waliajiriwa serikalini na taasisi zake Kati ya 2015-2020.
Istoshe Mimi ni mmojawapo wa mtu kutoka kwenye hayo makabila uliyoyataja na nimeajiriwa serikalini. Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote akisema mtu toka makabila tajwa asiajiriwe.
Kama Uhuru tulikuwa tunautaka ndio huu, afadhali turudi enzi za Magu tuminywe tu.
Kweli mkuu, gatizo la mapungufu ya Magufuli lazima yasemwe.Kufumbia fumbia macho au kuona aibu nadhani madhara yake ni makubwa zaidi. Tuwe wakweli na tukemee tabia ya magufuli ya kubagua maendeleo kwa baadhi ya mikoa hata kichama eti kwakuwa hawakuichagua ccm basi wasahau kupata maendeleo ni tabia ya kishenzi na ya kipuuzi na inatakiwa kupingwa na watu wote.